Barua ya wazi kwa Binti wa zamani

Mume wangu atampiga risasi, nishamwambia hili kwenye nyuzi zangu huko nyuma, anafikiri namtania!
Mimi mwenyew ni sniper mzuri tu, so Nitakuwa natembea na gun shot detector yangu kwa tahadhari... So usiwe na shaka kuhusu hilo mpenzi
 
Espy_ atachagua penye show ya kibabe

Pesa ndo sina tu
Wifi acha uchonganishi๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Wifi uko peke yako humu ndani ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ najua hizi ni harakati za kumhenyesha mzee mwenzangu na presha yake ya kushuka.
Eneweii, nimeona huyo mjamaa mpya kasema hana hela, ni kweli umempendea mashine??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ