Sleeping pills
Member
- Feb 23, 2023
- 77
- 77
Una tetea act au chademaPlatinum member unaendekeza uongo? Ni lini Chadema wamepokea ruzuku? Pia unadai account ya uchochoroni .... Ni ripoti Gani ya CAG inakiri Kuna unadhirifu wa ruzuku? Au wewe ndio unajua financial control na forensic Auditing kuliko Kicheere?
Sipo hapa kutetea mtu nanyoosha facts straight.Una tetea act au chadema
fake news has engulfed folks to the extent of thinking that fake news can deliver message to intellects.😂😂😂 message sent!
saiv wamekimbiana wamebaki wenye roho ngumu.Wajinga walikuja mbio kushangilia, mimi nikawa nawatazama tu.
nondo ni mjinga tu hana lolote la maana hebu mwambie aitishe mkutano wa hadhara kama atapata hata watu 10 wa kumsikiliza.Sifurahii ila ACT Wazalendo ni wajanja sana hasa yule Nondo
kwa hio wamegeuka mbwa koko mbona wanaogopa sasa kama walikuwa na jambo la kufikisha.Ila hapa hawa waliotengeneza hii habari fake wanadhumuni ambalo walitaka kufikisha
Hii ya Ruzuku nahisi ndio lilikuwa lengo lao kuu.
Tuhuma za ubadhirifu dhidi ya mwenyekiti wako hazijaanza leo. Amewahi kutuhumiwa kuanzisha gazeti binafsi kwa pesa iliyotolewa na wafadhili wa chama. Akatuhumiwa kudai kukikopesha chama pesa iliyotolewa na Rostam na Nimrod Mkono kama msada kwa chama.Platinum member unaendekeza uongo? Ni lini Chadema wamepokea ruzuku? Pia unadai account ya uchochoroni .... Ni ripoti Gani ya CAG inakiri Kuna unadhirifu wa ruzuku?
Sisi tumeshaamini, na hakuna wa kutubadilishaWakuu kumekua na barua inayosambaa ikisemekana inapongeza juhudi za Samia na pia kukosoa Chadema kupokea ruzuku takribani million 800!!
Kwenye kutafuta ukweli wa mambo, ACT wenyewe wamekanusha kuwa barua kuhusu Chadema kuchukua ruzuku ni feki. Hata katika kurasa rasmi za chama hakuna hiyo barua. Vile vile Salim bimanii anayesemakana kuandaa barua hiyo nayo hajaiweka popote kama press release.
Leo kada wao maarufu Petro ndolezi amekanusha kwamba barua hiyo sio ya ACT.
Nachojiuliza inakuaje Jamiiforums waache uzushi utamalaki ilihali Wana platform ya jamii check!! Huu uzembe unazidi kuonyesha weakness za media zetu kwenye kutoa habari za kuaminika.
View attachment 2537867
Mkuu 2020 kulifanyika special audit ya TAKUKURU baada ya tuhuma kuwa Mbowe amejikopesha Hela za chama, sijui kajimilikisha magari ya chama , sijui anafuja ruzuku n.k ila mpaka uchunguzi unaisha hawakukuta ana kesi yoyote na hivyo hawakupelek jalada kwa DPP or kumfungulia kesi. Sasa Kama audit haikuona ana kesi why akajibu? Ujitetee kwa kitu hujfanya si unaach sheria ichukue mkondo wake na ukweli ukajulikan mwishoni.Swali la kujiuliza, kwanini bwana mbowe pamoja na kuchafuliwa mara zote ameamua kutokujibu tuhuma anazorushiwa, au hata kwenda mahakamani kuwataka wanaomtuhumu wathibitishe tuhuma zao?
Sio kweli kukiwa na nyaraka hazipo sawa utapewa tu audit query/opinion hta kama sio qualified opinion. mbona mwaka 2019 CAG alisema Chadema walinunua gari kwa jina la chama ilihali la mtu binafsi!! na hatukupewa hati safi!! Cha kushangaza tukipewa hatia safi mnasema sio wasafi kihivyoooo. Kaama CAG haumuamini basi niambie nani aikague Chadema PWC au Deloitte au E&Y? Si ndio mtasema wamehongwa!!Jambo jingine unapaswa kujua kuwa kupewa hati safi ya ukaguzi haimanishi kwamba mambo kwenye taasisi yako ni 100% foolproof.
Inaonekana unazo za ndani kuliko hata Mnyika 😆😆Mkuu 2020 kulifanyika special audit ya TAKUKURU baada ya tuhuma kuwa Mbowe amejikopesha Hela za chama, sijui kajimilikisha magari ya chama , sijui anafuja ruzuku n.k ila mpaka uchunguzi unaisha hawakukuta ana kesi yoyote na hivyo hawakupelek jalada kwa DPP or kumfungulia kesi. Sasa Kama audit haikuona ana kesi why akajibu? Ujitetee kwa kitu hujfanya si unaach sheria ichukue mkondo wake na ukweli ukajulikan mwishoni.
Sio kweli kukiwa na nyaraka hazipo sawa utapewa tu audit query/opinion hta kama sio qualified opinion. mbona mwaka 2019 CAG alisema Chadema walinunua gari kwa jina la chama ilihali la mtu binafsi!! na hatukupewa hati safi!! Cha kushangaza tukipewa hatia safi mnasema sio wasafi kihivyoooo. Kaama CAG haumuamini basi niambie nani aikague Chadema PWC au Deloitte au E&Y? Si ndio mtasema wamehongwa!!
Lissu kasema wameanza kupokea ruzuku, naye ni muongo? Au wewe unaweza kuwa na taarifa za chama ambazo lissu hana?Platinum member unaendekeza uongo? Ni lini Chadema wamepokea ruzuku?
Letter is fake that was the whole point.... Disinformation is an opium.Lissu kasema wameanza kupokea ruzuku, naye ni muongo? Au wewe unaweza kuwa na taarifa za chama ambazo lissu hana?
Haikuwa na ufake wowote!Letter is fake that was the whole point.... Disinformation is an opium.
Barua ni feki na Hilo ndio nasimamia.Haikuwa na ufake wowote!
Kuna Taarifa ACT Wazalendo walikuwa nazo kabla ya Chadema ikiwemo Rais kukubali mwaliko wa Bawacha
Nadhani Kikosi Kazi cha Prof Mkandalla kilivujisha purposely!
Endelea kusimamia hapo hapo yajayo yanafurahishaBarua ni feki na Hilo ndio nasimamia.
hapo fake ni niniWakuu kumekua na barua inayosambaa ikisemekana inapongeza juhudi za Samia na pia kukosoa Chadema kupokea ruzuku takribani million 800!!
Kwenye kutafuta ukweli wa mambo, ACT wenyewe wamekanusha kuwa barua kuhusu Chadema kuchukua ruzuku ni feki. Hata katika kurasa rasmi za chama hakuna hiyo barua. Vile vile Salim bimanii anayesemakana kuandaa barua hiyo nayo hajaiweka popote kama press release.
Leo kada wao maarufu Petro ndolezi amekanusha kwamba barua hiyo sio ya ACT.
Nachojiuliza inakuaje Jamiiforums waache uzushi utamalaki ilihali Wana platform ya jamii check!! Huu uzembe unazidi kuonyesha weakness za media zetu kwenye kutoa habari za kuaminika.
View attachment 2537867
Barua mkuu ndio feki.hapo fake ni nini
barua au hizo mada
je chadema wanapokea hizo ruzuku
Sasa why barua ya ACT na wakati wao hawajaiandaa? Ndio misinformation yenyewe.
[emoji23][emoji23][emoji23]Hadi unatia huruma!Sasa why barua ya ACT na wakati wao hawajaiandaa? Ndio misinformation yenyewe.