Mnyenz
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 2,933
- 8,112
usijali atakua rais wa moyo wakoIle wewe si Rais wa Zaire
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
usijali atakua rais wa moyo wakoIle wewe si Rais wa Zaire
Huu wimbo aliimba Franco(1984 kama sijakosea)Candidat na biso mobutu
kuna jamaa kashika mwanvuli ashukuru alikuwa nyuma!View attachment 1425937View attachment 1425939View attachment 1425941View attachment 1425942
video pia ipo nimeshindwa kuidownload
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado alikuwa ni msaliti tu, kitendo cha, Kupokea Almasi, na kupitishia kwako silaha zikaue ndugu zako wa Damu, ni kibaya sana. hata hao wanao kupa hizo Mali wanakudharau kupita maelezo, siku mambo yakiwa- Mafu wana kuua,mkuu katika vita ile mobutu alikuwa mpatanishi tu hadi aliitisha mazungumzo ya amani yaliyopelekea kuwa na GBADOLITE DECLARATION lakini walipoanza kupigana tena Mobutu kama kawaida yake alikuwa na tabia moja katika karibu kila jambo analofanya lazima afaidike kwa kupata pesa
alichokifanya alicheza mchezo wa upigaji yani vifaa vya kivita vilitumwa kwa savimbi kupitMossadia uwanja wa ndege wa Mobutu pale gbadolite so alipata mamilioni ya dollar za kimarekani, huyu mzee alikuwa mjanja yeye anahimiza amani lakini akiona fursa za pesa haachi hata wakati anawasaidia wanyarwanda kuzima mauaji ya wenyewe kwa wenyewe alifanya vile sababu ya rafiki yake
kwenye migodi ya almasi ya Zaire wale ma boss waliowekwa kusimamia walikuwa kila wakienda wanampelekea zawadi briefcase nzima imejaa almasi
Si Ziwa Victoria Mkuu!! aaah! saa!!! ingine bhana sijui mnakulaga maharage ya wapi! mwanza yapo kibao mafutaMeli ya mafuta Uganda ilipitia njia ipi?
Mobutu na Chirac walikuwa ni personal friends, katika barua hii Mobutu anamfahamisha Chirac kusudio la kutoa siri za wamarekani Africa hasa Angola na kuachia madaraka ya nchi
Hii ni moja ya barua za mwisho alizoandika Mobutu akiwa rais
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamjua Mobutu wa Bongoland
Kuhusu picha na video za Idd Amin, huwa napata shida kujua ni kweli au zinatokana na ile video maarufu aliyoigiza yule jamaa anafanana saaana na Idd AminView attachment 1425937View attachment 1425939View attachment 1425941View attachment 1425942
video pia ipo nimeshindwa kuidownload
Sent using Jamii Forums mobile app
kweli kabisa japo hakutaka kukubali, amekuja kukubali kushindwa masaa machache kabla ya kutoroshwa, walinzi wake wanamuambia tukimbie hatuna silaha za kupambana ndio akakubali vita imeishaBy the time he was writing this letter, things were out of his hands. It was too late. Let him RIP. I
mkuu idd amin wa kweli ni rais kumtofautisha na wanaomuigiza, idd amin wa kweli ngoja nikuwekee picha yake umuone akiwa UN, yani kwa kifupi alikuwa na mwili wa maziezi kutokana na kwamba alikuwa bondiaKuhusu picha na video za Idd Amin, huwa napata shida kujua ni kweli au zinatokana na ile video maarufu aliyoigiza yule jamaa anafanana saaana na Idd Amin
Viongozi wa enzi zile walipata elimu ya mkoloni.
Kwame Nkurumah alikuwa mwanafunzi wa PhD London School of Economics kabla hajaanza harakati za ukombozi
Kamuzu Banda alikuwa MD
Nyerere alikuwa na Masters ya Edinburgh
Patrice Lumumba usipime
Amin na Mobutu walionekana karumekenge kwenye club hivyo walielewana wenyewe.
YABISO CANDIDA ULIIMBWA MWAKA 1976 .ILIKUWA UCHAGUZI WA ZAIRE. FRANCO ANAIMBA HIVI.YABISO CANDIDA MOBOTU SESE .YAANI MGOMBEA NI MOBUTU. NZAMBE ATINA YO YAAN MUNGU AMEKUTUMA WEWE MOBUTU UWE RAIS. BELELA BELA NA KOMBO YA MOBUTU .TANGAZENI TANGAZENI JINA LA MBOUTU..Huu wimbo aliimba Franco(1984 kama sijakosea)
Dhumuni la wimbo huu ilikua ni kumsifia Mobutu baada ya kumtoa jela.
katika mashairi yake anasema "wanaume kwa wanawake wa kizaire, tuingie barabarani na tupige kelele, mgombea wetu si mwingine bali ni mobutu"
Kisa cha franco kwenda jela naskia alikua anatembea na mke(demu) wa mobutu(wakongo wana uthubutu sana kutag ubavu na maprezidaa ref babu seya na Msogaman)
So baada ya kupata msamaha ikabidi aimbe ule wimbo kama kujisafisha kwa kuwa mobutu alikua mpenda sifa.
Najaribu ku apload hapa
Bana, jamaa balikua bana vala pamba muzuri!!!!!, Haki dunia ni mapito tu jama!