Barua nzito ya kijana Mkatoliki kwa Maaskofu yazua Gumzo

ustadhijuma

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2015
Posts
3,133
Reaction score
2,118
Kijana mmoja Mkristo Mkatoliki ameandika barua ya wazi kwa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) akieleza masikitiko yake juu ya kile anachokiona kuwa ni kuingizwa kwa Kanisa katika mijadala ya kisiasa.

Katika barua hiyo iliyojaa maneno makali ya kiimani na rejea nyingi za Maandiko Matakatifu kijana huyo amehoji iwapo kweli viongozi hao wanamfuata Kristo ambaye hakuwahi kushiriki siasa wala kushabikia harakati za madaraka licha ya kuishi chini ya utawala dhalimu wa Kirumi.

Amenukuu maneno ya Mtume Paulo kuhusu mamlaka za serikali kuwekwa na Mungu na kuonya kuwa Maaskofu wanapoteza dira yao ya kiroho kwa kuruhusu Kanisa kujiingiza katika mapambano ya kidunia.

“Je, mnamfuata Kristo yupi? Au mmeona haya kuishi mfano wa Kristo kwa kuwa watu watawacheka?” anauliza kijana huyo kwa uchungu akihoji misimamo ya baadhi ya viongozi wa Kanisa wanaotoa kauli zenye mwelekeo wa kisiasa.

Amehitimisha kwa kuwataka Maaskofu wa TEC warudi katika msingi wa kazi yao kuhubiri kufundisha na kusimamia maadili na waepuke kuwa chombo cha propaganda kinachotumiwa kwa malengo ya muda mfupi ya kisiasa.

Barua hiyo imesambaa kwa kasi mitandaoni na imezua maoni mseto kutoka kwa waumini na wachambuzi wa masuala ya dini na jamii
 
Attachments

  • IMG-20250622-WA0558.jpg
    IMG-20250622-WA0558.jpg
    127.4 KB · Views: 43
  • IMG-20250622-WA0559.jpg
    IMG-20250622-WA0559.jpg
    136.1 KB · Views: 33
  • IMG-20250622-WA0561.jpg
    IMG-20250622-WA0561.jpg
    137.2 KB · Views: 31
  • IMG-20250622-WA0562.jpg
    IMG-20250622-WA0562.jpg
    97.3 KB · Views: 33
Kijana mmoja Mkristo Mkatoliki ameandika barua ya wazi kwa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) akieleza masikitiko yake juu ya kile anachokiona kuwa ni kuingizwa kwa Kanisa katika mijadala ya kisiasa.

Katika barua hiyo iliyojaa maneno makali ya kiimani na rejea nyingi za Maandiko Matakatifu kijana huyo amehoji iwapo kweli viongozi hao wanamfuata Kristo ambaye hakuwahi kushiriki siasa wala kushabikia harakati za madaraka licha ya kuishi chini ya utawala dhalimu wa Kirumi.

Amenukuu maneno ya Mtume Paulo kuhusu mamlaka za serikali kuwekwa na Mungu na kuonya kuwa Maaskofu wanapoteza dira yao ya kiroho kwa kuruhusu Kanisa kujiingiza katika mapambano ya kidunia.

“Je, mnamfuata Kristo yupi? Au mmeona haya kuishi mfano wa Kristo kwa kuwa watu watawacheka?” anauliza kijana huyo kwa uchungu akihoji misimamo ya baadhi ya viongozi wa Kanisa wanaotoa kauli zenye mwelekeo wa kisiasa.

Amehitimisha kwa kuwataka Maaskofu wa TEC warudi katika msingi wa kazi yao kuhubiri kufundisha na kusimamia maadili na waepuke kuwa chombo cha propaganda kinachotumiwa kwa malengo ya muda mfupi ya kisiasa.

Barua hiyo imesambaa kwa kasi mitandaoni na imezua maoni mseto kutoka kwa waumini na wachambuzi wa masuala ya dini na jamii
Unazo taarifa za Ayatolah kupelekewa motoo na Trump kavu bin kavu?
 
Yaami mabomu 6 tu ya Trump waislamu wa dunia nzima wamejawa na hofu 🐼
Yohani una uhakika aisee? Unataka kuniambia sasa hivi visabengo wengine hawatathubutu kuingilia mtwangano kwa Iran na Marekani kwa kivuli cha Israel?
 
Kijana huyo amehoji iwapo kweli viongozi hao wanamfuata Kristo ambaye hakuwahi kushiriki siasa wala kushabikia harakati za madaraka licha ya kuishi chini ya utawala dhalimu wa Kirumi.
Hajui imani anayotuaminisha anaiamini.

Tangu kuzaliwa kwake; Kristu alishiriki siasa na kumkimbia Herode aliyetaka kumuua akaja Misri mpaka kufa kwake msalabani kwa kuhukumiwa bila haki na watawala.

Amehitimisha kwa kuwataka Maaskofu wa TEC warudi katika msingi wa kazi yao kuhubiri kufundisha na kusimamia maadili na waepuke kuwa chombo cha propaganda kinachotumiwa kwa malengo ya muda mfupi ya kisiasa.
Kwa kusimamia maadili; Mama Kanisa amewafungia wanasiasa kujihusisha na masuala ya dini.

PS: Kama ni Mkristu Mkatoliki alipaswa ajue kuwa Ubatizo ni sakramenti inayotuingiza kwenye Ukristu kwa kutufanya watoto wa Mungu na Kanisa.

Utoto huo wa Mungu unatufanya kuwa makuhani, manabii na wafalme. Ubatizo unaweka wazi kuwa Mkristu ni mwanasiasa - mfalme.
 
Kijana mmoja Mkristo Mkatoliki ameandika barua ya wazi kwa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) akieleza masikitiko yake juu ya kile anachokiona kuwa ni kuingizwa kwa Kanisa katika mijadala ya kisiasa.

Katika barua hiyo iliyojaa maneno makali ya kiimani na rejea nyingi za Maandiko Matakatifu kijana huyo amehoji iwapo kweli viongozi hao wanamfuata Kristo ambaye hakuwahi kushiriki siasa wala kushabikia harakati za madaraka licha ya kuishi chini ya utawala dhalimu wa Kirumi.

Amenukuu maneno ya Mtume Paulo kuhusu mamlaka za serikali kuwekwa na Mungu na kuonya kuwa Maaskofu wanapoteza dira yao ya kiroho kwa kuruhusu Kanisa kujiingiza katika mapambano ya kidunia.

“Je, mnamfuata Kristo yupi? Au mmeona haya kuishi mfano wa Kristo kwa kuwa watu watawacheka?” anauliza kijana huyo kwa uchungu akihoji misimamo ya baadhi ya viongozi wa Kanisa wanaotoa kauli zenye mwelekeo wa kisiasa.

Amehitimisha kwa kuwataka Maaskofu wa TEC warudi katika msingi wa kazi yao kuhubiri kufundisha na kusimamia maadili na waepuke kuwa chombo cha propaganda kinachotumiwa kwa malengo ya muda mfupi ya kisiasa.

Barua hiyo imesambaa kwa kasi mitandaoni na imezua maoni mseto kutoka kwa waumini na wachambuzi wa masuala ya dini na jamii

Kwani ni lazima waongee makanisani?

Waje wasali wasepe zao, kama wanataka kuongea waende kwenye vyama vyao kwani ishu ni nini?
 
Kijana mmoja Mkristo Mkatoliki ameandika barua ya wazi kwa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) akieleza masikitiko yake juu ya kile anachokiona kuwa ni kuingizwa kwa Kanisa katika mijadala ya kisiasa.

Katika barua hiyo iliyojaa maneno makali ya kiimani na rejea nyingi za Maandiko Matakatifu kijana huyo amehoji iwapo kweli viongozi hao wanamfuata Kristo ambaye hakuwahi kushiriki siasa wala kushabikia harakati za madaraka licha ya kuishi chini ya utawala dhalimu wa Kirumi.

Amenukuu maneno ya Mtume Paulo kuhusu mamlaka za serikali kuwekwa na Mungu na kuonya kuwa Maaskofu wanapoteza dira yao ya kiroho kwa kuruhusu Kanisa kujiingiza katika mapambano ya kidunia.

“Je, mnamfuata Kristo yupi? Au mmeona haya kuishi mfano wa Kristo kwa kuwa watu watawacheka?” anauliza kijana huyo kwa uchungu akihoji misimamo ya baadhi ya viongozi wa Kanisa wanaotoa kauli zenye mwelekeo wa kisiasa.

Amehitimisha kwa kuwataka Maaskofu wa TEC warudi katika msingi wa kazi yao kuhubiri kufundisha na kusimamia maadili na waepuke kuwa chombo cha propaganda kinachotumiwa kwa malengo ya muda mfupi ya kisiasa.

Barua hiyo imesambaa kwa kasi mitandaoni na imezua maoni mseto kutoka kwa waumini na wachambuzi wa masuala ya dini na jamii
Hii imeandikwa na UVCCM
 
Nawaza siku Catholic waseme tunafunga Mashule na Mahospitali kwa muda usiojulikana hakika kutakuwa na kilio na kusaga meno, niwaombe Wakatoliki wasifike huko inshallah
Tena wafunge kabisa haraka sana hayo mahospitali yao. Taifa litaokoa fedha nyingi sana za kodi zetu ambazo kanisa wanajipia kwa kisingizio cha hospitali zao.
Lkn na wenyewe wanalijua hilo, hawawezi kufungu hayo mahospitali yao kwani ni kijiwe cha kupigia pesa zetu
 
Kijana mmoja Mkristo Mkatoliki ameandika barua ya wazi kwa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) akieleza masikitiko yake juu ya kile anachokiona kuwa ni kuingizwa kwa Kanisa katika mijadala ya kisiasa.

Katika barua hiyo iliyojaa maneno makali ya kiimani na rejea nyingi za Maandiko Matakatifu kijana huyo amehoji iwapo kweli viongozi hao wanamfuata Kristo ambaye hakuwahi kushiriki siasa wala kushabikia harakati za madaraka licha ya kuishi chini ya utawala dhalimu wa Kirumi.

Amenukuu maneno ya Mtume Paulo kuhusu mamlaka za serikali kuwekwa na Mungu na kuonya kuwa Maaskofu wanapoteza dira yao ya kiroho kwa kuruhusu Kanisa kujiingiza katika mapambano ya kidunia.

“Je, mnamfuata Kristo yupi? Au mmeona haya kuishi mfano wa Kristo kwa kuwa watu watawacheka?” anauliza kijana huyo kwa uchungu akihoji misimamo ya baadhi ya viongozi wa Kanisa wanaotoa kauli zenye mwelekeo wa kisiasa.

Amehitimisha kwa kuwataka Maaskofu wa TEC warudi katika msingi wa kazi yao kuhubiri kufundisha na kusimamia maadili na waepuke kuwa chombo cha propaganda kinachotumiwa kwa malengo ya muda mfupi ya kisiasa.

Barua hiyo imesambaa kwa kasi mitandaoni na imezua maoni mseto kutoka kwa waumini na wachambuzi wa masuala ya dini na jamiil
Leo mbona mtaimba na bado , mwaka huu mtarudi kwenu Zanzibar
 
Back
Top Bottom