Paula kilaki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 1,909
- 1,290
Ha ha ha haa kwa akili hii ndo matumbo amlinganishe huyo kapuku na waliokwenda shule??
hivi kwenye hiyo kampuni hakuna wasomi wakuiendesha mpaka wanafanya vituko vya namna hii???
Duuh nimecheka sana kama kitu very simple kama business letter inawashinda wataweza mengine?
Hivi JKT ndio JWTZ??
Ndio maaana domo ana mambo ya shombo sana coz akili na exposure yake ni very low!!!!!!
cc Matola
Sidhani km kama wameandika kweli mbona mbovu hvyoo
Hebu niambie kama ni kweli hii barua imeandikwa na Diamond au WCB?
Inakwenda JKT au JWTZ?
Unaamini kweli hii barua imendikwa na watu au mtu mwenye meneja au uongozi?
Samahani lakini!
ndio ni kweli, wewe ulitakaje?? Aoneshe jeuri?? Hakufunzwa hivyo.
Huu ni ujinga tuu hii barua haiwezi ikawa imeandikwa na watu wenye akili timamu kabisa!
Yani haijulikani ni JKT au JWTZ!
Huu ujinga hauwezi kuwa umepelekwa JWTZ ni watu tuu wana furahishana kwenye mitandao tuu!
namaanisha ni kweli ameomba radhi, eidha kimaandishi au kwa mdomo mtu akamwandikia barua. makosa yaliyopo kwenye barua ni kutokana na elimu yake ndogo if at all kweli ni yeye ameiandika.
kweli kabisa hii barua ya kazi au rafiki?
Be seriousl pleaseee
ustake nianze kudharau barua wanafundishwa la sita jamani
mbona wanafunzi mnatutia aibu walimu wenuuu
namaanisha ni kweli ameomba radhi, eidha kimaandishi au kwa mdomo mtu akamwandikia barua. makosa yaliyopo kwenye barua ni kutokana na elimu yake ndogo if at all kweli ni yeye ameiandika.
Jeshi la kujenga Taifa ndo JWTZ??? sidhani kama atapata msamaha!!!
Ni kitu kizuri kama kajua kosa na kuomba msamaha.Kwa hilo nampongeza
ndio maana kuna wanaofeli na wengine wanafaulu japo wote mmefundishwa. ulivyokuwa unasoma wale wanaofeli mlikuwa unawafanyaje?? mnawazomea labda??? mnawadharau??
kweli kabisa hii barua ya kazi au rafiki?
Be seriousl pleaseee
ustake nianze kudharau barua wanafundishwa la sita jamani
mbona wanafunzi mnatutia aibu walimu wenuuu
Ame muomba nani msamaha? JWTZ au JKT?
eti dada hapa tuache ushabiki maandazi
daimond si ana mameneja kazi yao nini?!!
hivi vita na ali kiba bado inapigwa! Very low.