Barua ya Lissu kwenda kwa Dkt. William Leo

Teh teh teh sasa anataka tuandamane ili aachiwe au??

Ukweli ni kwamba hata yeye anajua uchaguzi ukipita ataachiwa..
Sasa wewe unaona anastahili hicho anachofanyiwa?
Ukute hunufaiki kivilee na utawala uliopo,ila unaunga mkono kinachoendelea. Ujinga mtupu.
 
Watz tuna deni kwa huyu mwamba aisee!
.
Jamaa anateseka sisi tuko busy na upumbavu kweli?

Hivi Samia ni mtu wa namna gani? Mbona katili sana hili mama?

Laana anayoipata JK na Samia itawala vizazi na vizazi
 
Una hoja kuna sehemu niliuliza Magu hasijue hii na kutibua kwa miaka kweli Magu alitibua Migodi karibia yote Labda GGM huu mkaa wa Mawe hauteme nilikua najiuliza pia
Makaa ya mawe hayana deal kwa Tanzania, Wachina wamekuwa wakijibebea miaka mingi tu bila ya kelele.

Shughuli kubwa ya makaa ya mawe ni kwenye nishati. Uzalishaji wa saruji inataka umeme mwingi ambao TANESCO aikuwa na uwezo wa kumpa Dangote wakati anafungua kiwanda.

Ikamlazimu ajenge plant yake ya umeme inayotumia makaa ya mawe (cheap source) maana Tanzania ata gas walitaka kumlangua (yaani mafisadi nchi hii ni shida sana). Magufuli alipoingia akampatia deal nzuri ya gas ndio kubadili plant ya umeme kwenda kwenye gas kwa sehemu kubwa.

Sasa hivi CCM wana-mgodi wa makaa ya mawe itakuwa for export tu nchi ambazo bado zinatumia makaa ya mawe kuzalishia umeme, hela yake sio nzuri sana bila ya trainline faida ipo kwenye economies of scale.

Sasa aina maana Rostam ni mtu mzuri kwa Tanzania; walau watu wapewe lawama sahihi na ubadhirifu wao. Makaa ya mawe hayawezi badili maendeleo ya eneo faida uwa ni ajira tu.
 
Kuna mwamba kanunua plant ya songas na nyingine hko kusini
Watanzania wakae mkao wa kuliwa tu ...... watu watakuja kuelewa sana badaye hapo akili zao zikiwa sawa
Sahv Acha tuendele kukata mauno tu

Ova
 
Kuna tofauti kati ya sympathy na Empathy sio...? So nikiwa sambamba na empathy kwa Lissu nasema hivi wakati Ana advocate ile kampeni ya NRNE alikua na lengo zuri tu

So aside give up kwa changamoto hii anayopitia, aendelee kukaza buti tu mpaka lengo litimie. Wa Tanzania hata tukijifanya kujikausha kuna muda utafik kila moja kwa pekeyake hata akiwa chooni anakunya akili zitarejea tu kwamba huyu jamaa anachokifanya kina MANTIKI.

I SAY DON'T SETTLE UNTIL IT IS DONE.
 
Teh teh teh sasa anataka tuandamane ili aachiwe au??

Ukweli ni kwamba hata yeye anajua uchaguzi ukipita ataachiwa..
Kwenye andiko umeona kuna sehemu kaandika kua muandamane? Au tundu lako la kunyea ndo limekutuma useme hayo
 
Nyinyi ndo wale manoingiliwa kinyume na maumbile, mkiambiwa si sawa mnasema mikund* ni yenu wawaache
 
Sasa yupi mjinga?

Anayepambania watu wasiomjjali au anayepambania maisha yake na kuachana na ya wengine?
 
Sina shaka Mungu anayaona Mateso ya Lissu! Naye anasema,
Mateso ya Mwenye Haki ni Mengi,Lakini BWANA atamponya nayo yote,(Zab.34:19)
Siku inakuja ambayo atawekwa huru.
 
Dunia imeshuhudia mamia kwa maelfu ya watawala dhalimu, madikteta, mafashisti, na watesaji wa wale wanaousimamia ukweli.

Hakuna jambo jipya chini ya ardhi. Yote hupita na kugeuka kuwa historia. Kamanda Lissu, dunia inatambua ukweli unaousimamia, ila kundi la WAHUNI linataka kukuzuia.

Tupo pamoja na wewe. NO REFORM, NO ELECTION.
 
Duuh sawa tunamuombea, Mungu atatenda Hakika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…