chikutentema
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 7,694
- 4,954
Kiingereza chenyewe shida, alijaribu kuandika legalese lakini akaharibu kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenichekesha sana.Kiongozi, unataka moderetaz nao wajumuike kumchakata jamaa au?
HahahahaUmemaliza tu umekula ban
Umeongea jambo la point kama zote, tunaomjua wala hatushangai huu utapeli unaoufanya yaani hakuna jipya. Na ndio unajiuliza hawa watu wa kuwapatia wananchi viongozi hawajui kazi yao ya kuchuja na Kumfuatilia mtuDogo alianza utapeli tangu akiwa St.John pale dodoma
😂 😂 😂Hahahaha
Watu wapunguze jazba sasa humu
Ova
Haa haa. Mbona unatuadharau wamasai ndugu yangu. Hicho kiinglish cha hiyo barua si cha dunia hii. Si angeandika kiswahili au hata kimasai tu? Anyways matapeli wana kawaida ya ku-complicate mambo ili waonekane wako level nyingine.Kiinglishi cha kimasai!
Kama chuo tu alikuwa mzushi, haya kapata nafasi tena kubwa, hapo lazima apigeUmeongea jambo la point kama zote, tunaomjua wala hatushangai huu utapeli unaoufanya yaani hakuna jipya. Na ndio unajiuliza hawa watu wa kuwapatia wananchi viongozi hawajui kazi yao ya kuchuja na Kumfuatilia mtu
Nimecheka bila hiari 🤣Ukiona kifaranga juu ya mtungi ujue mama yake yupo mita chache.
Ashakum sio matusi Mkuu kwanini umeichagua hii adhabu? Uliijuaje kama ni adhabu ambayo itakupa total satisfaction?Huyu kijana napendekeza afi√we ndo iwe adhabu yake! Na arekodiwe wakati wa mtifuano wa tope, baada yake afuate kheri james na majangili mengine ya ccm
Lete picha za mabaunsa na walimbwende Hai lukuki. Vinginevyo hii supu ya punda.Mabaunsa na walimbwende lukuki kwenye kila msafara[emoji23]
Haya mambo ya appointment aliyaweza Hayati Mwl. J K Nyerere, alikuwa anachunguza sana watu anaowapa nafasi za uongoziUmeongea jambo la point kama zote, tunaomjua wala hatushangai huu utapeli unaoufanya yaani hakuna jipya. Na ndio unajiuliza hawa watu wa kuwapatia wananchi viongozi hawajui kazi yao ya kuchuja na Kumfuatilia mtu
kwanza hamna policy kama hiyo nchi hii. huu ni wizi wa wazi kabisa.Duh jamaa
Eti kwenda kusimama na kueleza yeye na CCM ilichofanya basi anataka ushirikiano wa kupewa mchango, This is so sad!.
Ni wizi huu!, arudishe hizi fedha!
Wakati hii inaendelea tunaomba :Wakuu huu ndio ushahidi wa uovu uliokuwa ukifanywa na huyu kijana
View attachment 1795272
Nimeipenda hii methali.Ukiona kifaranga juu ya mtungi ujue mama yake yupo mita chache.
Wakuu huu ndio ushahidi wa uovu uliokuwa ukifanywa na huyu kijana
View attachment 1795272
Taarifa zinadokeza kwamba Sabaya anapanga kukimbia nchi na kutorokea Nairobi , vyombo vya dola msipomdaka huyu na tukaona kweli ametoroka tutajua kweli mmekula njamaWakuu huu ndio ushahidi wa uovu uliokuwa ukifanywa na huyu kijana
View attachment 1795272