Barua ya wazi kwa kijana wa kiume (20's)

Safii mkuu, ongezea pia kwa wale wanaopenda kuchora tattoo,zinaa n.k. Makosa ya jinai pia ni hatari Sanaa maana unaweza chukuliwa fingerprint wakaingiza kweny system zao, jambo ambalo litapelekea usiajiriwe sehemu yoyote.
Sio Kila mtu anawaza kuajiriwa maishani mwake kama wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…