Barua ya Diamond ! Duh noma!

Barua ya Diamond ! Duh noma!

Ha ha ha haa kwa akili hii ndo matumbo amlinganishe huyo kapuku na waliokwenda shule??

hivi kwenye hiyo kampuni hakuna wasomi wakuiendesha mpaka wanafanya vituko vya namna hii???

Duuh nimecheka sana kama kitu very simple kama business letter inawashinda wataweza mengine?

Hivi JKT ndio JWTZ??

Ndio maaana domo ana mambo ya shombo sana coz akili na exposure yake ni very low!!!!!!

cc Matola

si mnajua elimu yake ni ndogo??? nini kinawashangaza? lengo la barua ni kuomba radhi, usahihi wa uandikaji wa barua mnaujua ninyi wasomi.
 
Last edited by a moderator:
Sidhani km kama wameandika kweli mbona mbovu hvyoo

Huu ni ujinga tuu hii barua haiwezi ikawa imeandikwa na watu wenye akili timamu kabisa!

Yani haijulikani ni JKT au JWTZ!
Huu ujinga hauwezi kuwa umepelekwa JWTZ ni watu tuu wana furahishana kwenye mitandao tuu!
 
Hebu niambie kama ni kweli hii barua imeandikwa na Diamond au WCB?

Inakwenda JKT au JWTZ?

Unaamini kweli hii barua imendikwa na watu au mtu mwenye meneja au uongozi?

Samahani lakini!

namaanisha ni kweli ameomba radhi, eidha kimaandishi au kwa mdomo mtu akamwandikia barua. makosa yaliyopo kwenye barua ni kutokana na elimu yake ndogo if at all kweli ni yeye ameiandika.
 
ndio ni kweli, wewe ulitakaje?? Aoneshe jeuri?? Hakufunzwa hivyo.

kweli kabisa hii barua ya kazi au rafiki?
Be seriousl pleaseee
ustake nianze kudharau barua wanafundishwa la sita jamani
mbona wanafunzi mnatutia aibu walimu wenuuu
 
Huu ni ujinga tuu hii barua haiwezi ikawa imeandikwa na watu wenye akili timamu kabisa!

Yani haijulikani ni JKT au JWTZ!
Huu ujinga hauwezi kuwa umepelekwa JWTZ ni watu tuu wana furahishana kwenye mitandao tuu!

Hata mi nakubaliana na wewe
 
wala si diamond kaandika hii. diamond kwa ninavyomsoma kwenye kwenye maandiko yake hana tatizo la imla
 
namaanisha ni kweli ameomba radhi, eidha kimaandishi au kwa mdomo mtu akamwandikia barua. makosa yaliyopo kwenye barua ni kutokana na elimu yake ndogo if at all kweli ni yeye ameiandika.

barua jamani kuanziA shule ya msingi sekondari form one naseeb si kamaliza form four?!!
huyo meneja wake je?
nooo nooo nooooo!!!
 
kweli kabisa hii barua ya kazi au rafiki?
Be seriousl pleaseee
ustake nianze kudharau barua wanafundishwa la sita jamani
mbona wanafunzi mnatutia aibu walimu wenuuu

ndio maana kuna wanaofeli na wengine wanafaulu japo wote mmefundishwa. ulivyokuwa unasoma wale wanaofeli mlikuwa unawafanyaje?? mnawazomea labda??? mnawadharau??
 
namaanisha ni kweli ameomba radhi, eidha kimaandishi au kwa mdomo mtu akamwandikia barua. makosa yaliyopo kwenye barua ni kutokana na elimu yake ndogo if at all kweli ni yeye ameiandika.

Pengine wewe si mfatiliaji wa music wa diamond na maisha yake ya kimuziki!

Siamini na sito amini kuwa hii barua imeandikwa kutoka kwa diamond na kama aliomba msamaha kupitia barua basi siyo hii ...hii imetengenezwa tuuu!

Barua hii imejaa ujinga mwingi..sana!
Hivi unahitaji kusoma hadi kidato cha ngapi kujua tofauti ya JWTZ na JKT?
Hii ina hitaji shule?

Hii barua kama imeandikwa na Diamond au WCB basi Diamond hana sababu ya kuendelea kuwa na meneja kabisa name ni haibu kabisa... Huyo meneja anafanya kazi gani?

Sitegemei Diamond kuandika barua ya kitu serious kama hiki halafu hisipitiwe na watu wanao mzunguka na wanao jua mambo na taratibu za kiofisi!

Haingii akili kuamini hii barua imeandikwa na wakina Diamond na hata kama angekuwa hana meneja sidhani kama anaweza kupeleka barua kama hii sehemu za heshima!

Hii barua imejaa ujinga mwingi ndio maana naamini ni ya kutengeneza tuu!

Samahani lakini!
 
nakataa nakataa hii barua kwamb barua hii imeandikwa na diamond
eti wasafi clasiic baby jamaniiii!!!!
hata km hatumpendi this is too much
na km kweli i feel sory for him ili afike mbele zaidi anatakiwa apange safu yake upyaaa!!
 
ndio maana kuna wanaofeli na wengine wanafaulu japo wote mmefundishwa. ulivyokuwa unasoma wale wanaofeli mlikuwa unawafanyaje?? mnawazomea labda??? mnawadharau??

eti dada hapa tuache ushabiki maandazi
daimond si ana mameneja kazi yao nini?!!
 
kweli kabisa hii barua ya kazi au rafiki?
Be seriousl pleaseee
ustake nianze kudharau barua wanafundishwa la sita jamani
mbona wanafunzi mnatutia aibu walimu wenuuu

Hahaha jaman mpumzisheni domo looh
 
eti dada hapa tuache ushabiki maandazi
daimond si ana mameneja kazi yao nini?!!

kama kweli hii barua ni copy of the original one, kutakuwa na tatizo, kuwa daimond hana uelewa wa kutosha on how to draft an official letter jambo ambalo mimi halinishangazi tho' otherwise kuna mtu kuamua kumtengenezea headlines tena.
 
Back
Top Bottom