Barua ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwenda FIFA

Kwa lipi nfhi ifungiwe, unajua kanuni kweli wewe jumba la matusi?
 
Yaani niache kushabikia yanga kisa?
Nyumbu bhana!

Kwa hyo mizuka political party ni kamati ya maadili ya tff au?
 
Kwanza ukae ikijua Tanzania na CCM inatumia mtaji wa SIMBA NA YANGA kutupumbaza .Ni maombi ya WATANZANIA wenye akili kuomba mpira TANZANIA UFE
 
Yaani nyie chadema hakuna ambacho mtafanikiwa
Mtakuwa mnatapa tapa tu hadi mjifie kifo cha asili.
 
INDEED YOU ARE STUPID
 
VERY TRUE
 
Kwanza ukae ikijua Tanzania na CCM inatumia mtaji wa SIMBA NA YANGA kutupumbaza .Ni maombi ya WATANZANIA wenye akili kuomba mpira TANZANIA UFE
Akili zipi hizo walizonazo?
Duuuh?
Na ni watanzania wapi wanataka mpira ufe?
NYUMBU NI NYUMBU TU.
 
Relax we jamaa inaonekana una jichukia sana hii na habari tu lakini umepaniki, jipende, jikubali na tafuta namna ya kushughulikia maumivu ya kihisia na kiakili yanayokusumbua
Hakuna cha kurelax,
Watanzania tumeisha washtukia enyi wahuni wa ford foundation.
 
Kwanza ukae ikijua Tanzania na CCM inatumia mtaji wa SIMBA NA YANGA kutupumbaza .
Wewe kama ni mpumbavu huitaji kupumbazwa..., mbili ni nini nafasi ya entertainment katika nchi ? Tatu unataka labda tuondoe hii nafasi ya hizi timu ili iwe replaced na nini na ili iweje ? Tatu kama unaona Simba na Yanga zinaingiliwa na Wanasiasa pinga kuingiliwa kwao na sio Uwepo wao
Ni maombi ya WATANZANIA wenye akili kuomba mpira TANZANIA UFE
Kama hao ni wengi basi sentensi yako ya juu ni kweli kwamba wengi wa hao ni wapumbavu..., bila Simba na Yanga kuondoa Stress za watu katika haya maisha ambayo hayashikiki hali ingekuwa mbaya zaidi..., hivyo kama mambo hayaendi sawa polically is through the shortcomings of politicians na sio lack of entertainment from entertainers (after all that's what they are) ILA ndio hivyo wanasiasa na Ramli zao.....


 
Wazee wa kutrend, wrong move,yanga ikifungiwa wanadhani mashabiki wa yanga watakua nao!?
 
Waloochoma jezi uliwaona?
 
Wa kuadhibiwa ni Hersi sio klabu.Afungiwe kushiriki mambo ya soka abaki kwenye ubunge.
 
Walikuwa Chadema ? Au sababu kuna mashabiki walionunua jezi kwa Hasira walizichoma (Ni haki yao sababu Kilichofanyika ni Kosa) kwahio Chadema wakachome Uwanja ?
Ushaelewa ila unajizungusha zungusha tu.

Lakini unapaswa kujua kwamba mpaka unawaona Washabiki wa soko wa Tanzania waliopofushwa kwa goli la mama wanakasirika Yanga kuchangia CCM JUA KUMEKUCHA
 
Kisheria, mtu au taasisi yoyote iliyoathiriwa na jambo fulani wana haki ya kushtaki na kulalamika.
CHADEMA ni mwathirika wa jambo walilofanya Yanga wana haki ya kulalamika kwa mamlaka husika.
Hii sio kuingilia mpira ni kutafuta haki na kusimamia sheria zilizowekwa.

Kama CHADEMA wangetoa fedha za chama na kusaidia Simba kununua wachezaji na Simba wakakubali, basi Yanga au timu yoyote wangekuwa na haki ya kulalamika FIFA pia na isingekuwa kuingilia siasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…