Barua nzito ya kijana Mkatoliki kwa Maaskofu yazua Gumzo

Nawaza siku Catholic waseme tunafunga Mashule na Mahospitali kwa muda usiojulikana hakika kutakuwa na kilio na kusaga meno, niwaombe Wakatoliki wasifike huko inshallah
Kwa tulipofikia, tufike tu huko haraka.
 

Ccm wana mbinu za zamani sana
 

Huyu si ni Juma Uledi Kidata? Nliona yeye na watu kadhaa wakiandika hii barua. Ameamua kuwa kafir kwa muda? Walituma kwenye magroup yetu tuongeze au tupunguze admin akai delete kuwa hayo yasifanyike kwenye group kunaweza kuwa na wasaliti.
 
Kwani hajui Kristo alisurubiwa kwa sababu ya siasa.Watawala walidhani amekuja kuchukua nafasi zao.
 
Yaami mabomu 6 tu ya Trump waislamu wa dunia nzima wamejawa na hofu 🐼
Naona nchi takatifu walifikiri Iran ni kama Hamas.Wanajibiwa kiulaloulalo.
Wanashindwa hata kutungua ndege za kivita kutoka Iran kwa kutoziona kwenye rada zao kwa sababu zina kasi ya hadi kilometa 3000 kwa saa.
 
Huyu ili aje aelewe ninikinachoendelea nihadi yeye akose sehem yakulala
 
Naona leo kwenye makundi yenu ya WhatsApp ya elf 7, 7 mmekubaliana mje humu kuanzisha nyuzi za kupinga kanisa kwa tamko lake la kuzuia mambuzi kwenye miambali ya kanisa. Kazi mnayo 😄
Nyumbu ameshapewa buku mbilll


,umekuja kujibu
Watawala wanauza nchi taratibu nyinyi mpo huku kuparuana kidini
Nyumbu umepewa buku,kuja kujibu
 
Oktoba tunatiki
 
Yani hii yote ni kwasababu katoliki wameamua kutii wito wa ccm kwa vitendo?

CCM hawataki kanisa lichanganye dini na siasa.

kanisa limetoa tamko kukubali hoja hiyo kwa kuzuia wana siasa kupewa air time kanisani.

ccm hao hao wana wewe seka, wao walitaka vipi?

Ccm waanzishe jumuiya ya kikristo kama walivyo weza uislamu kwa kuwa na Bakwata, inaweza kuwasaidia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…