Elewa kuwa KANISA TAKATIFU KATOLIKI LA MITUME ni kubwa kuliko unavyofikiri. Halina machawa kama serikali inayooongozwa na na Mtu asiyejitambua yaani mbumbu na form Four failure.Kijana mmoja Mkristo Mkatoliki ameandika barua ya wazi kwa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) akieleza masikitiko yake juu ya kile anachokiona kuwa ni kuingizwa kwa Kanisa katika mijadala ya kisiasa.
Katika barua hiyo iliyojaa maneno makali ya kiimani na rejea nyingi za Maandiko Matakatifu kijana huyo amehoji iwapo kweli viongozi hao wanamfuata Kristo ambaye hakuwahi kushiriki siasa wala kushabikia harakati za madaraka licha ya kuishi chini ya utawala dhalimu wa Kirumi.
Amenukuu maneno ya Mtume Paulo kuhusu mamlaka za serikali kuwekwa na Mungu na kuonya kuwa Maaskofu wanapoteza dira yao ya kiroho kwa kuruhusu Kanisa kujiingiza katika mapambano ya kidunia.
βJe, mnamfuata Kristo yupi? Au mmeona haya kuishi mfano wa Kristo kwa kuwa watu watawacheka?β anauliza kijana huyo kwa uchungu akihoji misimamo ya baadhi ya viongozi wa Kanisa wanaotoa kauli zenye mwelekeo wa kisiasa.
Amehitimisha kwa kuwataka Maaskofu wa TEC warudi katika msingi wa kazi yao kuhubiri kufundisha na kusimamia maadili na waepuke kuwa chombo cha propaganda kinachotumiwa kwa malengo ya muda mfupi ya kisiasa.
Barua hiyo imesambaa kwa kasi mitandaoni na imezua maoni mseto kutoka kwa waumini na wachambuzi wa masuala ya dini na jamii
Utaadhi juma wewe ni binadamu timamu mwenye akili husikubali kutumika ka Toilet paper, mmechapishiwa ujumbe msambaze kwa malipo ya 20000Kijana mmoja Mkristo Mkatoliki ameandika barua ya wazi kwa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) akieleza masikitiko yake juu ya kile anachokiona kuwa ni kuingizwa kwa Kanisa katika mijadala ya kisiasa.
Katika barua hiyo iliyojaa maneno makali ya kiimani na rejea nyingi za Maandiko Matakatifu kijana huyo amehoji iwapo kweli viongozi hao wanamfuata Kristo ambaye hakuwahi kushiriki siasa wala kushabikia harakati za madaraka licha ya kuishi chini ya utawala dhalimu wa Kirumi.
Amenukuu maneno ya Mtume Paulo kuhusu mamlaka za serikali kuwekwa na Mungu na kuonya kuwa Maaskofu wanapoteza dira yao ya kiroho kwa kuruhusu Kanisa kujiingiza katika mapambano ya kidunia.
βJe, mnamfuata Kristo yupi? Au mmeona haya kuishi mfano wa Kristo kwa kuwa watu watawacheka?β anauliza kijana huyo kwa uchungu akihoji misimamo ya baadhi ya viongozi wa Kanisa wanaotoa kauli zenye mwelekeo wa kisiasa.
Amehitimisha kwa kuwataka Maaskofu wa TEC warudi katika msingi wa kazi yao kuhubiri kufundisha na kusimamia maadili na waepuke kuwa chombo cha propaganda kinachotumiwa kwa malengo ya muda mfupi ya kisiasa.
Barua hiyo imesambaa kwa kasi mitandaoni na imezua maoni mseto kutoka kwa waumini na wachambuzi wa masuala ya dini na jamii
Dawa imeingiaSasa ustaadhi Juma haya mambo ya wakatoliki mbona yamewauma sana? Si mlishasema wasichanganye siasa na dini? Wenyewe sasa wamewaweka mbali lakini hamtaki, mnataka nini? Ukatoliki ni mfumo huru mno kupigana nao ni ngumu mno. Sio kanisa la Gwajima lile.
Huyo siyo mkristo.Naona leo kwenye makundi yenu ya WhatsApp ya elf 7, 7 mmekubaliana mje humu kuanzisha nyuzi za kupinga kanisa kwa tamko lake la kuzuia mambuzi kwenye miambali ya kanisa. Kazi mnayo π
Unaakili sana ulijuaje mimi ndiye na mziba mama yako?CCM imeingiaje hapo we kizibo?
Ahahahahaaaa eti kijana mmoja, mnapoteza muda tu ,tamko limeshatokaKijana mmoja Mkristo Mkatoliki ameandika barua ya wazi kwa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) akieleza masikitiko yake juu ya kile anachokiona kuwa ni kuingizwa kwa Kanisa katika mijadala ya kisiasa.
Katika barua hiyo iliyojaa maneno makali ya kiimani na rejea nyingi za Maandiko Matakatifu kijana huyo amehoji iwapo kweli viongozi hao wanamfuata Kristo ambaye hakuwahi kushiriki siasa wala kushabikia harakati za madaraka licha ya kuishi chini ya utawala dhalimu wa Kirumi.
Amenukuu maneno ya Mtume Paulo kuhusu mamlaka za serikali kuwekwa na Mungu na kuonya kuwa Maaskofu wanapoteza dira yao ya kiroho kwa kuruhusu Kanisa kujiingiza katika mapambano ya kidunia.
βJe, mnamfuata Kristo yupi? Au mmeona haya kuishi mfano wa Kristo kwa kuwa watu watawacheka?β anauliza kijana huyo kwa uchungu akihoji misimamo ya baadhi ya viongozi wa Kanisa wanaotoa kauli zenye mwelekeo wa kisiasa.
Amehitimisha kwa kuwataka Maaskofu wa TEC warudi katika msingi wa kazi yao kuhubiri kufundisha na kusimamia maadili na waepuke kuwa chombo cha propaganda kinachotumiwa kwa malengo ya muda mfupi ya kisiasa.
Barua hiyo imesambaa kwa kasi mitandaoni na imezua maoni mseto kutoka kwa waumini na wachambuzi wa masuala ya dini na jamii
Huyu ni punguani!! "ROMA LOKUTA CAUSA FINITA"π π ππKijana mmoja Mkristo Mkatoliki ameandika barua ya wazi kwa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) akieleza masikitiko yake juu ya kile anachokiona kuwa ni kuingizwa kwa Kanisa katika mijadala ya kisiasa.
Katika barua hiyo iliyojaa maneno makali ya kiimani na rejea nyingi za Maandiko Matakatifu kijana huyo amehoji iwapo kweli viongozi hao wanamfuata Kristo ambaye hakuwahi kushiriki siasa wala kushabikia harakati za madaraka licha ya kuishi chini ya utawala dhalimu wa Kirumi.
Amenukuu maneno ya Mtume Paulo kuhusu mamlaka za serikali kuwekwa na Mungu na kuonya kuwa Maaskofu wanapoteza dira yao ya kiroho kwa kuruhusu Kanisa kujiingiza katika mapambano ya kidunia.
βJe, mnamfuata Kristo yupi? Au mmeona haya kuishi mfano wa Kristo kwa kuwa watu watawacheka?β anauliza kijana huyo kwa uchungu akihoji misimamo ya baadhi ya viongozi wa Kanisa wanaotoa kauli zenye mwelekeo wa kisiasa.
Amehitimisha kwa kuwataka Maaskofu wa TEC warudi katika msingi wa kazi yao kuhubiri kufundisha na kusimamia maadili na waepuke kuwa chombo cha propaganda kinachotumiwa kwa malengo ya muda mfupi ya kisiasa.
Barua hiyo imesambaa kwa kasi mitandaoni na imezua maoni mseto kutoka kwa waumini na wachambuzi wa masuala ya dini na jamii
Shida yako ni chuki za kidini dhidi ya Samialeo masjidi kwampalange al mchambwawima walio zamu ya kumjibia ustaadhat samia ni THE BIG SHOW na ustadhijuma wengine wanajiandaa wapo wanausoma mchezo ila mpaka sasa team samia imepata buyu bin nunge na team penda haki ina magoli kama mia hivi
Kijana anawaambia nini hao viongozi wasichokijua?Kijana mmoja Mkristo Mkatoliki ameandika barua ya wazi kwa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) akieleza masikitiko yake juu ya kile anachokiona kuwa ni kuingizwa kwa Kanisa katika mijadala ya kisiasa.
Katika barua hiyo iliyojaa maneno makali ya kiimani na rejea nyingi za Maandiko Matakatifu kijana huyo amehoji iwapo kweli viongozi hao wanamfuata Kristo ambaye hakuwahi kushiriki siasa wala kushabikia harakati za madaraka licha ya kuishi chini ya utawala dhalimu wa Kirumi.
Amenukuu maneno ya Mtume Paulo kuhusu mamlaka za serikali kuwekwa na Mungu na kuonya kuwa Maaskofu wanapoteza dira yao ya kiroho kwa kuruhusu Kanisa kujiingiza katika mapambano ya kidunia.
βJe, mnamfuata Kristo yupi? Au mmeona haya kuishi mfano wa Kristo kwa kuwa watu watawacheka?β anauliza kijana huyo kwa uchungu akihoji misimamo ya baadhi ya viongozi wa Kanisa wanaotoa kauli zenye mwelekeo wa kisiasa.
Amehitimisha kwa kuwataka Maaskofu wa TEC warudi katika msingi wa kazi yao kuhubiri kufundisha na kusimamia maadili na waepuke kuwa chombo cha propaganda kinachotumiwa kwa malengo ya muda mfupi ya kisiasa.
Barua hiyo imesambaa kwa kasi mitandaoni na imezua maoni mseto kutoka kwa waumini na wachambuzi wa masuala ya dini na jamii
Sawa ustaadh mibusha ubwabwa vinyiraShida yako ni chuki za kidini dhidi ya Samia