Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DuhMobutu na Chirac walikuwa ni personal friends, katika barua hii Mobutu anamfahamisha Chirac kusudio la kutoa siri za wamarekani Africa hasa Angola na kuachia madaraka ya nchi
Hii ni moja ya barua za mwisho alizoandika Mobutu akiwa rais
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa alikuwa katakataView attachment 1425606View attachment 1425607
Wakati mambo yakiwa sawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa ni Paris au Kinshasa ? Jamaa alikuwa na mkwanja mrefuChirac alimtembelea sana Mobutu inadaiwa pia Mobutu alimfadhili pesa za kampeni Chirac na viongozi wengine wa Ulaya huenda hii ni sababu pesa za Mobutu hazijulikani ziliwekwa Bank gani mpaka leo miaka 20 baada ya kuzitafuta
serikali ya Congo huwa inaambiwa zilikuwepo ila sasa hazipo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Una akili sana wewe Mzee!! umesomea wapi ya shule bana!!! Bila shaka hizi ni akili za Nyakato sec. Kagera! au Tabora boys ya zamani au pugu sec. kwa uchache jamii ya generali Ulimwengu !!mkuu wanasiasa wanajuana, familia ya Mobutu ilirudishiwa mali zote zilizokuwa congo ikiwemo majumba makubwa ya Kinshasa.
Hapo ndo nachoka hasa kuhusu uharibifu wa Mwafrika Mjumba km huu ni mali adimu sana, tena umejengwa kwa hela yao! wangeutaifisha! ua wautunze tu!! au liwe bonge la Hotel ya kitalii??? au basi watunzie watoto yatima!! wasingeharibu hata unyoya wa kuku hapo!Afande mobuttu
Jamaa alijenga jumba la starehe kijijini kwao akaliita motel nzekele
Akanunua meli ya kulia bata ikiitwa MV kamanyola
Akajenga kanisa kubwa na airport yenye uwezo wa kutua ndege aina ya concord yote aliyafanya kinijini kwao gbadorite
Ila ubaya haudumi.. Alianguka na kila Kitu chakeView attachment 1433463
Sent using Jamii Forums mobile app
Itakuwa hivyo! Familia za wanasiasa wakikaa meza ya majadiliano wanafikia hitimisho zuri. Kikubwa tu yule mnyonge ajishushe na akubali kwamba, ameshindwa.Alijenga majumba mengi ndio maana familia yake haihangaiki na hayo ya kijijini wapo ureno,ufaransa na moroco
lakini mkuu wanasiasa wanajuana, familia ya Mobutu ilirudishiwa mali zote zilizokuwa congo ikiwemo majumba makubwa ya Kinshasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee!Kuna wakati Amin alikwenda kumpokea mgeni wake kutoka Falme za Kiarabu mmoja wa wanafamilia wa Kifalme. Alifika Entebe Airport akiwa kwenye baiskeli kumbe nia yake ni kumpa ujumbe kuwa wana shida ya mafuta Uganda.
It worked, mgeni alivyorudi kwao alituma meli ya mafuta Uganda.
ulisema kweli hapa, nasikia kuna wazungu walipanda ndege kutoka ulaya mpaka gbadolite wapaone ili wa invest kwa utalii hayo majumba lakini walishangaa kukuta kila kitu kimeibwaHapo ndo nachoka hasa kuhusu uharibifu wa Mwafrika Mjumba km huu ni mali adimu sana, tena umejengwa kwa hela yao! wangeutaifisha! ua wautunze tu!! au liwe bonge la Hotel ya kitalii??? au basi watunzie watoto yatima!! wasingeharibu hata unyoya wa kuku hapo!
picha zake wangeziacha ivo ivo!! ajili ya kumbukumbu! mzungu kawaroga waswahili mpaka basi!! wabaya pia wanakumbukwaga!! km shetani alipo mpa kipigo Yesu pale Golgotha! KUMBUKUMBU ILE INALINDWA!
hapa watu wangefanya utalii ile mbaya! kitanda cha mobutu!! kisingeondolewa! meza yake mabwawa aliyopendaga!