ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Dah 🤣🤣 mi mbona sina uwezo wa kunyakua mbaba wa mabuti makubwaKua makini hawa wazee wa mabuti makubwa wanakuaga na chuma mda wote hawana cha kupoteza hasa ukizingatia Binti wa zamani anajitahidi ili mubaba wake asidondokee kwenye mikono ya hawa kina ShesRise_1
Nipo na mke mwenzangu SeranWifi uko peke yako humu ndani 😂 😂 najua hizi ni harakati za kumhenyesha mzee mwenzangu na presha yake ya kushuka.
Mie na pesa tuko sambamba kabisa.Eneweii, nimeona huyo mjamaa mpya kasema hana hela, ni kweli umempendea mashine??
Hii vita na big fish nitaiweza tuu... Msinitishe nikimpenda mtu am ready to fight for her.Kua makini hawa wazee wa mabuti makubwa wanakuaga na chuma mda wote hawana cha kupoteza hasa ukizingatia Binti wa zamani anajitahidi ili mubaba wake asidondokee kwenye mikono ya hawa kina ShesRise_1
Mabinti kwasasa mnaujasiri mkubwa sanaDah 🤣🤣 mi mbona sina uwezo wa kunyakua mbaba wa mabuti makubwa
Unanisingizia
Sawa kiongozi tupo nawewe ila swala lako likiwa zito tafadhari usilihusihe na siasaHii vita na big fish nitaiweza tuu... Msinitishe nikimpenda mtu am ready to fight for her.
Nitampanga amwibie pesa huyo big fish tupotelee Dubai au sio mpenzi Binti wa zamani
"Where we dare to talk openly"Bro Evelyn Salt sijui na mimi nimshushie uzi binti ninayemtamani humu, maana naona kila mtu kavurugwa anajiamulia mambo tu 😂
View attachment 3626574
Sawa jiandae yule mubaba aanze kukunyonya kama ivi sijui utaweza kukimudu kile kitambiiHakuna siasa hapa ni mapenzi motomoto.
Marahaba, sema usijisahaulishe..Shikamoo mkuu.
Wewe na nongwa zako nenda kakojoe ulale, hivi vitu tuachie wataalamSawa jiandae yule mubaba aanze kukunyonya kama ivi sijui utaweza kukimudu kile kitambii
Binti wa zamani mueleze huyu kua hauna hela
Unataka kumwandikia mjukuu barua ya wazi 🤪🤣🤣Kama kila mtu anajiamulia tu kupandisha barua ya wazi, ni dhahiri sasa ShesRise_1 nitamwandikia barua ya wazi😅😅
Muwe naye sambamba mpaka mwisho, wasije kusema kijana kutoka jamii forum amechukuliwa na watu wasiojulikana, huyu akipotezwa ni kwa sababu ya kumendea wake za watu.Sawa kiongozi tupo nawewe ila swala lako likiwa zito tafadhari usilihusihe na siasa
Barua yangu itakuwa na maudhui tofauti kidogo mjukuu😅Unataka kumwandikia mjukuu barua ya wazi 🤪🤣🤣
Nimuemyeleza asije kulihusisha ilo ma siasa hapanaMuwe naye sambamba mpaka mwisho, wasije kusema kijana kutoka jamii forum amechukuliwa na watu wasiojulikana, huyu akipotezwa ni kwa sababu ya kumendea wake za watu.
Babu we nakuruhusu kabisa 🤪🤪🤣🤣Barua yangu itakuwa na maudhui tofauti kidogo mjukuu😅
Yaani wakiona sipo humu wajue kabisa mimi na wewe tumeshatokomea ugaibuni yaani no need of making our love public...Muwe naye sambamba mpaka mwisho, wasije kusema kijana kutoka jamii forum amechukuliwa na watu wasiojulikana, huyu akipotezwa ni kwa sababu ya kumendea wake za watu.
Unaniruhusu nikukague mjukuu😅😅 jibu lakini bibi yako asione!!Babu we nakuruhusu kabisa 🤪🤪🤣🤣
Mimi nina imani na wazee