Barua ya mwaliko ili kupata passport

Barua ya mwaliko ili kupata passport

Siku ya jana nimepeleka document zangu kwa ajili ya kupata passport lakini nimeambiwa inahitajika barua ya mualiko pamoja na copy ya passport ya mtu ninae kwenda kumtembelea.

Kama kuna mtu yuko na sample ya barua ya mualiko anisaidie nipate niweze kuedit kwa ajili ya kuitumia.
Rudi tena waambie unakwenda nchi ambazo hazihitaji mwaliko wala visa. Zipo nyingi tu.
 
Haya ndo ya kumwambia mgombea wako ayafanyanyie kazi akiingia ikulu.

U kweli ndio huo passport kwa Tanzania inachukuliwa kama starehe na sio hitaji la kila raia kama ilivyo NIDA
Kuna mazingira yametengenezwa hili kuendeleza classes kwenye jamii yetu.. upuuzi mtupu

Yaani Kuna vitu ambavyo inatakiwa vibaki kwa watu wa class Fulani tu bas.

Mimi nimewahi kumuona mtoto mwenye umri wa miaka 13 anamiliki passport, na baba yake ni mtumishi wa hiyo idara ya uhamiaji.

Sasa hebu tujiulize huyo mtoto hiyo passport anaifanyia nini kama sio ufahari tu wazazi, kwamba wakitaka kwenda vacation(kwa pesa wanazoiibia serikali) wanaongozana na mtoto wao?

Je, huyo mtoto naye pia aliambiwa apeleke barua ya mwaliko wakati anaomba hiyo passport???
 
Passport ni hati ya kusafiria...

Kama huna sababu ya safari tarajia kukutana na mkwamo kwenye kuipata...

Sababu ni kupunguza gharama za uchapaji, kuzuia passport kutumiwa na maharamia n.k...
Hii sio sababu ya msingi hata kidogo, kwa hiyo mtu akiwa na Nia ovu ndio atashindwa kuleta hiyo mibarua yao ya mialiko au?

Halafu mbona lipassport letu raia wa kigeni wanalitumia sana tu huko nje?

Kuna wanyarwanda Kibao tu na wakenya wanatumia passport yetu huko nje, na Tena ukiskiliza story zao wanakwambia Wala hata hawakutumia nguvu nyingi kupata hiyo passport...

Hapa Tanzania mtu anayetumia nguvu nyingi hadi anajikatia tamaa kwenye kutafuta passport ni mtanzania wa asili wa kuzaliwa hapa hapa...

Kuna mahindi Kibao tu na mapakistan ambayo hata kiswahili hayakijui ila yakitaka passport ni siku mbili tu yanaipata.

Tunavyosema kwamba nchi hii imeoza na Ina maudhi Kibao tuna sababu za msingi
 
Kuna mazingira yametengenezwa hili kuendeleza classes kwenye jamii yetu.. upuuzi mtupu

Yaani Kuna vitu ambavyo inatakiwa vibaki kwa watu wa class Fulani tu bas.

Mimi nimewahi kumuona mtoto mwenye umri wa miaka 13 anamiliki passport, na baba yake ni mtumishi wa hiyo idara ya uhamiaji.

Sasa hebu tujiulize huyo mtoto hiyo passport anaifanyia nini kama sio ufahari tu wazazi, kwamba wakitaka kwenda vacation(kwa pesa wanazoiibia serikali) wanaongozana na mtoto wao?

Je, huyo mtoto naye pia aliambiwa apeleke barua ya mwaliko wakati anaomba hiyo passport???

Mtoto lazima asafiri na wazazi na anahitaji passport yake hata akiwa na mwezi mmoja. Essentially passport is an 🆔. Ila wabongo na ushamba wao wanaona passport ni anasa.
 
Muhimbu

Sio Dogo wa miaka 13 watoto wana miaka 2 na passport wanazo majumbani.
Shakuambia ulikosea kuwaambia unaenda yuropu au kwa Trump
Ukitaka uepuke usumbufu taja nchi za jirani tu hapo.
Ongea na watu mjini ndugu yangu zipo had chipsi za Mia 2 sahani ni wewe tuu unajiweka vipi na watu
 
Kwa hiyo na Mimi kama mzazi wangu ana passport ninaweza nikatumia mgongo wake kujipatia passport? Au hii iko applicable kwa watoto wadogo tu?

Aisee hii nchi hii... Basi tu
 
Rudi tena waambie ubakwenda nchi ambazo hazihitaji mwaliko wala visa. Zipo nyingi tu.
Anarudije wakati online alishajaza nchi nyingine? Labda aache ile application imalize muda wake aanze upya
 
Muhimbu

Sio Dogo wa miaka 13 watoto wana miaka 2 na passport wanazo majumbani.
Shakuambia ulikosea kuwaambia unaenda yuropu au kwa Trump
Ukitaka uepuke usumbufu taja nchi za jirani tu hapo.
Ongea na watu mjini ndugu yangu zipo had chipsi za Mia 2 sahani ni wewe tuu unajiweka vipi na watu
Ndugu Bado ni kichefu chefu hata kwa hayo maelezo unayonipa.... Unajua hapa duniani kwa maisha yalipofikia suala la passport halikutakiwa kabisa liwe linawekewa mijadala kama hii? Ni ujinga na kuendekeza mambo ya kijima ya kipumbavu..

Ukienda forums kama nairaland au Kenyatalks kule watu Wana discuss na kupeana idea jinsi gani ya kupata Visas za nchi Kama Australia,Canada,Uk n.k

Na Wala huoni kabisa wakijadili jinsi ya kupata passport..... Maana hiyo level ya ujima wameshaivuka.

Sasa hebu njoo hapa kwetu , sijui Kuna threads elfu ngapi humu zinazohusu malalamiko ya kupata passports, yaani sisi Bado tunajadili namna ya kuondoka humu nchini wakati wenzetu Sasa hivi wanajadili wapi Kuna fursa wazifuate...

Sisi Bado tuko gizani Tena kwenye giza Totoro, sisi ni washamba, sisi ni wajinga na pila vile vile sisi tuna laana na ndio maana akili zetu zimedumaa...

Hebu ona vitu ambavyo vilitakiwa viwe vya kawaida sana lakini kwetu sisi Bado ni anasa, aisee Ina uma sana.

Hakika siku ya kuondoka kwenye hili jehanamu sijui nitakuwa na feelings gani tu
 
Invitation letter anaandika mwenyeji wako huko unakoenda. Just kuthibitisha kuwa yeye ndiye anakupokea, usije zamia nchi za watu kama mhamiaji haramu😀😀
Kwamba hii ndio sababu kubwa ya wao kuweka hicho kigezo cha ovyo???

Kwamba nikialikwa na mtu ndio siwezi kuzamia huko baada ya muda wangu wa kustay kuwa umeisha au?

Mbona sababu ni nyepesi na ya kipuuzi sana?
 
Kwa hiyo na Mimi kama mzazi wangu ana passport ninaweza nikatumia mgongo wake kujipatia passport? Au hii iko applicable kwa watoto wadogo tu?

Aisee hii nchi hii... Basi tu

Mkuu, una uelewa gani kuhusu mambo ya uraia na uhamiaji?

To answer your qn, watoto wadogo lazima wawe accompanied na wazazi kuomba passport na hata kusafiri. Ni mzazi ndo anayeomba kusafiri na wanae. Not the other way round.

Off topic, Una habari watoto under 18 wanaruhusiwa na wanaweza kuwa na uraia pacha? Utachanganyikiwa zaidi.
 
Siku ya jana nimepeleka document zangu kwa ajili ya kupata passport lakini nimeambiwa inahitajika barua ya mualiko pamoja na copy ya passport ya mtu ninae kwenda kumtembelea.

Kama kuna mtu yuko na sample ya barua ya mualiko anisaidie nipate niweze kuedit kwa ajili ya kuitumia.

Kama unataka barua ya mchongo tafuta online zipo nyingi tu. Unapata vp copy ya passport ya mwenyeji wa mchongo inayoendana na barua yako? Refusha mkono tu bongo hata muhuri wa Ikulu unapatikana ni hela yako tu.
 
Passport ni hati ya kusafiria...

Kama huna sababu ya safari tarajia kukutana na mkwamo kwenye kuipata...

Sababu ni kupunguza gharama za uchapaji, kuzuia passport kutumiwa na maharamia n.k...
That is bullshit [hiyo sababu ya safari].

Hakuna kabisa mantiki ya kunyima watu hiyo hati kama hawana safari.

Kuna ubaya gani mtu kuwa nayo halafu awe nayo tayari endapo atapata safari?

Wakati mwingine hitaji la kusafiri hujitokeza kwa muda mfupi tu kutokana na sababu mbalimbali.

Sasa kama mtu tayari anayo pasipoti, anakuwa keshapunguza usumbufu wa kuitafuta.

Kwa nchi zingine wala huhitaji kuwa na safari ndo upewe.

Ukiomba tu unapewa. Madhali umetimiza vigezo vinavyohitajika.

Kuhusu pasipoti kutumiwa kimakosa, hiyo haina mashiko kabisa.
 
Ulaya pacha ndio nini?
Wewe ulishindwa kuwapanga vizuri ndio maana utazungushwa Sana. Pale uhamiaji wanakuzingua na issue ndogo tu kwa maswali yako
Ni typing error hiyo we naye..(uraia pacha)

Ningewapanga vipi???

Haya Sasa mwakani nataka niende Morocco kwenye michuano ya AFCON na Sina mwenyeji huko ila account yangu Ina $20,000 ambayo naamini inawezesha kuishi huko mwezi mzima mpaka michuano inaisha.... Je, Bado pia nahitaji baraua ya mwaliko???

Hii nchi yenu ya mafisadi na wapenda rushwa Ina maudhi sana.
 
Back
Top Bottom