Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
- Thread starter
- #21
Kuna wakati Amin alikwenda kumpokea mgeni wake kutoka Falme za Kiarabu mmoja wa wanafamilia wa Kifalme. Alifika Entebe Airport akiwa kwenye baiskeli kumbe nia yake ni kumpa ujumbe kuwa wana shida ya mafuta Uganda.
It worked, mgeni alivyorudi kwao alituma meli ya mafuta Uganda.
hahahaha[emoji23][emoji23] kile kichwa bana alafu alikua na tabia kama za jiwe mfano kuna video anahojiwa akajisahau akasema “tactics i use in sports i apply in politics also,for example i knock out political opponents” mwandishi akauliza “how do you knock out political opponents ?” akajibu “but you know europeans used to think that African leaders cannot think for themselves...” hapo amebadili mada [emoji23] na huwezi kumkosoa
Sent using Jamii Forums mobile app