Barua ya Lissu kwenda kwa Dkt. William Leo

Kutoka kutoa maneno ya kijasiri ya kutafuta uungwaji mkono mpaka maneno ya kutafuta huruma.
 
Watanzania zetu ni huruma tu kwahiyo asichoke maana tunamuonea huruma za kutosha kwa jinsi anavyoteseka kutupambania
 
Apambane na hali yake kama ana ushahidi aweke ushahidi mahakamani kuwa ndio sababu afungue kesi na aweke ushahidi

Kesi yeyote ruksa kufungua awe Lisu au yeyote ila awe na ushahidi

Mwambieni afungue kesi dhidi ya Rostam Aziz ni haki yake kisheria
Kuna mahakama ya kuendesha kesi ya Rostam hapa Tanzania?
 
Binafsi narudia tena kusema mimi siyo shabiki wa TUNDU ni mwanachama wa ccm ila jamaa watawala wamempa kesi nzito isiyo na kichwa wala miguu. Ila malipo hapa hapa duniani

So sad! Tushikamane jamani
Ili suala la Kipumbavu sana Mtu mwenye Lissu ni Mgonjwa wa ulemuvu uliosababishawa nao kuchonganisha na Magu Leo wamemuweka ndani wanataka kumnyonga so sad kesho wako makanisani na misikitini kuomba Mungu msamaha. MUNGU wa haki na Malipo ni hapa hapa duniani Neture itaamua. Tumekosa Ubidamu kisa mali na Madaraka vitu vya Kupita
 
Kabisa mkuu.

Inauma nimesoma hiyo barua nimekuwa emotional sana, ila tupo kimya inabidi tupange mikakati ya kumaliza haya mambo ya unyanyasaji
 
Mkombozi mwenye Kitambi Lisu waambie Ukweli watanzania msingi wako ww kudai na kumdai unaemwita Mama Abdul !!!!

tuambie kwanza Watoto wa mjini tukuelewe lini ulimkopesha pesa Mama Abdul !!!

Je pesa ulizodai unamdai sio Mali ya Watanzania !!!!

Ukombozi umekujia baada ya kunyimwa pesa za Watanzania!!!!

umetibiwa kwa hisani ya Mabeberu Wazungu ambao sisi tunawadai wakoloni waliokutibia !!!

Deni lako la haki umeshalipwa

kwasasa kinachodai kutoka kwako ni kitambi tu

Rais wetu tunamwamini ktk kusimamia rasilimali zetu 💪

pesa unazodai zipo kinyume na Sheria umekuwa mkombozi wanini kitambi au !!!!
 
Hapa hapa Lord Denning uje hapa umeona hiki kitu cha Rost Tamu Aziz na lile Genge la kule kwa yule Mr. Kicheko
Magufuli aliacha hii kitu Je nae alifaidika nalo au Magu hakulijua au Limekuja baada Magu kufa hii kama ni miaka Mia Magu alipiga bunda huu mkataba Utakua mkali sana kama miaka mia makaa ya mawe yanaenda nje what shame kipindi cha Magufuli mliona malori mlioko songea mtujuze Lissu alipate hizi taarifa ina maana hata Mashaidi wa Serikali wa siri watajulikana Mungu anapenda haki mwisho wa siku palipo na haki Amani utawala. Nchi yoyote ukiona ina maendeleo na raia wametulia democrssia imestawi Ujue serikali imekubali kula na Wananchi Mali za Nchi viongozi wanaiba kazi wanafanya raia wanalizika Uduma bora zote wanapata angalau 80% huku Viongozi wanakomba mboga raia wameanza kustuka
 
Kuna mambo yanafanyika
Mtanzania Wakija kuelewa
it's too late

ova
 
Una hoja kuna sehemu niliuliza Magu hasijue hii na kutibua kwa miaka kweli Magu alitibua Migodi karibia yote Labda GGM huu mkaa wa Mawe hauteme nilikua najiuliza pia
 
Samia yeye anapigania nini?
 
Sheria hajiali Ulemavu mhalifu aweza kuwa mlemavu ana tako moja
 
Pole sana Mnyampaa, hauko peke yako tuko pamoja. Unalipenda Taifa lako kwa moyo wa dhati, Mungu hatakuacha peke yako utashinda na amekuandalia njia nyeupe kuliongoza Taifa hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…