Barua ya ACT Wazalendo kuhusu ruzuku ya CHADEMA ni feki

Barua ya ACT Wazalendo kuhusu ruzuku ya CHADEMA ni feki

Wewe Mpuuziiiiiii content si ipo sahihi?
Barua haijaandikwa na ACT na wamekanusha Sasa upuuzi wangu ni upi? Kwa hiyo Kwa kuwa Mama Samia atahudhuria BAWACHA basi nikiandika barua feki kwamba "ZANU PF yapongeza Samia kuhudhuria BAWACHA" ni halali kisa tu content ni kweli? Chadema haipokei 800 million kimahesabu kura za ubunge ni kma 15% ya kura zote so ruzuku ni kama 20 million pekee Sasa kwa miezi 28 tokea uchaguzi ni million 880??

Acheni fake news mtaigeuza JF kuwa Facebook.
 
Issue ni Je, Samia haendi katika kongamano na Chadema haijapokea hiyo ruzuku?
Barua sio ya ACT na kikubwa hapo ni hiyo 880 Million. Yaani unatengeneza mazingira ya kuaminika Ili ukiongea uongo watu waamini. Ruzuku ya 20 m ingefika 880 m ndani ya miaka 2?

Acheni disinformation
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Hadi unatia huruma!

Hii ndio ccm bwashee
Huruma nitie ya Nini wakati tunajinafasi na uhuru wa kisiasa. Mnaotia huruma ni sukuma gang mnaumia sana kuona harmony kati ya CCM na Chadema. Poleni mnoo na hiyo 2025 mtasaga meno kabisa tukiwatoa madarakani
 
Hiyo barua inawezekana ni ya kweli hasa ukiangalia mahusiano yaliyopo sasa hivi kati ya chadema na Hangaya.
 
Huruma nitie ya Nini wakati tunajinafasi na uhuru wa kisiasa. Mnaotia huruma ni sukuma gang mnaumia sana kuona harmony kati ya CCM na Chadema. Poleni mnoo na hiyo 2025 mtasaga meno kabisa tukiwatoa madarakani
Sukuma gang tutaungana na machadema kumpitisha Samia kwa kishindo si unaona mwenyewe jinsi sisi machadema tunavyomkubali mama?
 
Sukuma gang tutaungana na machadema kumpitisha Samia kwa kishindo si unaona mwenyewe jinsi sisi machadema tunavyomkubali mama?
Samia is not weak ila hataki uhasama kwenye siasa. Why iwe zero-sum game wakati siasa zinapaswa zitupe sera mbadala kuliko mauaji au kuchomeana Nyumba. Having said that hiyo 2025 msitegemee Kuna mbeleko ya kuiba kura au kubebwa itakua kma uchaguzi wa 2010 yaani ukikaa vibaya Jimbo linaenda. So sukuma gang ndio watakua biggest losers maana Chadema we have nothing to lose (Jimbo 1) but so much to gain in 2025.
 
Ilisambazwa na johnthebaptist
Wakuu kumekua na barua inayosambaa ikisemekana inapongeza juhudi za Samia na pia kukosoa Chadema kupokea ruzuku takribani million 800!!

Kwenye kutafuta ukweli wa mambo, ACT wenyewe wamekanusha kuwa barua kuhusu Chadema kuchukua ruzuku ni feki. Hata katika kurasa rasmi za chama hakuna hiyo barua. Vile vile Salim bimanii anayesemakana kuandaa barua hiyo nayo hajaiweka popote kama press release.

Leo kada wao maarufu Petro ndolezi amekanusha kwamba barua hiyo sio ya ACT.

Nachojiuliza inakuaje Jamiiforums waache uzushi utamalaki ilihali Wana platform ya jamii check!! Huu uzembe unazidi kuonyesha weakness za media zetu kwenye kutoa habari za kuaminika.

View attachment 2537867
 
Haikuwa na ufake wowote!

Kuna Taarifa ACT Wazalendo walikuwa nazo kabla ya Chadema ikiwemo Rais kukubali mwaliko wa Bawacha
Nadhani Kikosi Kazi cha Prof Mkandalla kilivujisha purposely!
Hao ACT kwanini mwanzo wakigoma kwamba barua haikuwa yao? waliona aibu kusema mwanzo ili wasionekane viherehere wanafuatilia mambo ya Chadema, lakini naamini walikuwa na lengo la kutafuta umaarufu kwa kuitumia Chadema, ile barua lazima ilitoka kwa mtu wa chama chao.
 
Barua haijaandikwa na ACT na wamekanusha Sasa upuuzi wangu ni upi? Kwa hiyo Kwa kuwa Mama Samia atahudhuria BAWACHA basi nikiandika barua feki kwamba "ZANU PF yapongeza Samia kuhudhuria BAWACHA" ni halali kisa tu content ni kweli? Chadema haipokei 800 million kimahesabu kura za ubunge ni kma 15% ya kura zote so ruzuku ni kama 20 million pekee Sasa kwa miezi 28 tokea uchaguzi ni million 880??

Acheni fake news mtaigeuza JF kuwa Facebook.
Nakusangaa kama si kukushangaa! Content sie ndiyo ya muhimu
 
Sukuma gang tutaungana na machadema kumpitisha Samia kwa kishindo si unaona mwenyewe jinsi sisi machadema tunavyomkubali mama?
Acha kuifedhehesha Chadema.
Haijawahi kuwa na mfuasi mjinga wa kiasi chako.
Samahani kwa kukueleza ukweli mchungu. Pole sana
 
Acha kuifedhehesha Chadema.
Haijawahi kuwa na mfuasi mjinga wa kiasi chako.
Samahani kwa kukueleza ukweli mchungu. Pole sana
Hata mimi siwezi kuwa mfuasi wa chama cha kipumbavu kama hicho
 
Back
Top Bottom