Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Kwani uongo?Mhhhhhh! tumefikia huku Tz.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani uongo?Mhhhhhh! tumefikia huku Tz.
Huu utawala ni katili haswaSumu ya Nyigu 7x70....Ni vyema ulivyoweka wazi ,hata Ben Saanane alianza kwa kutishwa.
Duh,dogo anajiamini!!!Chanzo > Account yake ya mtandao wa X / Twitter
.........................................................................................
Kwa Ndugu, Jamaa, Marafiki, Watanzania na jumuiya za kimataifa,
YAH; VITISHO VYA KUTEKWA, KUUAWA NA KUPOTEZWA.
Utambulisho.
Mimi mtajwa hapo juu ni Mwanaharakati wa Kutetea Haki za Binadamu na Utawala Bora hapa Tanzania kwa zaidi ya miaka kumi sasa, Katika kazi hiyo ya kutetea Haki nimekumbana na matatizo makubwa ikiwemo kutekwa mara kadhaa na vyombo vya dola, kukamatwa na kushtakiwa kwa makosa ya uongo yakiwemo kusafirisha dawa za kulevya na uhaini kuanzia 2016 mpaka 2023.
Kusudi.
Kwamba mnamo tarehe 18 Septemba 2024 siku ya Jumatano muda wa saa 05:57 jioni, nilipata taarifa kutoka kwa msamaria mwema kuhusu uhai wangu. Msamaria huyo alinijulisha kwamba Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza nitekwe na kupotezwa kabisa katika dunia. Nimeshindwa kupuuza taarifa hizi kwasababu ya matukio mengi ya watu kutekwa na kupotezwa akiwemo mjumbe wa sekretarieti wa chama kikuu cha upinzani CHADEMA ambaye alitekwa na watu wenye silaha na pingu akiwa ndani ya basi la abiria kisha baadaye mwili wake ukaokotwa Ununio Dar es Salaam ukiwa umeharibiwa na kumwagiwa tindikali. Lakini pia nimesita kupuuza taarifa hizo kutokana na uhusiano wangu na utawala wa Rais Samia hasa pale serikali yake iliponikamata na kunishikilia kinyume na sheria kwa siku saba mimi na wenzangu kwa tuhuma za uongo za uhaini mwezi August 2023.
Hivyo basi kupitia barua hii nawajulisha ndugu, jamaa, marafiki, watanzania na jumuiya za kimataifa kwamba; lolote baya litakalonipata Rais Samia Suluhu Hassan ndiye atakuwa mtuhumiwa wa kwanza na atawajibika yeye kizazi na kizazi mpaka siku Yesu Kristo atakaporudi,
View attachment 3100415
Naona kamtuhumu Mama yako, hivi kweli Mama haujui uchungu wa kuzaa? Dunia hii tunapita tu. Mdude akipotea na kufa mtuhumiwa namba moja ni aliyetajwaHuyu jamaa ana matatizo makubwa sana kichwani mwake.
Watanzania tumezoea kupuuza taarifa kama hizi.Chanzo > Account yake ya mtandao wa X / Twitter
.........................................................................................
Kwa Ndugu, Jamaa, Marafiki, Watanzania na jumuiya za kimataifa,
YAH; VITISHO VYA KUTEKWA, KUUAWA NA KUPOTEZWA.
Utambulisho.
Mimi mtajwa hapo juu ni Mwanaharakati wa Kutetea Haki za Binadamu na Utawala Bora hapa Tanzania kwa zaidi ya miaka kumi sasa, Katika kazi hiyo ya kutetea Haki nimekumbana na matatizo makubwa ikiwemo kutekwa mara kadhaa na vyombo vya dola, kukamatwa na kushtakiwa kwa makosa ya uongo yakiwemo kusafirisha dawa za kulevya na uhaini kuanzia 2016 mpaka 2023.
Kusudi.
Kwamba mnamo tarehe 18 Septemba 2024 siku ya Jumatano muda wa saa 05:57 jioni, nilipata taarifa kutoka kwa msamaria mwema kuhusu uhai wangu. Msamaria huyo alinijulisha kwamba Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza nitekwe na kupotezwa kabisa katika dunia. Nimeshindwa kupuuza taarifa hizi kwasababu ya matukio mengi ya watu kutekwa na kupotezwa akiwemo mjumbe wa sekretarieti wa chama kikuu cha upinzani CHADEMA ambaye alitekwa na watu wenye silaha na pingu akiwa ndani ya basi la abiria kisha baadaye mwili wake ukaokotwa Ununio Dar es Salaam ukiwa umeharibiwa na kumwagiwa tindikali. Lakini pia nimesita kupuuza taarifa hizo kutokana na uhusiano wangu na utawala wa Rais Samia hasa pale serikali yake iliponikamata na kunishikilia kinyume na sheria kwa siku saba mimi na wenzangu kwa tuhuma za uongo za uhaini mwezi August 2023.
Hivyo basi kupitia barua hii nawajulisha ndugu, jamaa, marafiki, watanzania na jumuiya za kimataifa kwamba; lolote baya litakalonipata Rais Samia Suluhu Hassan ndiye atakuwa mtuhumiwa wa kwanza na atawajibika yeye kizazi na kizazi mpaka siku Yesu Kristo atakaporudi,
View attachment 3100415
Duh,dogo anajiamini!!!
AmeenChanzo > Account yake ya mtandao wa X / Twitter

pitiliza!Mhhhhhh! tumefikia huku Tz.
Very trueHuenda hata Samia hamjui Mdude_Nyagali
hawawezi kuwafukuza simba wasiishi nao wala chui, lakini katika mazingira hayohayo huweza kukua kuzaa na kuongezeka kwa kuwa MWENYEZI MUNGU huwalinda nasi pia MUNGU tunayemtegemea atatulinda na wao ipo siku wataondoka ila vizazi vyao vitalipa Damu, Nafsi na Roho za watu zilizoteseka.Maisha ya wasiwasi ni magumu sana, angalia swala anapoishi kwa wasiwasi, wakati wote anaweza kuliwa. Naomba utawala utakaoondoa huu wasiwasi wa maisha.
Kwa niwajuavyo polisi,hapa watapata kesi nyingi tu za uhakika,ikiwemo kusambaza habari za uwongo,kumzushia mkuu wa nchi uwongo,walikamate hili pera liozee ndaniChanzo > Account yake ya mtandao wa X / Twitter
.........................................................................................
Kwa Ndugu, Jamaa, Marafiki, Watanzania na jumuiya za kimataifa,
YAH; VITISHO VYA KUTEKWA, KUUAWA NA KUPOTEZWA.
Utambulisho.
Mimi mtajwa hapo juu ni Mwanaharakati wa Kutetea Haki za Binadamu na Utawala Bora hapa Tanzania kwa zaidi ya miaka kumi sasa, Katika kazi hiyo ya kutetea Haki nimekumbana na matatizo makubwa ikiwemo kutekwa mara kadhaa na vyombo vya dola, kukamatwa na kushtakiwa kwa makosa ya uongo yakiwemo kusafirisha dawa za kulevya na uhaini kuanzia 2016 mpaka 2023.
Kusudi.
Kwamba mnamo tarehe 18 Septemba 2024 siku ya Jumatano muda wa saa 05:57 jioni, nilipata taarifa kutoka kwa msamaria mwema kuhusu uhai wangu. Msamaria huyo alinijulisha kwamba Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza nitekwe na kupotezwa kabisa katika dunia. Nimeshindwa kupuuza taarifa hizi kwasababu ya matukio mengi ya watu kutekwa na kupotezwa akiwemo mjumbe wa sekretarieti wa chama kikuu cha upinzani CHADEMA ambaye alitekwa na watu wenye silaha na pingu akiwa ndani ya basi la abiria kisha baadaye mwili wake ukaokotwa Ununio Dar es Salaam ukiwa umeharibiwa na kumwagiwa tindikali. Lakini pia nimesita kupuuza taarifa hizo kutokana na uhusiano wangu na utawala wa Rais Samia hasa pale serikali yake iliponikamata na kunishikilia kinyume na sheria kwa siku saba mimi na wenzangu kwa tuhuma za uongo za uhaini mwezi August 2023.
Hivyo basi kupitia barua hii nawajulisha ndugu, jamaa, marafiki, watanzania na jumuiya za kimataifa kwamba; lolote baya litakalonipata Rais Samia Suluhu Hassan ndiye atakuwa mtuhumiwa wa kwanza na atawajibika yeye kizazi na kizazi mpaka siku Yesu Kristo atakaporudi,
View attachment 3100415
Barua hii tu inaweza kumtia matatani. Hivi huyu jamaa aliwahi kula cha Arusha, Mwakaleli au Njombe?Chanzo > Account yake ya mtandao wa X / Twitter

Labda we ndiye humjui lakini Serikali ya ccm na Jeshi la Polisi wanamjua, kwani Soka na Mdude nani high value kisiasa, ila si hoja.Sio high value kisiasa huyo amjue nani labda huko Chadema huko ndio wanamjua
Subiri wewe siku ukibinywa PUMBU utaelewaMuhuni kweli huyu jamaa😝😝😝