Barua ya ACT Wazalendo kuhusu ruzuku ya CHADEMA ni feki

Platinum member unaendekeza uongo? Ni lini Chadema wamepokea ruzuku? Pia unadai account ya uchochoroni .... Ni ripoti Gani ya CAG inakiri Kuna unadhirifu wa ruzuku? Au wewe ndio unajua financial control na forensic Auditing kuliko Kicheere?
Una tetea act au chadema
 
Platinum member unaendekeza uongo? Ni lini Chadema wamepokea ruzuku? Pia unadai account ya uchochoroni .... Ni ripoti Gani ya CAG inakiri Kuna unadhirifu wa ruzuku?
Tuhuma za ubadhirifu dhidi ya mwenyekiti wako hazijaanza leo. Amewahi kutuhumiwa kuanzisha gazeti binafsi kwa pesa iliyotolewa na wafadhili wa chama. Akatuhumiwa kudai kukikopesha chama pesa iliyotolewa na Rostam na Nimrod Mkono kama msada kwa chama.

Tuhuma hizi zilitolewa na Zitto akiwa bado naibu katibu mkuu. Lakini pia baadhi ya waliokuwa wabunge wa chama hicho wamewahi kushusha tuhuma nzito kwa mbowe zikimhusisha na wizi wa pesa ya chama.

Kuna mkuu mmoja aliwahi kusema uongo ukiachwa ukaenea kwa muda mrefu, hugeuka kuwa ukweli.

Juzi hapa tumesikia mahakama ikiamuru gazeti moja limlipe fidia Mchechu kwa kumzushia tuhuma zisizo na ukweli, Membe pia tumewahi kusikia ikiamriwa alipwe fidia kwa kuchafuliwa. Mzee Mtei pia miaka ya nyuma aliwahi kulamba fidia nono kwa kuchafuliwa na chombo cha habari kimoja kikubwa huko Ulaya.

Swali la kujiuliza, kwanini bwana mbowe pamoja na kuchafuliwa mara zote ameamua kutokujibu tuhuma anazorushiwa, au hata kwenda mahakamani kuwataka wanaomtuhumu wathibitishe tuhuma zao?

Jambo jingine unapaswa kujua kuwa kupewa hati safi ya ukaguzi haimanishi kwamba mambo kwenye taasisi yako ni 100% foolproof.
 
Wakuu kumekua na barua inayosambaa ikisemekana inapongeza juhudi za Samia na pia kukosoa Chadema kupokea ruzuku takribani million 800!!

Kwenye kutafuta ukweli wa mambo, ACT wenyewe wamekanusha kuwa barua kuhusu Chadema kuchukua ruzuku ni feki. Hata katika kurasa rasmi za chama hakuna hiyo barua. Vile vile Salim bimanii anayesemakana kuandaa barua hiyo nayo hajaiweka popote kama press release.

Leo kada wao maarufu Petro ndolezi amekanusha kwamba barua hiyo sio ya ACT.

Nachojiuliza inakuaje Jamiiforums waache uzushi utamalaki ilihali Wana platform ya jamii check!! Huu uzembe unazidi kuonyesha weakness za media zetu kwenye kutoa habari za kuaminika.

View attachment 2537867
Sisi tumeshaamini, na hakuna wa kutubadilisha
 
Swali la kujiuliza, kwanini bwana mbowe pamoja na kuchafuliwa mara zote ameamua kutokujibu tuhuma anazorushiwa, au hata kwenda mahakamani kuwataka wanaomtuhumu wathibitishe tuhuma zao?
Mkuu 2020 kulifanyika special audit ya TAKUKURU baada ya tuhuma kuwa Mbowe amejikopesha Hela za chama, sijui kajimilikisha magari ya chama , sijui anafuja ruzuku n.k ila mpaka uchunguzi unaisha hawakukuta ana kesi yoyote na hivyo hawakupelek jalada kwa DPP or kumfungulia kesi. Sasa Kama audit haikuona ana kesi why akajibu? Ujitetee kwa kitu hujfanya si unaach sheria ichukue mkondo wake na ukweli ukajulikan mwishoni.
Jambo jingine unapaswa kujua kuwa kupewa hati safi ya ukaguzi haimanishi kwamba mambo kwenye taasisi yako ni 100% foolproof.
Sio kweli kukiwa na nyaraka hazipo sawa utapewa tu audit query/opinion hta kama sio qualified opinion. mbona mwaka 2019 CAG alisema Chadema walinunua gari kwa jina la chama ilihali la mtu binafsi!! na hatukupewa hati safi!! Cha kushangaza tukipewa hatia safi mnasema sio wasafi kihivyoooo. Kaama CAG haumuamini basi niambie nani aikague Chadema PWC au Deloitte au E&Y? Si ndio mtasema wamehongwa!!
 
Mkuu 2020 kulifanyika special audit ya TAKUKURU baada ya tuhuma kuwa Mbowe amejikopesha Hela za chama, sijui kajimilikisha magari ya chama , sijui anafuja ruzuku n.k ila mpaka uchunguzi unaisha hawakukuta ana kesi yoyote na hivyo hawakupelek jalada kwa DPP or kumfungulia kesi. Sasa Kama audit haikuona ana kesi why akajibu? Ujitetee kwa kitu hujfanya si unaach sheria ichukue mkondo wake na ukweli ukajulikan mwishoni.

Sio kweli kukiwa na nyaraka hazipo sawa utapewa tu audit query/opinion hta kama sio qualified opinion. mbona mwaka 2019 CAG alisema Chadema walinunua gari kwa jina la chama ilihali la mtu binafsi!! na hatukupewa hati safi!! Cha kushangaza tukipewa hatia safi mnasema sio wasafi kihivyoooo. Kaama CAG haumuamini basi niambie nani aikague Chadema PWC au Deloitte au E&Y? Si ndio mtasema wamehongwa!!
Inaonekana unazo za ndani kuliko hata Mnyika 😆😆
 
Lissu kasema wameanza kupokea ruzuku, naye ni muongo? Au wewe unaweza kuwa na taarifa za chama ambazo lissu hana?
Letter is fake that was the whole point.... Disinformation is an opium.
 
Haikuwa na ufake wowote!

Kuna Taarifa ACT Wazalendo walikuwa nazo kabla ya Chadema ikiwemo Rais kukubali mwaliko wa Bawacha
Nadhani Kikosi Kazi cha Prof Mkandalla kilivujisha purposely!
Barua ni feki na Hilo ndio nasimamia.
 
Wakuu kumekua na barua inayosambaa ikisemekana inapongeza juhudi za Samia na pia kukosoa Chadema kupokea ruzuku takribani million 800!!

Kwenye kutafuta ukweli wa mambo, ACT wenyewe wamekanusha kuwa barua kuhusu Chadema kuchukua ruzuku ni feki. Hata katika kurasa rasmi za chama hakuna hiyo barua. Vile vile Salim bimanii anayesemakana kuandaa barua hiyo nayo hajaiweka popote kama press release.

Leo kada wao maarufu Petro ndolezi amekanusha kwamba barua hiyo sio ya ACT.

Nachojiuliza inakuaje Jamiiforums waache uzushi utamalaki ilihali Wana platform ya jamii check!! Huu uzembe unazidi kuonyesha weakness za media zetu kwenye kutoa habari za kuaminika.

View attachment 2537867
hapo fake ni nini
barua au hizo mada
je chadema wanapokea hizo ruzuku
 
Back
Top Bottom