Barua nzito ya kijana Mkatoliki kwa Maaskofu yazua Gumzo

CCM imeingiaje hapo we kizibo?
 
Siku mtakapoanza kutumia watu wenye akili mtafanikiwa


No reform No Election
 
Kijana yuko vizuri, Kitima anaweza kuichana kabla haijafikia maaskofu
 
UKiwa kima unaweza dhania unaijua imani ya kikrsto na matendo ya kristo. Mkuu nikuambie tu kuwa Yesu kristo alikemea tawala za kizalimu, alikemea wanyang'anyi kumbuka kisa cha yule kuhani mkuu aliyetaka kupewa namna au njia nzuri ya kumfanya afike mbingu aliambiwa aache unyang'anyi aacha vyote visivyo mpendeza Mungu. Na yesu aliteswa na mafarisayo.
Inasikitisha saana kumfundisha mtu ambae anajua imani yake. Mafarisayo ba masadukayo (watawala) walimuandama na kumsingizia kristo makosa ya uongo kama haya mnayomsingizia yesu na kufikishwa kwa plato akasema sijaona kosa lolote kwa mtu huyu. Mwisho washenzi kama hawa wakwetu (manyang'anyi, wauaji watekaji.) Wakapiga kelele msulubishe msulubishe. Acheni upumbavu wa kutaka kupindisha misingi ya dini ya kikristo
 
Ezekieli 45:9
Bwana MUNGU asema hivi; Na iwatoshe ninyi, enyi wakuu wa Israeli; ondoeni dhuluma na unyang'anyi; fanyeni hukumu na haki; ondoeni kutoza kwa nguvu kwenu katika watu wangu, asema Bwana MUNGU.
 
Mathayo 23:25
Ole wenu waandishi na Mafarisayo, wanafiki! Kwa kuwa mnasafisha nje ya kikombe na chano, na ndani yake vimejaa unyang'anyi na kutokuwa na kiasi.
 
Wakizifunga hizo shule na hospitali na wao pia watapa hasara kwani hivyo ni vitega uchumi vinaingiza fedha kwao
Huyo zuzu hajui anachoongea, nani anategemea shule za kanisa katoliki dunia ya leo? Shule zipi kwanza hizo? Za seminari? Ni kwamba amekunywa kisungura au ni zombie hivyo?
 
MJINGA TU hata wewe uliyepost mbona wanasiasa wanatumia kanisa kufanya siasa ila wao hawataki kuguswa na kanisa
 
Luka 11:39
Bwana akamwambia, Ninyi Mafarisayo mwasafisha kikombe na sahani kwa nje, lakini ndani yenu mmejaa unyang'anyi na uovu.

Nyie kima aka machawa wa mama soma hapo
NO REFORMS NO ELECTION
 
Zi Vile ni miradi yao, Tanzania ya leo hakuna anayetegemea taasisi yoyote ya kanisa.
 
Viongozi wa CCM husema watu wasichanganye Dini na Siasa, Maaskofu wameamua Kwa Vitendo kupiga marufuku Viongozi wa Kisiasa na Serikali kupewa nafasi kuongea Kanisani...!

Mbona CCM wameumia sana...!? Kama ni kuongea wanaweza kuitisha Mkutano Lumumba wakaongea tu.
 
Naona leo kwenye makundi yenu ya WhatsApp ya elf 7, 7 mmekubaliana mje humu kuanzisha nyuzi za kupinga kanisa kwa tamko lake la kuzuia mambuzi kwenye miambali ya kanisa. Kazi mnayo 😄
leo masjidi kwampalange al mchambwawima walio zamu ya kumjibia ustaadhat samia ni THE BIG SHOW na ustadhijuma wengine wanajiandaa wapo wanausoma mchezo ila mpaka sasa team samia imepata buyu bin nunge na team penda haki ina magoli kama mia hivi
 
Mwandiko wa uvccm kabisa huu.
 
Angewapelekea barua kanisani.

Vinginevyo ni kiki za siasa tu.
 
Sawa tumekusikia kijakazi wa ajuza maushungi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…