Barua ya wazi kwa dada Halima Mdee

Barua ya wazi kwa dada Halima Mdee

Wabunge watae
Wabunge wataenda, na wewe utaendelea kuwashabikia tu huna namna, huna maamuzi kwenye chama na ukichoka hama uende kwa dovutwa.
Pesa mnapewa za bando mnadhani zinatoka wapi kama sio ruzuku ya hao wabunge.?

Wakienda inakula kwao, sijawahi kupewa bundle na yoyote miaka 10 niliyojiunga hapa jukwaani. Ni kweli sina maamuzi yoyote kwenye hicho chama na wala sitegemei kupewa nafasi hiyo, ila nina ushawishi wa kutosha kwenye wafuasi wa cdm.
 
Sio kwa Tanzania hii ambayo mnasusa kila siku

Mugabe alitawala miaka 37, lakini watu walikuwa wamemchoka alipovuka miaka 15 madarakani, ila ilifika siku waoga waliamua liwalo na liwe. Yajayo yatafurahisha.
 
Mwenyewe namushauri halima apelrke majina na yeye mwenyewe aende bungeni wanaume ni wabinafsi Sana, ni bawacha tu imebaki na nguvu na udhubutu wanaume waoga wamebaki suruali tu

Aende akafuate nini, hiyo Halima si ndio mbunge aliyeongoza kwa kufukuzwa huko kwenye hilo bunge kibogoyo kwa uonevu? Ni mara ngapi hotuba zake zimezuiwa kusomwa huko bungeni? Ni hivi, haendi fullstop.
 
Mwenye mamlaka ya kupeleka majina kwa tume ni nani? Au kila MTU akiamua anapeleka tu unafikiri
Majina yako tayari
Ila sasa changamoto iko kwa wabunge waliokosa majimbo ndio hawataki na wanashawishi majina yasipelekwe
 
Serikali za mitaa walilizwa nafasi zote na bado mwaka huu wakaingia kwenye uchaguzi kwa kuwa zilikuwa ni nafasi yao, wakaamini watapita. Ubinafsi wa viongozi unaponza chama. Wanapoona ni nafasi zao wanaingia uchaguzini, sasa ngoja nao wasikilizie joto ya jiwe!
Bora wangegoma kabisa kushiriki uchaguzi.
Wapinzani wajipange upya,
 
Uamuzi wa au waende au wasiende sio wa Halima na hata BAWACHA.

Uamuzi huu ni wa Chama. Suala la kutafakari ni moja : JEE huu ni uamuzi wa kususia Bunge? Au matokeo ya uchaguzi?

Na pamekwisha tayarishwa strategy ya endgame? Au ni kumuonyesha mkulu kuwa haturidhiki na matokeo?

Haya matokeo yote wao wanajua, jee tunataka nani ajue?

Kama kuna uhaba wa majibu ya haya maswali tufikirie mara tatu na hata nne njia sahihi ya kufuata.

Wakiwa bungeni tutapunguza minyukano ndani ya chama kwa kuwa hakutakuwa na kundi kubwa makao makuu ambalo halitokuwa na kazi ya kufanya, vinginevyo tutakaribisha akili za kishetani bila sababu..

When you engage your mind in productive issues , you disengage your mind with evil issues.

We need to thing beyond our interests and persuasion. Long live Chadema ! ! ! ! ! !
 
Ww ndio mpumbavu
Hivyo viti maalum vingekuwa wanaume wanaenda basi chadema wangeenda wasingejali utopolo wako

Unajua gharama za kuongoza chama ww?

Au unaongea tu kwa vile una MB
Kakojoe ulale.
 
Wao waliishasema uwepo wa wapinzani ndio unakwamisha maendeleo sasa huu unafiki tena wa nini?

Chadema wasipeleke mtu bungeni wao waliona huyo mama moja ndio wampitishe aende bungeni na kishaenda sasa kelele za nini.

Wanataka wawatumie hao akina mama ili serikali yao chovu ipate shilingi trilioni mbili plus kila mwaka kutoka kwa wahisani na sisi wengine hatutaki hilo litokee kama wakati wanafanya uhuni kwenye uchaguzi hawakuwa na Plan B hilo sisi halituhusu.
 
N hivi hawaendi, badilisheni kanuni waende hao wanaume maana wao ndio hawaachagi kwenda. But as how it stands, hakuna atakayekwenda kushiriki bunge la wamwaga damu na wezi wa kura. Na ikitokea wabunge wa viti maalum wa cdm kwenda, wajue ndio mwisho wetu kujitokeza kupiga tena kura.

Ni kipi wataenda kuongea huko bungeni wakati hotuba zao zote zinahaririwa au kuzuia kusomwa? Huyo Halima Mdee si ndio kila akiwa bungeni akitoa mawazo yake msiyopenda amekuwa akitolewa bungeni, ama mnadhani tumesahau ni mara ngapi mmefukuza bungeni? Kama mnataka kuwatumia hao wabunge kupata mtakacho, kajipangeni upya.
Because of Election results which dispute, our special seats members should not be part of National assembly members. Very good decision.

Our party cease to be a public political party ?. Chadema is a public political party hence must participate in all political life in our country though with protest.

Do we need to be part of political system in our country ?or we want to establish our own rules and ask every other political party to observe it?

We must ask relevant and serious questions surrounding our political life, our participation in Electoral processes before we arrive at a decision.

We need to think hard and heartily instead of jumping into finalities.
 
Rubish. Na wao wanataka kwenda kwa masilahi binafsi tu. Watatoa mchango gani kwa wananchi ndani ya bunge la ccm tupu bwana. Ubunge huu wa kupewa utakuwa na ujasiri gani kupambana na waliokupa na zaidi ili kukudhalilisha mbele ya dunia uliyoiambia umedhulumiwa. Tangu lini ukaungana na wanyang'anyi? Nakwambieni wataingia huko bungeni na watazodolewa hadi wakose ujasiri wa kukosoa wabaki kudaka maposho na mishahara tu.
 
Dada halima najua uko poa kabisa

Madhumuni ya barua hii ya wazi ni kutaka kukufikishia ujumbe ufuatao

Kuna taarifa nimezipata chini ya kapeti zikisema kuwa asilimia kubwa ya wabunge wanaume ambao wamekosa ubunge ndio wanapambana nyie wakina mama msiende viti maalum

Napenda kukwambia kuwa hao wabunge wanasema nyie msiende ni kwasababu ya ubinafsi wao tu... hii fulsa ingekuwa ya wao wanaume wasingewasikiliza nyie kabisa ingekuwa wameshaenda long time

Ww ndio kiongozi wa wanawake CHADEMA please acha kusikiliza hao wabinafsi... peleka majina ya wakina mama wenzako ili mkateteee chama

Miaka yote CHADEMA huwa hairidhiki na matokeo ila huwa wanaenda bungeni hiyo ni kwa sababu wanaume wengi walikuwa wanachaguliwa

Najua una changamoto sana juu ya suala hili but be strong and peleka majina tume.... mwanaume ambae anakwambia umsiende bungeni then mwambie avae sketi aende yeye
Hafasi moja cdm wamemteua huyo hapa kua mbunge wao viti maalum
IMG_20201114_193805.jpeg
 
Mugabe alitawala miaka 37, lakini watu walikuwa wamemchoka alipovuka miaka 15 madarakani, ila ilifika siku waoga waliamua liwalo na liwe. Yajayo yatafurahisha.
Sio kwa Tanzania
 
Because of Election results which dispute, our special seats members should not be part of National assembly members. Very good decision.

Our party cease to be a public political party ?. Chadema is a public political party hence must participate in all political life in our country though with protest.

Do we need to be part of political system in our country ?or we want to establish our own rules and ask every other political party to observe it?

We must ask relevant and serious questions surrounding our political life, our participation in Electoral processes before we arrive at a decision.

We need to think hard and heartily instead of jumping into finalities.

Here I see a bunch of English words which has no any meaning to me. I sincerely ask you to go back in your drawing board, as I think you may come up with a better story than this one.
 
Here I see a bunch of English words which has no any meaning to me. I sincerely ask you to go back in your drawing board, as I think you may come up with a better story than this one.
When you have a problem which needs solution, you should never rush to get the solution, sometimes give your mind a chance to pause in order to have a recollection of events to get positive review.

Can you propose a solution and explain how you have arrived at it? This is a conversation for members on matters that touches our party. You need to think on the matter such that the results shall have long term effect and in future we shall refer to it.

You who have made a serious review of the matter and consequences as you seems to suggest tell us so that you influence us to follow your line of thinking and decisions making processes.

Tupe ushawishi, lakini kumbuka hicho sio chama cha wanachama, ni chama cha umma.
We make decisions in our party for the public and not for our party.
 
Back
Top Bottom