Barua ya Lissu kwenda kwa Dkt. William Leo

Na ndio maana Serikali, Sheria, mahakama, magereza na adhabu ni endelevu.
 
Kwa hivi ulivyoandika,wakipatikana Kila mkoa hata wawili,ukombozi ni Hakika!
 
Kuna umri wengine tunagonga sasa, sio kutukana tu hata kusoma matusi inaanza kuwa kero.

Like seriously moderators walau muongeze policing kwenye hili jukwaa.

Embu ondoeni watoto wa mtaani kwenye hili jukwaa.

Yaani watu wanatukana watu na kudhani it’s OK, kama JF aina quality manager.

Hii sasa ni platform kubwa lazima kuwe na strikes kwa members na mwisho kufungiwa.

Wakatukanane huko chit-chat; wengine ni Middle-Aged man sasa.
 
Sasa yupi mjinga?

Anayepambania watu wasiomjjali au anayepambania maisha yake na kuachana na ya wengine?
Inategemea Maana katika siasa hakuna zuri Wala baya

Ubaya wa jambo / uzuri wa jambo unategemea na mahali utakapo kuwa umeegemea
 
Niliwahi kusema, Njia aliotumia kupambana ni sahihi lakini sio sahihi. Mana ili uweze kupambana kwahiyo njia unahitaji mass support ya kikweli kabisa, na mass sio support sio mitandani bali mtaani.

wale wazee wa NRNE utakutana nao twitter tu, hata kukinukisha mpka hii leo wameshindwa. Pumbav kabisa.
 
Ila inaonekana anayelazimishwa awe mshindi ataendesha nchi kwa tabu sana. Yetu macho
 
Mkuu uko deep asante kwa madini
 
You nailed it bro.
 
Well put mkuu, hata mimi naona kama siyo mwandiko wa Tundu
 
Shule nzuri sana ya industrial economics umetoa mkuu Mayor Quimby
 
Mimi nasema kila siku sina tatizo na TAL, shida ni hawa watanzania wanaopiganiwa, laiti hata sekunde moja Lissu angejua aina ya watu anaowapigania basi ama kwa hakika angelia mno.

Waone hawana hata habari masikini 😤
Sio watanzania, ni WATANGANYIKA mkuu, wazanzibar wala hawana habari na TAL.
 
Mimi ni mfuasi wa wanaotaka amani halafu ni mwanaccm sio cdm,lakini ukweli utasemwa mpende msipende
 
ila ninyi JF muelewe hakuna nchi nyingine ya kuishi labda km Mello Maxence siyo raia km ambavyo nna wasiwasi
Mawazo ya kupambana na vyombo vya habari badala ya kutafiti habari inayotolewa na hivyo vyombo ili kujua mbivu na mbichi ni ya kijima sana.

Kwa hiyo unataka JF ifunge watu midomo!?
Kabla hujamtuhumu Melo, pambana kwanza na mitandao mingine ya kijamii(Instagram, X na mingine).
 
Pole sana Mnyampaa, hauko peke yako tuko pamoja. Unalipenda Taifa lako kwa moyo wa dhati, Mungu hatakuacha peke yako utashinda na amekuandalia njia nyeupe kuliongoza Taifa hili.
Kushinda kesi anaweza lakini kuiongoza Tanzania kama Rais nasema BIG NO.
 
Hili mama lako ni katili kuliko rais yeyote aliwahi kutawala hii nchi
Magufuli alimpiga Tundu risasi 36 mwilini akitaka kumuua, Samia kamfungulia mashtaka ya uhaini tu ambapo anaweza Tundu kushinda. Je nani katiki kumzidi mwenzie?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…