ustadhijuma
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 3,133
- 2,118
Unazo taarifa za Ayatolah kupelekewa motoo na Trump kavu bin kavu?Kijana mmoja Mkristo Mkatoliki ameandika barua ya wazi kwa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) akieleza masikitiko yake juu ya kile anachokiona kuwa ni kuingizwa kwa Kanisa katika mijadala ya kisiasa.
Katika barua hiyo iliyojaa maneno makali ya kiimani na rejea nyingi za Maandiko Matakatifu kijana huyo amehoji iwapo kweli viongozi hao wanamfuata Kristo ambaye hakuwahi kushiriki siasa wala kushabikia harakati za madaraka licha ya kuishi chini ya utawala dhalimu wa Kirumi.
Amenukuu maneno ya Mtume Paulo kuhusu mamlaka za serikali kuwekwa na Mungu na kuonya kuwa Maaskofu wanapoteza dira yao ya kiroho kwa kuruhusu Kanisa kujiingiza katika mapambano ya kidunia.
“Je, mnamfuata Kristo yupi? Au mmeona haya kuishi mfano wa Kristo kwa kuwa watu watawacheka?” anauliza kijana huyo kwa uchungu akihoji misimamo ya baadhi ya viongozi wa Kanisa wanaotoa kauli zenye mwelekeo wa kisiasa.
Amehitimisha kwa kuwataka Maaskofu wa TEC warudi katika msingi wa kazi yao kuhubiri kufundisha na kusimamia maadili na waepuke kuwa chombo cha propaganda kinachotumiwa kwa malengo ya muda mfupi ya kisiasa.
Barua hiyo imesambaa kwa kasi mitandaoni na imezua maoni mseto kutoka kwa waumini na wachambuzi wa masuala ya dini na jamii
Yohani una uhakika aisee? Unataka kuniambia sasa hivi visabengo wengine hawatathubutu kuingilia mtwangano kwa Iran na Marekani kwa kivuli cha Israel?Yaami mabomu 6 tu ya Trump waislamu wa dunia nzima wamejawa na hofu 🐼
Hajui imani anayotuaminisha anaiamini.Kijana huyo amehoji iwapo kweli viongozi hao wanamfuata Kristo ambaye hakuwahi kushiriki siasa wala kushabikia harakati za madaraka licha ya kuishi chini ya utawala dhalimu wa Kirumi.
Kwa kusimamia maadili; Mama Kanisa amewafungia wanasiasa kujihusisha na masuala ya dini.Amehitimisha kwa kuwataka Maaskofu wa TEC warudi katika msingi wa kazi yao kuhubiri kufundisha na kusimamia maadili na waepuke kuwa chombo cha propaganda kinachotumiwa kwa malengo ya muda mfupi ya kisiasa.
Kijana mmoja Mkristo Mkatoliki ameandika barua ya wazi kwa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) akieleza masikitiko yake juu ya kile anachokiona kuwa ni kuingizwa kwa Kanisa katika mijadala ya kisiasa.
Katika barua hiyo iliyojaa maneno makali ya kiimani na rejea nyingi za Maandiko Matakatifu kijana huyo amehoji iwapo kweli viongozi hao wanamfuata Kristo ambaye hakuwahi kushiriki siasa wala kushabikia harakati za madaraka licha ya kuishi chini ya utawala dhalimu wa Kirumi.
Amenukuu maneno ya Mtume Paulo kuhusu mamlaka za serikali kuwekwa na Mungu na kuonya kuwa Maaskofu wanapoteza dira yao ya kiroho kwa kuruhusu Kanisa kujiingiza katika mapambano ya kidunia.
“Je, mnamfuata Kristo yupi? Au mmeona haya kuishi mfano wa Kristo kwa kuwa watu watawacheka?” anauliza kijana huyo kwa uchungu akihoji misimamo ya baadhi ya viongozi wa Kanisa wanaotoa kauli zenye mwelekeo wa kisiasa.
Amehitimisha kwa kuwataka Maaskofu wa TEC warudi katika msingi wa kazi yao kuhubiri kufundisha na kusimamia maadili na waepuke kuwa chombo cha propaganda kinachotumiwa kwa malengo ya muda mfupi ya kisiasa.
Barua hiyo imesambaa kwa kasi mitandaoni na imezua maoni mseto kutoka kwa waumini na wachambuzi wa masuala ya dini na jamii
Wakizifunga hizo shule na hospitali na wao pia watapa hasara kwani hivyo ni vitega uchumi vinaingiza fedha kwaoNawaza siku Catholic waseme tunafunga Mashule na Mahospitali kwa muda usiojulikana hakika kutakuwa na kilio na kusaga meno, niwaombe Wakatoliki wasifike huko inshallah
HahahaYaami mabomu 6 tu ya Trump waislamu wa dunia nzima wamejawa na hofu 🐼
Hii imeandikwa na UVCCMKijana mmoja Mkristo Mkatoliki ameandika barua ya wazi kwa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) akieleza masikitiko yake juu ya kile anachokiona kuwa ni kuingizwa kwa Kanisa katika mijadala ya kisiasa.
Katika barua hiyo iliyojaa maneno makali ya kiimani na rejea nyingi za Maandiko Matakatifu kijana huyo amehoji iwapo kweli viongozi hao wanamfuata Kristo ambaye hakuwahi kushiriki siasa wala kushabikia harakati za madaraka licha ya kuishi chini ya utawala dhalimu wa Kirumi.
Amenukuu maneno ya Mtume Paulo kuhusu mamlaka za serikali kuwekwa na Mungu na kuonya kuwa Maaskofu wanapoteza dira yao ya kiroho kwa kuruhusu Kanisa kujiingiza katika mapambano ya kidunia.
“Je, mnamfuata Kristo yupi? Au mmeona haya kuishi mfano wa Kristo kwa kuwa watu watawacheka?” anauliza kijana huyo kwa uchungu akihoji misimamo ya baadhi ya viongozi wa Kanisa wanaotoa kauli zenye mwelekeo wa kisiasa.
Amehitimisha kwa kuwataka Maaskofu wa TEC warudi katika msingi wa kazi yao kuhubiri kufundisha na kusimamia maadili na waepuke kuwa chombo cha propaganda kinachotumiwa kwa malengo ya muda mfupi ya kisiasa.
Barua hiyo imesambaa kwa kasi mitandaoni na imezua maoni mseto kutoka kwa waumini na wachambuzi wa masuala ya dini na jamii
Alafu kaandika mashudu tupu.Hii imeandikwa na UVCCM
🚮Barua nzito ya kijana Mkatoliki kwa Maaskofu yazua Gumzo
Hii imeandikwa na UVCCM
Tena wafunge kabisa haraka sana hayo mahospitali yao. Taifa litaokoa fedha nyingi sana za kodi zetu ambazo kanisa wanajipia kwa kisingizio cha hospitali zao.Nawaza siku Catholic waseme tunafunga Mashule na Mahospitali kwa muda usiojulikana hakika kutakuwa na kilio na kusaga meno, niwaombe Wakatoliki wasifike huko inshallah
Watakufa njaa hao kwani hivyo ni vijiwe vyao vya kupigia hela ya serikaliWakizifunga hizo shule na hospitali na wao pia watapa hasara kwani hivyo ni vitega uchumi vinaingiza fedha kwao
Leo mbona mtaimba na bado , mwaka huu mtarudi kwenu ZanzibarKijana mmoja Mkristo Mkatoliki ameandika barua ya wazi kwa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) akieleza masikitiko yake juu ya kile anachokiona kuwa ni kuingizwa kwa Kanisa katika mijadala ya kisiasa.
Katika barua hiyo iliyojaa maneno makali ya kiimani na rejea nyingi za Maandiko Matakatifu kijana huyo amehoji iwapo kweli viongozi hao wanamfuata Kristo ambaye hakuwahi kushiriki siasa wala kushabikia harakati za madaraka licha ya kuishi chini ya utawala dhalimu wa Kirumi.
Amenukuu maneno ya Mtume Paulo kuhusu mamlaka za serikali kuwekwa na Mungu na kuonya kuwa Maaskofu wanapoteza dira yao ya kiroho kwa kuruhusu Kanisa kujiingiza katika mapambano ya kidunia.
“Je, mnamfuata Kristo yupi? Au mmeona haya kuishi mfano wa Kristo kwa kuwa watu watawacheka?” anauliza kijana huyo kwa uchungu akihoji misimamo ya baadhi ya viongozi wa Kanisa wanaotoa kauli zenye mwelekeo wa kisiasa.
Amehitimisha kwa kuwataka Maaskofu wa TEC warudi katika msingi wa kazi yao kuhubiri kufundisha na kusimamia maadili na waepuke kuwa chombo cha propaganda kinachotumiwa kwa malengo ya muda mfupi ya kisiasa.
Barua hiyo imesambaa kwa kasi mitandaoni na imezua maoni mseto kutoka kwa waumini na wachambuzi wa masuala ya dini na jamiil