Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
N hivi hawaendi, badilisheni kanuni waende hao wanaume maana wao ndio hawaachagi kwenda. But as how it stands, hakuna atakayekwenda kushiriki bunge la wamwaga damu na wezi wa kura. Na ikitokea wabunge wa viti maalum wa CHADEMA kwenda, wajue ndio mwisho wetu kujitokeza kupiga tena kura.Majina yako tayari
Ila sasa changamoto iko kwa wabunge waliokosa majimbo ndio hawataki na wanashawishi majina yasipelekwe
Ni kipi wataenda kuongea huko bungeni wakati hotuba zao zote zinahaririwa au kuzuia kusomwa? Huyo Halima Mdee si ndio kila akiwa bungeni akitoa mawazo yake msiyopenda amekuwa akitolewa bungeni, ama mnadhani tumesahau ni mara ngapi mmemfukuza bungeni? Kama mnataka kuwatumia hao wabunge kupata mtakacho, kajipangeni upya.