Barua ya ACT Wazalendo kuhusu ruzuku ya CHADEMA ni feki

Wakuu kumekua na barua inayosambaa ikisemekana inapongeza juhudi za Samia na pia kukosoa Chadema kupokea ruzuku takribani million 800!!

Kwenye kutafuta ukweli wa mambo, ACT wenyewe wamekanusha kuwa barua kuhusu Chadema kuchukua ruzuku ni feki. Hata katika kurasa rasmi za chama hakuna hiyo barua. Vile vile Salim bimanii anayesemakana kuandaa barua hiyo nayo hajaiweka popote kama press release.

Leo kada wao maarufu Petro ndolezi amekanusha kwamba barua hiyo sio ya ACT.

Nachojiuliza inakuaje Jamiiforums waache uzushi utamalaki ilihali Wana platform ya jamii check!! Huu uzembe unazidi kuonyesha weakness za media zetu kwenye kutoa habari za kuaminika.

View attachment 2537867
Hiyo itakuwa kazi ya uviccm
 
Ila hapa hawa waliotengeneza hii habari fake wanadhumuni ambalo walitaka kufikisha

Hii ya Ruzuku nahisi ndio lilikuwa lengo lao kuu.
Walitaka ila sio kweli Sasa.... Ni Moja ya ajenda kwenye vikao vya maridhiano
 
Wakuu kumekua na barua inayosambaa ikisemekana inapongeza juhudi za Samia na pia kukosoa Chadema kupokea ruzuku takribani million 800!!

Kwenye kutafuta ukweli wa mambo, ACT wenyewe wamekanusha kuwa barua kuhusu Chadema kuchukua ruzuku ni feki. Hata katika kurasa rasmi za chama hakuna hiyo barua. Vile vile Salim bimanii anayesemakana kuandaa barua hiyo nayo hajaiweka popote kama press release.

Leo kada wao maarufu Petro ndolezi amekanusha kwamba barua hiyo sio ya ACT.

Nachojiuliza inakuaje Jamiiforums waache uzushi utamalaki ilihali Wana platform ya jamii check!! Huu uzembe unazidi kuonyesha weakness za media zetu kwenye kutoa habari za kuaminika.

View attachment 2537867
Hawa nao badala waungane wadai katiba na tume huru ya uchaguzi, wao wanagombania ruzuku duh Tanzania yangu, nimeamini Chongolo hakukosea kusema vile
 
Bablai sijawahi ona ukimletea mtu daz ila huwa naona ban shente.
Unajua simaindishagi mavanga chalyangu ila nawachanaga mapimbi waachege mambo za kichoko mtu akileta faru unakutaga mara pah admin kantia nyundo.

Sema ni mapeji ya politics ndio mbanga za hivyo hutokea huku kwengine mbona ni shangwe tu.
 
Kuna tetesi za pesa hiyo ya ruzuku kuingizwa kwenye akaunti ya uchochoroni. Pesa weka mbali na mangi.
Platinum member unaendekeza uongo? Ni lini Chadema wamepokea ruzuku? Pia unadai account ya uchochoroni .... Ni ripoti Gani ya CAG inakiri Kuna unadhirifu wa ruzuku? Au wewe ndio unajua financial control na forensic Auditing kuliko Kicheere?

Back
Top Bottom