zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Duuuh! Kibaya zaid ikawa furaha mnoo kwa walinda legacy na wazalendo uchwara!!!Wakuu kumekua na barua inayosambaa ikisemekana inapongeza juhudi za Samia na pia kukosoa Chadema kupokea ruzuku takribani million 800!!
Kwenye kutafuta ukweli wa mambo, ACT wenyewe wamekanusha kuwa barua kuhusu Chadema kuchukua ruzuku ni feki. Hata katika kurasa rasmi za chama hakuna hiyo barua. Vile vile Salim bimanii anayesemakana kuandaa barua hiyo nayo hajaiweka popote kama press release.
Leo kada wao maarufu Petro ndolezi amekanusha kwamba barua hiyo sio ya ACT.
Nachojiuliza inakuaje Jamiiforums waache uzushi utamalaki ilihali Wana platform ya jamii check!! Huu uzembe unazidi kuonyesha weakness za media zetu kwenye kutoa habari za kuaminika.
View attachment 2537867
Sasa mjadala umekua mkubwa mpaka lawama kwa Mbowe... Thread zaidi ya 4 Sasa zinajadili barua feki alafu jamii check wamelala tu. Hii nchi hatuna media personnel serious kabisa.πππ message sent!
Na wewe unaamini ilikuwa feki?!!Sasa mjadala umekua mkubwa mpaka lawama kwa Mbowe... Thread zaidi ya 4 Sasa zinajadili barua feki alafu jamii check wamelala tu. Hii nchi hatuna media personnel serious kabisa.
Nionyeshe nje ya JF hiyo barua imepostiwa wapi. Msiigeuze JF kuwa FacebookNa wewe unaamini ilikuwa feki?!!
Hakika Nyaucho kazeeka na Chadema imezeeka duh!
Bwashee, unafurahia uovu?[emoji23][emoji23][emoji23] message sent!
Huko twitani iko tangia jana kama hujui!Nionyeshe nje ya JF hiyo barua imepostiwa wapi. Msiigeuze JF kuwa Facebook
Sent but not received niggaπππ message sent!
Sifurahii ila ACT Wazalendo ni wajanja sana hasa yule Nondo
πππ Ile nyomi ya jana pale Pemba ilikuwa si mchezo!Sent but not received nigga
Una akili sanasio bure lipo jambo.siasa za hii nchi mazijua vizuri sana.
mambo haya huwa yanapangwa kufikisha jambo au ujumbe flani alafu at the end watu wanajikataa.
Ila hapa hawa waliotengeneza hii habari fake wanadhumuni ambalo walitaka kufikishaWakuu kumekua na barua inayosambaa ikisemekana inapongeza juhudi za Samia na pia kukosoa Chadema kupokea ruzuku takribani million 800!!
Kwenye kutafuta ukweli wa mambo, ACT wenyewe wamekanusha kuwa barua kuhusu Chadema kuchukua ruzuku ni feki. Hata katika kurasa rasmi za chama hakuna hiyo barua. Vile vile Salim bimanii anayesemakana kuandaa barua hiyo nayo hajaiweka popote kama press release.
Leo kada wao maarufu Petro ndolezi amekanusha kwamba barua hiyo sio ya ACT.
Nachojiuliza inakuaje Jamiiforums waache uzushi utamalaki ilihali Wana platform ya jamii check!! Huu uzembe unazidi kuonyesha weakness za media zetu kwenye kutoa habari za kuaminika.
View attachment 2537867
Nondo ni kama Mdude tu, angekuwa mjanja wasingemteka,Sifurahii ila ACT Wazalendo ni wajanja sana hasa yule Nondo
Wewe unaamini alitekwa?Nondo ni kama Mdude tu, angekuwa mjanja wasingemteka,
Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
Mwamba hongera kwa kutika SegereaSent but not received nigga