Barua ya majibu ya Msekwa kuwajibu Kinana na Makamba hii hapa

Barua hata usipo address mtu katibu ataifungua na kuipekeka kunakohusika.Ingeweza hata kuwa addressed kwa Baraza la wazee bila kutaja katibu Wala mwenyekiti treatment Ni same katibu atafungua na kupeleka kunakohusika .Issue Sio Nani addressed Ni content ya ndani inatakiwa kwenda wapi
 
Reactions: Qwy
Wachawi utawaona wewe ukiwa mmojawapo
 

Katibu sio anaefungua barua.

Mabarua ya ofisi hayaachwi yarundikane mlangoni kwa Katibu yanamsubiri Katibu ayafungue.

Majisala wanafungua barua na kuipeleka inakohusika.

Which means sio kila barua inasomwa na Katibu wa taasisi. Kazi yake ingegeuka kufungua na kusoma na ku forward ma barua siku nzima.

Barua ya Mwalimu wa Shule ya Msingi Maneromango, Kisarawe Vijijini, kudai mafao yake ya likizo ya uzazi usidhani itafunguliwa na kusomwa na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, TAMISEMI, Dodoma.
 
Kwanini hiyo barua hawakuipeleka/tuma kwemye Baraza?
 
Ameoa kwenye Jumuiya za Chama.... Ahahahaaaaaa..... Mimi nimeoa chuo kikuu. Naheshimu sana university.
 
Yeah, asante!
 
Hahahahahahaha..,...
Duh!!
Utakua nape wewe!!!!!
 
Kwa hiyo unawatetea Kinana na Makamba? Siyo nyie mlikuwa mnasema Kinana ni msomali anayemaliza tembo wetu kwa kuwa kigogo wa biashara Haram ya pembe za ndovu?

Kiukweli hamuleweki!
Mzazi wako mache watu wa mke wamseme, wamtukane hadharani lakini siyo wewe mtoto wake. Akikosea Luna njia ya kukosoana siyo kumdhalilisha.
Ukumbuke hao ni wanadamu wanamapungufu yao
 
Hongera Makamba na Kinana. Zama za uoga zimepitwa. A new era has begun. Kama Jiwe anamtuma Musiba kutukana watu na aambiwe... That is the crux of the matter. Hayo mengine ni kelele tu.
 
Wakati wa JK kulikuwa na mtu akijiita: "Mwandishi wa Rais Msaidizi" badala ya "Mwandishi Msaidizi wa Rais"
 
Unafahamu maana ya nyoka? Acheni uoga wenu. Watu wameamua kujitoa muhanga kwa ajili ya utawala bora, nyie mnawaita nyoka! Watanzania hamna shukurani. Bila shaka wakati Nyerere anapigania uhuru wa Tanganyika babu zenu walimwita nyoka.
Tatizo ni Nape. Nape ni nyoka kumbe ndo aliepeleka barua tena kwa mkono. Aibu zake.
 
Unafahamu maana ya nyoka? Acheni uoga wenu. Watu wameamua kujitoa muhanga kwa ajili ya utawala bora, nyie mnawaita nyoka! Watanzania hamna shukurani. Bila shaka wakati Nyerere anapigania uhuru wa Tanganyika babu zenu walimwita nyoka.
Kujitoa mhanga kinafki? Ukijitoa mhanga unamface mtu ana kwa ana unampa makavu yake. Hii ya kusemea nyuma ya pazia na ukikutana na mhusika unamchekea tabasamu kama lote kumbe moyoni unachuki kama yote. Nape ni nyoka kabisa.
 
Kuzikwa kwani wamekwambia kuwa wanatafuta vyeo? Wametumikia taifa kwa muda wao, wakastaafu. Nyie mnaotumikia matumbo yenu mnafikiri watu wote duniani wanapaswa kutumikia matumbo yao. Loh!
Mzee msekwa kiboko, jamaa wametumia mihemuko, imekula kwao, sasa ndio wanaenda kuzikwa kabisa...
 
Angekuwa mnafiki angepeleka barua kwa mkono? Ama kwenye lugha yenu hii ina maana gani? Au ulitaka aipeleke kwa Musiba? Ameipeleka kwa Katibu wa Baraza kwa mkono. Sasa hapo unafiki uko wapi? Huyo unayetaka am-face una uhakika gani kuwa hajawahi kum-face. Ama ulitaka afanye hivyo kwenye TV? Acheni kukatisha moyo mashujaa wa nchi hii. Wekeni uoga wenu kwenye makabati huko kwenye vyumba vyenu.
Kujitoa mhanga kinafki? Ukijitoa mhanga unamface mtu ana kwa ana unampa makavu yake. Hii ya kusemea nyuma ya pazia na ukikutana na mhusika unamchekea tabasamu kama lote kumbe moyoni unachuki kama yote. Nape ni nyoka kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…