Barua ya Rais Mobutu kwenda kwa Rais wa Ufaransa Jacques Chirac

Hapa ni Paris au Kinshasa ? Jamaa alikuwa na mkwanja mrefu
 
mkuu wanasiasa wanajuana, familia ya Mobutu ilirudishiwa mali zote zilizokuwa congo ikiwemo majumba makubwa ya Kinshasa.
Una akili sana wewe Mzee!! umesomea wapi ya shule bana!!! Bila shaka hizi ni akili za Nyakato sec. Kagera! au Tabora boys ya zamani au pugu sec. kwa uchache jamii ya generali Ulimwengu !!

Wana siasa wa leo wana akili sana!! mtangulizi wake haumizwi umizwi saaana!! akiachia madaraka!! anapewa kila kitu cha muhimu!! anaendelea kula bata tu kwa kificho!! hata Pass yake hanyang'anywi! si mnamuoa Al Bashir? yuko wapi? ni Bata tuuu!

Huyu jamaa anakula Bonge la Bata mjini Khartoum! atakufa siku zake zikifika! na Mahakama ya kimataifa haendi ng'oo!! wata subiri sana! walio nyanyasa watangulizi wao hallow!! walikufa vifo vibaya sana!! mfano,....

chiluba, Idd amin! tfawa balewa,Mandela! Kabila Mdogo,nk eee!! bana ee! huyu dogo sasa!! jamaa naona km ana roho ya Malaika vile, yaani alimpa Zanga Mobutu cheo cha uwazili serikalini mwake hivi ivi nk! wachache sana wanaweza hii!!

Angalia Mnangagwa ameheshimu sana familia ya mtangulizi wake yaani yule jamaa anaongoza kwa raha sana!! kwani mnaona anapigwa madongo?? basi wana JF kuna la kujifunza hapa forumuni! tendeni mema! mtalipwa mema!

Km ukiteswa na ndguzo! shangazi, baba mdogo, usilipe ubaya!!! walipeni Mema tu! uone! utamu wa maisha! jifanye kusahau kabisa!! lkn ukiwa mwangalifu mlipe Mema mno akija kwako ale vinono! unavyo kula weye!

uone maajabu ya maisha! utakavyotusua maishani kizazi chako chote itakuwa neema tupu!! wallahi utakufa unacheka!! Unauhakika na unakoenda kuwa ni salama! hata akirudia fanya ubaya tena vipi! hautakupata kamwe!!

saana ndo atazidi kudidimia! wana JF jaribuni hili ndugu zangu najua ni ngumu kiubinadamu lkn! ni dawa tamu sana!! hapa jua kuwa ndo mana Biblia inasema ''wapendeni adui zenu'' ''ombeeni wanao waudhi!!''

lkn ubaya kwa ubaya mweee!! utayamba kifukuto!!! km Mobutu wa chiluba! Kusamehe ni Lulu safi mnoooo! sijakosea narudia tena.........
 
Hapo ndo nachoka hasa kuhusu uharibifu wa Mwafrika Mjumba km huu ni mali adimu sana, tena umejengwa kwa hela yao! wangeutaifisha! ua wautunze tu!! au liwe bonge la Hotel ya kitalii??? au basi watunzie watoto yatima!! wasingeharibu hata unyoya wa kuku hapo!

picha zake wangeziacha ivo ivo!! ajili ya kumbukumbu! mzungu kawaroga waswahili mpaka basi!! wabaya pia wanakumbukwaga!! km shetani alipo mpa kipigo Yesu pale Golgotha! KUMBUKUMBU ILE INALINDWA!

hapa watu wangefanya utalii ile mbaya! kitanda cha mobutu!! kisingeondolewa! meza yake mabwawa aliyopendaga!
 
Itakuwa hivyo! Familia za wanasiasa wakikaa meza ya majadiliano wanafikia hitimisho zuri. Kikubwa tu yule mnyonge ajishushe na akubali kwamba, ameshindwa.

Rejea mtoto wa Gadafi ndufu Said Al Islam ambaye alirudi Libya na kuchukua fomu ya kugombea urais, wakati huko nyuma, alikamatwa na kushikiliwa na waasi, na kuhukumiwa kunyongwa, lakini baadae akaachiwa. Saif Islam atarudi tu kwenye siasa za Libya!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Aisee!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
ulisema kweli hapa, nasikia kuna wazungu walipanda ndege kutoka ulaya mpaka gbadolite wapaone ili wa invest kwa utalii hayo majumba lakini walishangaa kukuta kila kitu kimeibwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…