Barua ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwenda FIFA

Sasa kwa akili zenu huko chadema mnaona hy barua itafanyiwa kazi wakati mmeruka utaratibu?
Kwa Akili zenu huko ccm mnaona ni sawa kupokea mchango wa club yenye wapenzi wa vyana vingi? Chadema hawataki majibu ya FIFA kwani wao wametoa taarifa ijibiwe isijibiwe msg sent
 
Kwa Akili zenu huko ccm mnaona ni sawa kupokea mchango wa club yenye wapenzi wa vyana vingi? Chadema hawataki majibu ya FIFA kwani wao wametoa taarifa ijibiwe isijibiwe msg sent
Kwan kulikuwa na mualiko kwamba watu wanaingia kwa majina?
N wao Yanga na utahira wao ndo walijipeleka kuchangia, Mbona simba hawakwenda.?
 
Jamaa usitulishe matango pori, wewe tunakujua ni mwenzetu wa okitoba tunatik. Hapa unataka kuyapakazia tu haya majamaa ya NrNe. Yanawezaje kuandika barua wakati yamefungiwa shughuli za kisiasa? Kiukweli chadema mnatuyumbisha vichwa, hatujielewi kabisa. Sijui tufanyeje mrudi ulingoni😅
 
Yaani niache kushabikia yanga kisa?
Nyumbu bhana!

Kwa hyo mizuka political party ni kamati ya maadili ya tff au?
Nyumbu ni ccm na yanga ina wapenzi wa vyama vyote si club ya ibilisi wa ccm pekee
 
Hapa CDM kama kweli wameandika wao wamezingua sana. Watatengeneza chuki zaidi kwa chama chao kwa baadhi ya mashabiki wa Yanga.

Linapokuja suala la usimba na uyanga tunajuana sisi. Natamani isiwe kweli, ama wakanushe hii habari.
Uko sahihi. Hapakuwa na sababu ya CHADEMA kujiingiza kwenye suala hili. Hasa baada ya watu kibao ( akiwemo mmoja wa wanachama wao maarufu) kutoa taarifa FIFA. Inajijengea uhasama usio na tija. Labda kama nao wanataka kuonekana ni chama cha Simba maana adui mkubwa wa Yanga ni Simba.

Amandla...
 
Pia mfano yanga wangewachangia chadema ingekuwa balaa kubwa wangeundiwa zengwe kubwa kubambikiwa kesi na hata kubambikiwa kodi na TRA kisha kufungiwa na FIFA
 
Tujitahitahidi kuwapiga picha na wale wanaoingia uwanjani na mabango ya Wanasiasa.
 
Tatizo linatokea polisi wakigundua kuwa huyo raia mwema nae ni mwizi! Taarifa ya raia mwema itatiliwa shaka hata kama ni ya kweli.

Amandla...
 
Mapimbi haya hayaeleweki hata yanataka nini, yenyewe ni kudandia dandi tu issues😁
Wewe ndiyo pimbi mvuta bangi hujui hata unaandika nini, kwani wewe ndiyo uliwatuma yanga kuichangia ccm? Kama yanga wasingefanya huo upumbavu mda huu ungekuwa unajadili nini wewe zuzu? Tanbua chanzo cha yote ni yanga kuchangia ibilisi wa ccm watesi waonevu wa chadema
 
Shida ya mfano wako ni kuwa Chadema sio klabu ya mpira. Hamna ambae angeshangaa kama Simba angechukuliwa hatua maana itafaidika. Chadema itafaidika vipi kama Yanga itachuliwa hatua? Au wanataka FIFA iichukulie hatua CCM?

Amandla...
 
What a fatal mistake. Hiki walichofanya kinaweza kufanywa na wanaharakati na si chama cha siasa. CDM wangeacha jambo hili likafanywa na wanaharakati. Kosa kubwa la kiufundi.
Wakina Maria Sarungi walishawaandikia. Chadema wamefanya kuongezea tu.
 
Unachangia nini kwenye Yanga? Hujawai kutoa hata mia mbovu alafu unataka kuwapangia Yanga cha kufanya
Kwani ccm inachangia nini yanga? na kwani wewe ndiyo msemaji wa mipango mibovu kuchangia ibilisi wa ccm chama cha watesi wa chadema, tambua club ya yanga ina wanachama na hulipa Ada huchangia Timu na wao siyo ibilisi wa wa ccm kama wewe hawataki club kuchafuka kisa wewe kunufaika na huo upumbavu wa mwenyekiti wa yanga
 
No reforms no ......imehamia Yanga!
 
Ukichukiwa na Wapumbavu uko salama. Yanga wamefanya upumbavu, ni mpumbavu pekee atayewachukia CDM kwa hiki walichofanya.
 
Hatua ni zipi ikithibitika?
 
Hatua ni zipi ikithibitika?
 
Simba yanga mda huu au hata Azam wakiwachangia chadema au hata ACT kinachofanyika ni ibilisi wa ccm kuwaundia zengwe kubwa kuwabambikia malimbikizo ya kodi toka TRA kuwabambikia kesi za uhujumu uchumi na mambo mengineyo ya hovyo, kuchangia ccm ni sawa lakini kuchangia chadema ni kosa la jinai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…