Barua nzito ya kijana Mkatoliki kwa Maaskofu yazua Gumzo

Kijana mmoja Mkristo Mkatoliki ameandika barua ya wazi kwa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) akieleza masikitiko yake juu ya kile anachokiona kuwa ni kuingizwa kwa Kanisa katika mijadala ya kisiasa.

Katika barua hiyo iliyojaa maneno makali ya kiimani na rejea nyingi za Maandiko Matakatifu kijana huyo amehoji iwapo kweli viongozi hao wanamfuata Kristo ambaye hakuwahi kushiriki siasa wala kushabikia harakati za madaraka licha ya kuishi chini ya utawala dhalimu wa Kirumi.

Amenukuu maneno ya Mtume Paulo kuhusu mamlaka za serikali kuwekwa na Mungu na kuonya kuwa Maaskofu wanapoteza dira yao ya kiroho kwa kuruhusu Kanisa kujiingiza katika mapambano ya kidunia.

“Je, mnamfuata Kristo yupi? Au mmeona haya kuishi mfano wa Kristo kwa kuwa watu watawacheka?” anauliza kijana huyo kwa uchungu akihoji misimamo ya baadhi ya viongozi wa Kanisa wanaotoa kauli zenye mwelekeo wa kisiasa.

Amehitimisha kwa kuwataka Maaskofu wa TEC warudi katika msingi wa kazi yao kuhubiri kufundisha na kusimamia maadili na waepuke kuwa chombo cha propaganda kinachotumiwa kwa malengo ya muda mfupi ya kisiasa.

Barua hiyo imesambaa kwa kasi mitandaoni na imezua maoni mseto kutoka kwa waumini na wachambuzi wa masuala ya dini na jamii
Elewa kuwa KANISA TAKATIFU KATOLIKI LA MITUME ni kubwa kuliko unavyofikiri. Halina machawa kama serikali inayooongozwa na na Mtu asiyejitambua yaani mbumbu na form Four failure.
 
Kijana mmoja Mkristo Mkatoliki ameandika barua ya wazi kwa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) akieleza masikitiko yake juu ya kile anachokiona kuwa ni kuingizwa kwa Kanisa katika mijadala ya kisiasa.

Katika barua hiyo iliyojaa maneno makali ya kiimani na rejea nyingi za Maandiko Matakatifu kijana huyo amehoji iwapo kweli viongozi hao wanamfuata Kristo ambaye hakuwahi kushiriki siasa wala kushabikia harakati za madaraka licha ya kuishi chini ya utawala dhalimu wa Kirumi.

Amenukuu maneno ya Mtume Paulo kuhusu mamlaka za serikali kuwekwa na Mungu na kuonya kuwa Maaskofu wanapoteza dira yao ya kiroho kwa kuruhusu Kanisa kujiingiza katika mapambano ya kidunia.

“Je, mnamfuata Kristo yupi? Au mmeona haya kuishi mfano wa Kristo kwa kuwa watu watawacheka?” anauliza kijana huyo kwa uchungu akihoji misimamo ya baadhi ya viongozi wa Kanisa wanaotoa kauli zenye mwelekeo wa kisiasa.

Amehitimisha kwa kuwataka Maaskofu wa TEC warudi katika msingi wa kazi yao kuhubiri kufundisha na kusimamia maadili na waepuke kuwa chombo cha propaganda kinachotumiwa kwa malengo ya muda mfupi ya kisiasa.

Barua hiyo imesambaa kwa kasi mitandaoni na imezua maoni mseto kutoka kwa waumini na wachambuzi wa masuala ya dini na jamii
Utaadhi juma wewe ni binadamu timamu mwenye akili husikubali kutumika ka Toilet paper, mmechapishiwa ujumbe msambaze kwa malipo ya 20000
 
Sasa ustaadhi Juma haya mambo ya wakatoliki mbona yamewauma sana? Si mlishasema wasichanganye siasa na dini? Wenyewe sasa wamewaweka mbali lakini hamtaki, mnataka nini? Ukatoliki ni mfumo huru mno kupigana nao ni ngumu mno. Sio kanisa la Gwajima lile.
Dawa imeingia
 
Naona leo kwenye makundi yenu ya WhatsApp ya elf 7, 7 mmekubaliana mje humu kuanzisha nyuzi za kupinga kanisa kwa tamko lake la kuzuia mambuzi kwenye miambali ya kanisa. Kazi mnayo 😄
Huyo siyo mkristo.
Petro alipingana na mamlaka,hata akawauliza je tumsikilize Mungu au wanadamu?
 
Katoliki wamenyoosha nataka waseme hakuna mkristo kwenda kwenye maigizo ya kuipiga kura
 
Sheikh kwa mara ya kwanza unafurahisha kwa kumtaja Mtume Paulo dah,
Mlipofungia Kanisa la Gwajima mlisema kachanganya dini na siasa,leo mnaumia Kanisa Katoliki kuwazuia waimba taarabu kuhutubia Kanisani,kwani hamuwezi wezi wa kura kusali na kuondoka?
Leo mmealikana kwenye magruop nyiye wachinja kondoo misikitini na ng'ombe mlizochinja mkalisha Wasukuma mliowasomba kwa mikokoteni ,mnakuja kuongelea Kanisa.
Nyiye hamjaridhika na dua zenu kuomba majini ya kata na Wilaya na Mikoa na watu wapate stroke?
 
Mbona siku hizi kutapatapa kwingi???
Kuna kipindi mlimpa yule div four point 29 uwaziri nyeti, matokeo yake alikunywa wanzuki na kuanika mbinu zenu chafu hadharani.
 
Kijana mmoja Mkristo Mkatoliki ameandika barua ya wazi kwa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) akieleza masikitiko yake juu ya kile anachokiona kuwa ni kuingizwa kwa Kanisa katika mijadala ya kisiasa.

Katika barua hiyo iliyojaa maneno makali ya kiimani na rejea nyingi za Maandiko Matakatifu kijana huyo amehoji iwapo kweli viongozi hao wanamfuata Kristo ambaye hakuwahi kushiriki siasa wala kushabikia harakati za madaraka licha ya kuishi chini ya utawala dhalimu wa Kirumi.

Amenukuu maneno ya Mtume Paulo kuhusu mamlaka za serikali kuwekwa na Mungu na kuonya kuwa Maaskofu wanapoteza dira yao ya kiroho kwa kuruhusu Kanisa kujiingiza katika mapambano ya kidunia.

“Je, mnamfuata Kristo yupi? Au mmeona haya kuishi mfano wa Kristo kwa kuwa watu watawacheka?” anauliza kijana huyo kwa uchungu akihoji misimamo ya baadhi ya viongozi wa Kanisa wanaotoa kauli zenye mwelekeo wa kisiasa.

Amehitimisha kwa kuwataka Maaskofu wa TEC warudi katika msingi wa kazi yao kuhubiri kufundisha na kusimamia maadili na waepuke kuwa chombo cha propaganda kinachotumiwa kwa malengo ya muda mfupi ya kisiasa.

Barua hiyo imesambaa kwa kasi mitandaoni na imezua maoni mseto kutoka kwa waumini na wachambuzi wa masuala ya dini na jamii
Ahahahahaaaa eti kijana mmoja, mnapoteza muda tu ,tamko limeshatoka
 
Sijaisoma hiyo barua ila sina mashaka kabisa itakuwa ni ya kijinga tu.​
 
Kijana mmoja Mkristo Mkatoliki ameandika barua ya wazi kwa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) akieleza masikitiko yake juu ya kile anachokiona kuwa ni kuingizwa kwa Kanisa katika mijadala ya kisiasa.

Katika barua hiyo iliyojaa maneno makali ya kiimani na rejea nyingi za Maandiko Matakatifu kijana huyo amehoji iwapo kweli viongozi hao wanamfuata Kristo ambaye hakuwahi kushiriki siasa wala kushabikia harakati za madaraka licha ya kuishi chini ya utawala dhalimu wa Kirumi.

Amenukuu maneno ya Mtume Paulo kuhusu mamlaka za serikali kuwekwa na Mungu na kuonya kuwa Maaskofu wanapoteza dira yao ya kiroho kwa kuruhusu Kanisa kujiingiza katika mapambano ya kidunia.

“Je, mnamfuata Kristo yupi? Au mmeona haya kuishi mfano wa Kristo kwa kuwa watu watawacheka?” anauliza kijana huyo kwa uchungu akihoji misimamo ya baadhi ya viongozi wa Kanisa wanaotoa kauli zenye mwelekeo wa kisiasa.

Amehitimisha kwa kuwataka Maaskofu wa TEC warudi katika msingi wa kazi yao kuhubiri kufundisha na kusimamia maadili na waepuke kuwa chombo cha propaganda kinachotumiwa kwa malengo ya muda mfupi ya kisiasa.

Barua hiyo imesambaa kwa kasi mitandaoni na imezua maoni mseto kutoka kwa waumini na wachambuzi wa masuala ya dini na jamii
Huyu ni punguani!! "ROMA LOKUTA CAUSA FINITA"😅😅🙏🙏
 
Huyu kijana ni muhuni sana, inaoneka sacrament ya ubatizo haijamsaidia kitu kabisa 🤔🤔🤔
 
Kijana mmoja Mkristo Mkatoliki ameandika barua ya wazi kwa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) akieleza masikitiko yake juu ya kile anachokiona kuwa ni kuingizwa kwa Kanisa katika mijadala ya kisiasa.

Katika barua hiyo iliyojaa maneno makali ya kiimani na rejea nyingi za Maandiko Matakatifu kijana huyo amehoji iwapo kweli viongozi hao wanamfuata Kristo ambaye hakuwahi kushiriki siasa wala kushabikia harakati za madaraka licha ya kuishi chini ya utawala dhalimu wa Kirumi.

Amenukuu maneno ya Mtume Paulo kuhusu mamlaka za serikali kuwekwa na Mungu na kuonya kuwa Maaskofu wanapoteza dira yao ya kiroho kwa kuruhusu Kanisa kujiingiza katika mapambano ya kidunia.

“Je, mnamfuata Kristo yupi? Au mmeona haya kuishi mfano wa Kristo kwa kuwa watu watawacheka?” anauliza kijana huyo kwa uchungu akihoji misimamo ya baadhi ya viongozi wa Kanisa wanaotoa kauli zenye mwelekeo wa kisiasa.

Amehitimisha kwa kuwataka Maaskofu wa TEC warudi katika msingi wa kazi yao kuhubiri kufundisha na kusimamia maadili na waepuke kuwa chombo cha propaganda kinachotumiwa kwa malengo ya muda mfupi ya kisiasa.

Barua hiyo imesambaa kwa kasi mitandaoni na imezua maoni mseto kutoka kwa waumini na wachambuzi wa masuala ya dini na jamii
Kijana anawaambia nini hao viongozi wasichokijua?
 
Wape vidonge vyao, wakimeza au wakitema shauri yao
 
Back
Top Bottom