Barua nzito ya kijana Mkatoliki kwa Maaskofu yazua Gumzo

Naona leo kwenye makundi yenu ya WhatsApp ya elf 7, 7 mmekubaliana mje humu kuanzisha nyuzi za kupinga kanisa kwa tamko lake la kuzuia mambuzi kwenye miambali ya kanisa. Kazi mnayo πŸ˜„
Wamesha shindwa hawawezi pambana na kabisa wakashinda!!
 
We mjinga n aona unataka watu waanze kutukuna waislamu na waislamu kwa kuleta mada zako za kijinga humu
 
Naona leo kwenye makundi yenu ya WhatsApp ya elf 7, 7 mmekubaliana mje humu kuanzisha nyuzi za kupinga kanisa kwa tamko lake la kuzuia mambuzi kwenye miambali ya kanisa. Kazi mnayo πŸ˜„
Hivi bei haijapanda? Bado ni buku saba fc??
 
Acha fix, hizo propaganda za CCM - Kanisa huwa na msimamo mmoja tu - na msimamo wa Kanisa hadi leo ni kwamba Reforms zifanyike kabla ya Uchaguzi. Sasa huwezi pandikiza mgogoro ndani ya kanisa unajidanganya.
 
Fafanua zaidi tukuelewe!
Acha fix, hizo propaganda za CCM - Kanisa huwa na msimamo mmoja tu - na msimamo wa Kanisa hadi leo ni kwamba Reforms zifanyike kabla ya Uchaguzi. Sasa huwezi pandikiza mgogoro ndani ya kanisa unajidanganya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…