Barua ya Mdude kwa umma baada ya kupata taarifa anawindwa kuchomolewa uhai

Duh,dogo anajiamini!!!
 
Watanzania tumezoea kupuuza taarifa kama hizi.
Matukio yanaendelea kuongezeka.

Mdude_Nyagali Mungu akulinde sana ndugu yangu. Hakuna kulala hakuna kuzimia labda watuue wote. Lakini watazaliwa walio bora kuliko sisi na watakomesha hizi mbanga za Samia na CCM yake
 
This time they won't spare you

USSR
 
This time they won't spare you

USSR
 
Pole sana mdude.hii taarifa siyo ya kupuuza hata kidogo.watu wanatekwa Kila siku.Namshauri mdude aipeleke hiyo barua Nchi wanachama wa umoja wa ulaya ili ashughulikiwe kisawasawa huyu anayefadhiri haya makundi ya kuteka watu
 
Ameen
 
tena tume
Mhhhhhh! tumefikia huku Tz.
pitiliza!
tumevuka milima na mabonde utatwambia nini sasa? tumetoa kafara kumbwa na kwa sasa si ya mbuzi na ng'ombe tena bali damu ya mtu! na ikiwezekana damu ya watoto wadogo ambao kabla ya kuwaua tunataka mazabahu ya kafara kwa kuwalawiti! kisha tunawaua kwa ajili ya mali na madaraka!
 
lak
Maisha ya wasiwasi ni magumu sana, angalia swala anapoishi kwa wasiwasi, wakati wote anaweza kuliwa. Naomba utawala utakaoondoa huu wasiwasi wa maisha.
hawawezi kuwafukuza simba wasiishi nao wala chui, lakini katika mazingira hayohayo huweza kukua kuzaa na kuongezeka kwa kuwa MWENYEZI MUNGU huwalinda nasi pia MUNGU tunayemtegemea atatulinda na wao ipo siku wataondoka ila vizazi vyao vitalipa Damu, Nafsi na Roho za watu zilizoteseka.
 
Kwa niwajuavyo polisi,hapa watapata kesi nyingi tu za uhakika,ikiwemo kusambaza habari za uwongo,kumzushia mkuu wa nchi uwongo,walikamate hili pera liozee ndani
 
Barua hii tu inaweza kumtia matatani. Hivi huyu jamaa aliwahi kula cha Arusha, Mwakaleli au Njombe?
 
HUYU MAKU ANA IMPACT GANI KWENYE NCHI ??? ANAONGEA YEYE KAMA NANI ?? ALAFU TANZANIA TUNA WATU WAJINGA WAJINGA WENGI SANA AMBAO WANAZINGATIWA NA JAMII SIJUI KWA LIPI LA MAANA !

HUYU MDUDE SIJAWAI KUMUELEWA HATA SIKU MOJA YAN KUNA MUHUNI HUKO ANAMTISHA ETI ANATAKA KUULIWA KWA LIPI ALILOKUWA NALO

AKITOKEA MTU AKAMPIGA HATA KOFI AKIZIMA ITAONEKANA MAMA SAMIA NDIO KAMTUMA ASKARI AMCHAPE KOFI AFE NA BADO WABONGO WATAAMINI KWA KUWA KUWA WAMEZOEA KUAMINI KILA WANACHOKIONA NDIO MAANA KIBOKO YA WACHAWI KAJA NA KIBEGI KAONDOKA NA DOLA ZA KUTOSHA KWA AKILI NDOGO ZA WATANZANIA.

Binafsi ccm siwakubali kwa namna wanavyotupeleka ila hawa chadema ndio siwaelewi kabisa kama hawana cha kufanya ni bendera fuata upepo tu. Wakurupukaji wanaenda na upepo na matukio yao mengi yanakuwa na double standard kiufupi chadema ni jana janja hawajui washike lipi
 
Kwani huyu mdude ndio nani jmn na ana athari gani kwa taifa hili mpk ifikie hivi?nchi ya watu wa ovyo kbs yaani hawa jamaa wana ajenda zao za nyuma ya pazia na wakoloni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…