YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Barua hata usipo address mtu katibu ataifungua na kuipekeka kunakohusika.Ingeweza hata kuwa addressed kwa Baraza la wazee bila kutaja katibu Wala mwenyekiti treatment Ni same katibu atafungua na kupeleka kunakohusika .Issue Sio Nani addressed Ni content ya ndani inatakiwa kwenda wapiMasijala na mihuri ya received wewe inakuhusu nini?
In other words, mihuri inayogongwa kwenye barua yako ndani kwa ndani ya taasisi wakati wewe umeshaikabidhi umeondoka, inakuhusu nini?
Unataka barua yako ishughulikiwe na taasisi. Kwa nini usii address kwa taasisi au, at the very least, kwa Mwenyekiti ambae ndie muwakilishi mkuu wa taasisi?