Nazgur
JF-Expert Member
- Apr 19, 2020
- 3,729
- 2,851
Wabunge watae
Pesa mnapewa za bando mnadhani zinatoka wapi kama sio ruzuku ya hao wabunge.?
Wabunge wataenda, na wewe utaendelea kuwashabikia tu huna namna, huna maamuzi kwenye chama na ukichoka hama uende kwa dovutwa.N hivi hawaendi, badilisheni kanuni waende hao wanaume maana wao ndio hawaachagi kwenda. But as how it stands, hakuna atakayekwenda kushiriki bunge la wamwaga damu na wezi wa kura. Na ikitokea wabunge wa viti maalum wa cdm kwenda, wajue ndio mwisho wetu kujitokeza kupiga tena kura.
Ni kipi wataenda kuongea huko bungeni wakati hotuba zao zote zinahaririwa au kuzuia kusomwa? Huyo Halima Mdee si ndio kila akiwa bungeni akitoa mawazo yake msiyopenda amekuwa akitolewa bungeni, ama mnadhani tumesahau ni mara ngapi mmefukuza bungeni? Kama mnataka kuwatumia hao wabunge kupata mtakacho, kajipangeni upya.
Pesa mnapewa za bando mnadhani zinatoka wapi kama sio ruzuku ya hao wabunge.?