Barua ya Ole Sabaya akiomba hela kampuni binafsi kusaidia CCM - 2019

Barua ya Ole Sabaya akiomba hela kampuni binafsi kusaidia CCM - 2019

Hivi mwendazake alivyokuwa anasema yeye ni Rais wa wanyonge huku kuna majambazi kama haya kwenye utawale wake.....
 
Hawa wilipewa dhamana na waliaminiwa na jpm
Lakini kumbe nyuma huko wanamzunguka
Kutwa wako kwenye media sijui kaenda kukamata bidhaa magendo,mara sjui kumrudishia bibi gani aliporwa shamba,mara katatatua mgogoro ...
Ila yote ile ni geresha

Ova
Hawakuwahi kumzunguka, alijua kila kitu na akaendelea kumbeba
 
Back
Top Bottom