Ipo ila tu apambane nao hata mimi niliombwa lkn nilipambana mpaka nilipata.
Mimi sijawahi kuombwa baru ya mwaliko mara zote nilizoomba passportHili hitaji lipo siku zote. Watu wamesema humu na kwingineko time and again.
Jiongeze mkuu.Swali lilikuwa unamtu unakoenda kufikia nikasema ndio, mjamaa akasema basi tuletee barua ya mwaliko na picha ya passport yake ili tuambatanishe
Rudi tena waambie unakwenda nchi ambazo hazihitaji mwaliko wala visa. Zipo nyingi tu.Siku ya jana nimepeleka document zangu kwa ajili ya kupata passport lakini nimeambiwa inahitajika barua ya mualiko pamoja na copy ya passport ya mtu ninae kwenda kumtembelea.
Kama kuna mtu yuko na sample ya barua ya mualiko anisaidie nipate niweze kuedit kwa ajili ya kuitumia.
Mimi sijawahi kuombwa baru ya mwaliko mara zote nilizoomba passport
Yeah awaambie anakwenda kenya tu.Rudi tena waambie ubakwenda nchi ambazo hazihitaji mwaliko wala visa. Zipo nyingi tu.
Kuna mazingira yametengenezwa hili kuendeleza classes kwenye jamii yetu.. upuuzi mtupuHaya ndo ya kumwambia mgombea wako ayafanyanyie kazi akiingia ikulu.
U kweli ndio huo passport kwa Tanzania inachukuliwa kama starehe na sio hitaji la kila raia kama ilivyo NIDA
Hii sio sababu ya msingi hata kidogo, kwa hiyo mtu akiwa na Nia ovu ndio atashindwa kuleta hiyo mibarua yao ya mialiko au?Passport ni hati ya kusafiria...
Kama huna sababu ya safari tarajia kukutana na mkwamo kwenye kuipata...
Sababu ni kupunguza gharama za uchapaji, kuzuia passport kutumiwa na maharamia n.k...
Kuna mazingira yametengenezwa hili kuendeleza classes kwenye jamii yetu.. upuuzi mtupu
Yaani Kuna vitu ambavyo inatakiwa vibaki kwa watu wa class Fulani tu bas.
Mimi nimewahi kumuona mtoto mwenye umri wa miaka 13 anamiliki passport, na baba yake ni mtumishi wa hiyo idara ya uhamiaji.
Sasa hebu tujiulize huyo mtoto hiyo passport anaifanyia nini kama sio ufahari tu wazazi, kwamba wakitaka kwenda vacation(kwa pesa wanazoiibia serikali) wanaongozana na mtoto wao?
Je, huyo mtoto naye pia aliambiwa apeleke barua ya mwaliko wakati anaomba hiyo passport???

Sio Dogo wa miaka 13 watoto wana miaka 2 na passport wanazo majumbani.Kuna mazingira yametengenezwa hili kuendeleza classes kwenye jamii yetu.. upuuzi mtupu
Yaani Kuna vitu ambavyo inatakiwa vibaki kwa watu wa class Fulani tu bas.
Mimi nimewahi kumuona mtoto mwenye umri wa miaka 13 anamiliki passport, na baba yake ni mtumishi wa hiyo idara ya uhamiaji.
Sasa hebu tujiulize huyo mtoto hiyo passport anaifanyia nini kama sio ufahari tu wazazi, kwamba wakitaka kwenda vacation(kwa pesa wanazoiibia serikali) wanaongozana na mtoto wao?
Je, huyo mtoto naye pia aliambiwa apeleke barua ya mwaliko wakati anaomba hiyo passport???
Kwa hiyo na Mimi kama mzazi wangu ana passport ninaweza nikatumia mgongo wake kujipatia passport? Au hii iko applicable kwa watoto wadogo tu?Mtoto lazima asafiri na wazazi na anahitaji passport yake hata akiwa na mwezi mmoja. Essentially passport is an 🆔. Ila wabongo na ushamba wao wanaona passport ni anasa.
Anarudije wakati online alishajaza nchi nyingine? Labda aache ile application imalize muda wake aanze upyaRudi tena waambie ubakwenda nchi ambazo hazihitaji mwaliko wala visa. Zipo nyingi tu.
Ndugu Bado ni kichefu chefu hata kwa hayo maelezo unayonipa.... Unajua hapa duniani kwa maisha yalipofikia suala la passport halikutakiwa kabisa liwe linawekewa mijadala kama hii? Ni ujinga na kuendekeza mambo ya kijima ya kipumbavu..Muhimbu
Sio Dogo wa miaka 13 watoto wana miaka 2 na passport wanazo majumbani.
Shakuambia ulikosea kuwaambia unaenda yuropu au kwa Trump
Ukitaka uepuke usumbufu taja nchi za jirani tu hapo.
Ongea na watu mjini ndugu yangu zipo had chipsi za Mia 2 sahani ni wewe tuu unajiweka vipi na watu
Unamshauri aidanganye mamlaka ya Serikali ?Rudi tena waambie ubakwenda nchi ambazo hazihitaji mwaliko wala visa. Zipo nyingi tu.
Kwamba hii ndio sababu kubwa ya wao kuweka hicho kigezo cha ovyo???Invitation letter anaandika mwenyeji wako huko unakoenda. Just kuthibitisha kuwa yeye ndiye anakupokea, usije zamia nchi za watu kama mhamiaji haramu😀😀
Kwa hiyo na Mimi kama mzazi wangu ana passport ninaweza nikatumia mgongo wake kujipatia passport? Au hii iko applicable kwa watoto wadogo tu?
Aisee hii nchi hii... Basi tu
Siku ya jana nimepeleka document zangu kwa ajili ya kupata passport lakini nimeambiwa inahitajika barua ya mualiko pamoja na copy ya passport ya mtu ninae kwenda kumtembelea.
Kama kuna mtu yuko na sample ya barua ya mualiko anisaidie nipate niweze kuedit kwa ajili ya kuitumia.
That is bullshit [hiyo sababu ya safari].Passport ni hati ya kusafiria...
Kama huna sababu ya safari tarajia kukutana na mkwamo kwenye kuipata...
Sababu ni kupunguza gharama za uchapaji, kuzuia passport kutumiwa na maharamia n.k...
Ni typing error hiyo we naye..(uraia pacha)Ulaya pacha ndio nini?
Wewe ulishindwa kuwapanga vizuri ndio maana utazungushwa Sana. Pale uhamiaji wanakuzingua na issue ndogo tu kwa maswali yako