Barua ya wazi kwa Lissu juu ya yanayoendelea ndani ya CHADEMA

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Posts
15,101
Reaction score
56,054
Habari mhe. Lissu,
Pole sana na majukumu, na hongera kwa kazi zako nyingi za kisiasa ikiwemo maandalizi ya uchaguzi wa mwenyekiti na jitihada za uchaguzi na jitihada kuelimisha umma juu ya haki zao mbalimbali.

Ninaandika haya ili kukushauri mambo mawili matatu, ambayo ukiyatafakari unaweza kufanya maamuzi.

1. Kuhusu wewe kugombea uenyekiti, unfortunately wewe hupambani na Mbowe peke yake bali unapambana na mfumo mzima (system).

Mbowe is just a front man, a sell out kwa CCM, nyuma yake kuna mfumo (System) ambayo siku zote imekuwa ikikwamisha jitihada za wananchi kufanya mageuzi ya maana nchini. Kwa hiyo wakati ukigombea hili uliweke akilini mwako na katika mahesabu yako hili suala inabidi liwe factored out.

2. Tafakari upya nia yako ya kugombea urais.

Kwa sasa chini ya mfumo huu wa nchi, sheria na katiba mbovu, na aina ya mwenyekiti uliyenaye na henchmen wake ambao wameshanunuliwa na CCM ni kupoteza muda kugombea urais. Wenzako wanawaza ruzuku na kupiga dili ya kisiasa hawako tayari kwa mabadiliko ya kweli nchini. Ndiyo maana Kijana wa mwenyekiti wa huko Shinyanga alisema kuwa mwaka 2020 walikusimamisha kugombea urais si eti kwa sababu unaweza bali eti kwa kuwa unajua kuropoka. Laiti ungekuwa na team nyuma yako yenye nia ya kuing'oa CCM au kuleta mabadiliko nchini, ingekuwa na maana kugombea urais, lakini kugombea urais huku umezunguukwa na sell outs wa CCM ndani ya chama ni kupoteza muda.

3. Ni dhahiri, mheshimiwa hutoshinda nafasi ya uenyekiti jiandae kisaikolojia.

Mbowe kwa kushirikiana na CCM kamwe hawatokubali ushinde hiyo nafasi. Utapigwa tu kwa haki au pasi na haki. There is no way utashinda huu uchaguzi. Sasa mimi sina wasiwasi kuwa wewe binafsi ishu ya kushindwa uchaguzi siyo big deal ila najua kinachokuumiza ni baada ya kuona kuwa wale watu uliokuwa ukiwaamini kuwa ni makamanda kumbe ni makamanda feki, baadhi yao ni mapandikizi ya CCM ndani ya chama, tena wamegeuka mapandikizi kwa kununuliwa!. Hili lazima linakuumiza kichwa!. Katika hali hii inabidi upate sana ushauri wa kisaikolojia, maana usaliti unaumiza sana.

3. Baada ya uchaguzi wa Mwenyekiti achana na active politics, nenda kapumzike au ufanye PhD.

Ni dhahiri Camp ya Mwenyekiti kwa kushirikiana na CCM a.k.a mfumo haitaki kukuona ukiwa politically active, wanakuona ni uncontrollable, knowing too much, na mwenye ushawishi mkubwa kwa umma. Kwa hiyo wanataka kukuthibiti, baada ya uchaguzi huu ambao Mbowe atashinda tu, hutokuwa na partner wa kufanya naye siasa za upinzani. The best choice ni kuacha kuambatana na madalali wa kisiasa na kujipa mapumziko ya kisiasa. Unaweza kutumia muda huo kufanya PhD na kuwa mtoa lecture mbalimbali ktk vyuo kadhaa duniani.

4. Japo Mbowe kageuka Yuda Iskariote kwa kuuza mageuzi kwa CCM usimchukie.

Mbowe at a personal level ni mtu mzuri, ana huruma za kiutu, ukiwa na shida za kibinadamu anayo roho nzuri ya kusaidia watu. Alisimama kiume ulipofikwa na shida ya kupigwa risasi. Kwa jambo hili peke yake anastahili heshima na shukrani kwa utu wake. Kwa hiyo usimseme vibaya, tulia, acha muda uongee wenyewe. Tatizo la Mbowe siyo ubinadamu wake maana at a personal level jamaa ni binadamu haswa. Tatizo lake kuu ni kuuza mageuzi na ndoto ya wananchi kwa CCM. Kwenye hili historia itamhukumu very harsh.

5. Usiondoke CHADEMA hata baada ya kushindwa uchaguzi ila kuwa makini wasikutumie ili kutafuta uhalali.

Ni dhahiri Mbowe na genge lake wanaomezea mate pesa za CCM wanajua umma umekasirishwa na kitendo cha Mbowe kugombea uenyekiti wakati ameonyesha kuwa Mwenyekiti butu katika siku za hivi karibuni. Naamini watajaribu kukuweka karibu, na kukushirikisha sana katika operesheni za chama, au kuandaa matukio ya chama yatakoyomake sure umekaa pembeni ya Mwenyekiti ili kuonyesha sense of normalcy, watatafuta kila namna utoe neno la kuendorse uenyekiti wa Mbowe. Hapa inabidi uwe makini, Ukijichanganya basi watakutumia kuwhitewash uenyekiti wa Mbowe ambaye ni dhahiri amegombea safari hii kwa maslahi ya SSH na CCM.

6. Kuhusu Speech yako baada ya uchaguzi.

Je kutakuwa na haja ya kutoa Concession speech baada ya uchaguzi?. Sidhani kama hiyo ni good idea, wewe kaa kimya tu. Usifanye kosa kama alilofanya Msigwa ambaye emotionally alitoa concession speech baada ya kushindwa na Sugu kisha speech hiyo ikatumika dhidi yake. Najua Mbowe kwenye speech yake atajifanya kunyoosha mkono wa heri kwako, kukutaka mshirikiane kujenga chama, muache tofauti zenu za kiuchaguzi nyuma. But hapa hii charm offensive inabidi uwe mjanja kuijibu. Utatumiwa wazee wengi watakaojifanya kuja kukushauri urudishe moyo nyuma ili mjenge chama. Hapa unaweza kuahidiwa hata kupewa maslahi yako ya kibunge na matibabu ili kupunguza machungu yako.

7. Mwisho kabisa.
Chini ya uongozi wa Mbowe Chadema haiwezi kuwa chama cha kuleta mabadiliko ya kweli nchini, keshanunuliwa na CCM. Itakuwa vyema kuendelea kutoa lecture kwa umma juu ya mabadiliko yanayotakiwa nchini, tumia kila fursa kufundisha na kuelimisha juu ya ubovu wa katiba, haja ya mabadiliko nchini, umasikini wa watu etc.
 
Habari mhe. Lissu,
Pole sana na majukumu, na hongera kwa kazi zako nyingi za kisiasa ikiwemo maandalizi ya uchaguzi wa mwenyekiti za jitihada zauchaguzi na jitihada kuelimisha umma juu ya haki zao mbalimbali.

Ninaandika haya ili kukushauri mambo mawili matatu, ambayo ukiyatafakari unaweza kufanya maamuzi.

1. Kuhusu wewe kugombea uenyekiti, unfortunately wewe hupambani na Mbowe peke yake bali unapambana na mfumo mzima (system).

Mbowe is just a front man, a sell out kwa CCM, nyuma yake kuna mfumo (System) ambayo siku zote imekuwa ikikwamisha jitihada za wananchi kufanya mageuzi ya maana nchini. Kwa hiyo wakati ukigombea hili uliweke akilini mwako na katuka mahesabu yako hili suala inabidi liwe factored out.

2. Tafakari upya nia yako ya kugombea urais.

Kwa sasa chini ya mfumo huu wa nchi, sheria na katiba mbovu, na aina ya mwenyekiti uliyenaye na henchmen wake ambao wameshanunuliwa na CCM ni kupoteza muda kugombea uenyekiti. Wenzako wanawaza ruzuku na kupiga dili ya kisiasa hawako tayari kwa mabadiliko ya kweli nchini. Ndiyo maana Kijana wa mwenyekiti wa huko Shinyanga alisema kuwa mwaka 2020 walikusimamisha kugombea urais si eti kwa sababu unaweza bali eti kwa kuwa unajua kuropoka. Laiti ungekuwa na team nyuma yako yenye nia ya kuing'oa CCM au kuleta mabadiliko nchini, ingekuwa na maana kugombea urais, lakini kugombea urais huku umezunguukwa na sell outs wa CCM ndani ya chama ni kupoteza muda.

3. Ni dhahiri, mheshimiwa hutoshinda nafasi ya uenyekiti jiandae kisaikolojia.

Mbowe kwa kushirikiana na CCM kamwe hawatokubali ushinde hiyo nafasi. Utapigwa tu kwa haki au pasi na haki. There is nobway utashinda huu uchaguzi. Sasa mimi sina wasiwasi kuwa wewe binafsi ishu ya kushindwa uchaguzi siyo big deal ila najua kinachokuumiza ni baada ya kuona kuwa wale watu uliokuwa ukiwaamini kuwa ni makamanda kumbe ni makamanda feki, wote baadhi yao ni mapandikizi ya CCM ndani ya chama, tena wamegeula mapandikizi kwa kununuliwa!. Hili lazima linakuumiza kichwa!. Katika hali hii inabidi upate sana ushauri wa kisaikolojia, maana usaliti unaumiza sana.

3. Baada ya uchaguzi wa Mwenyekiti achana na active politics, nenda kapumzike au ufanye PhD.

Ni dhahiri Camp ya Mwenyekiti kwa kushirikiana na CCM a.k.a mfumo haitaki kukuona ukiwa politically active, wanakuona ni uncontrollable, knowing too much, na mwenye ushawishi mkubwa kwa umma. Kwa hiyo wanataka kukuthibiti, baada ya uchaguzi huu ambao Mbowe atashinda tu, hutokuwa na partner wa kufanya naye siasa za upinzani. The best choice ni kuacha kuambatana na madalali wa kisiasa na kujipa mapumziko ya kisiasa. Unaweza kutumia muda huo kufanya PhD na kuwa mtoa lecture mbalimbali ktk vyuo kadhaa duniani.

4. Japo Mbowe kageuka Yuda Iskariote kwa kuuza mageuzi kwa CCM usimchukie.

Mbowe at a personal level ni mtu mzuri, ana huruma za kiutu, ukiwa na shida za kibinadamu anayo roho nzuri ya kusaidia watu. Alisimama kiume ulipofikwa na shida ya kupigwa risasi. Kwa jambo hili peke yake anastahili heshima na shukrani kwa utu wake. Kwa hiyo usimseme vibaya, tulia, acha muda uongee wenyewe. Tatizo la Mbowe siyo ubinadamu wake maana at a personal level jamaa ni binadamu haswa. Tatizo lake kuu ni kuuza mageuzi na ndoto ya wananchi kwa CCM. Kwenye hili historia itamhukumu very harsh.

5. Usiondoke CHADEMA hata baada ya kushindwa uchaguzi ila kuwa makini wasikutumie ili kutafuta uhalali.

Ni dhahiri Mbowe na genge lake wanaomezea mate pesa za CCM wanajua umma umekasirishwa na kitendo cha Mbowe kugombea uenyekiti wakati ameonyesha kuwa Mwenyekiti butu katika siku za hivi karibuni. Naamini watajaribu kukuweka karibu, na kukushirikisha sana katika operesheni za chama, au kuandaa matukio ya chama yatakoyomake sure umekaa pembeni ya Mwenyekiti ili kuonyesha sense of normalcy, watatafuta kila namna utoe neno la kuendorse uenyekiti wa Mbowe. Hapa inabidi uwe makini, Ukijichanganya basi watakutumia kuwhitewash uenyekiti wa Mbowe ambaye ni dhahiri amehombea safari hii kwa maslahi ya SSH na CCM.

6. Kuhusu Speech yako baada ya uchaguzi.

Je kutakuwa na haja ya kutoa Concession speech baada ya uchaguzi?. Sidhani kama hiyo ni good idea, wewe kaa kimya tu. Usifanye kosa kama alilofanya Msigwa ambaye emotionally alitoa concession speech baada ya kushindwa na Sugu kisha speech hiyo ikatumika dhidi yake. Najua Mbowe kwenye speech yake atajifanya kunyoosha mkono wa heri kwako, kukutaka mshirikiane kujenga chama, muache tofauti zenu za kiuchaguzi nyuma. But hapa hii charm offensive inabidi uwe mjanja kuijibu. Utatumiwa wazee wengi watakaojifanya kuja kukushauri urudishe moyo nyuma mjenge chama. Hapa unaweza kuahidiwa hata kupewa maslahi yako ya kibunge na matibabu ili kupunguza machungu yako.

7. Mwisho kabisa.
Chini ya uongozi wa Mbowe Chadema haiwezi kuwa chama cha kuleta mabadiliko ya kweli nchini, keshanunuliwa na CCM. Itakuwa vyema kuendelea kutoa lecture kwa umma juu ya mabadiliko yanayotakiwa nchini, tumia kila fursa kufundisha na kuelimisha juu ya ubovu wa katiba, haja ya mabadiliko nchini, umasikini wa watu etc
Well well
 
Unaakili sana mwamba, huyo mbowe ni mpumbavu tu Kwa sasa akija huku kwetu Simiyu tutampopoa mawe hataamini.
 
Pumbavu kabisa.

Unampa all credits Mbowe kwa gia ya kumkandia....

Rubish kabisa

Umetumwa na Mbowe ,pole saana
 
Uandishi mzuri kama huu ndio umefanya Chadema imekuwa Hot Cake.

Hongera sana Kaka Missile, Good Insight
 
Robert freeman Mugabe kaamua kujionyesha rasmi,

Nilishangaa sana namna alivyojibu swala la Abdul kirahisi namna ile,

Eti mwenye ushahidi alete, yani simple tu ndo kajibu vile kamaliza?
Hahahaha
 
Sisi wanachadema tunaomuamini Mbowe na tumechukizwa na jinsi alivyomtukana, tunamsubiri agombee urais, tutakuwa mawakala wa chama na hatutalinda kura zake, tutawaacha wapinzani wake wazifanyie wanavyotaka. Yeye kwa nini amtukane Mbowe?
 
Mugabe Mbowe
 
Habari mhe. Lissu,
Pole sana na majukumu, na hongera kwa kazi zako nyingi za kisiasa ikiwemo maandalizi ya uchaguzi wa mwenyekiti za jitihada zauchaguzi na jitihada kuelimisha umma juu ya haki zao mbalimbali.

Ninaandika haya ili kukushauri mambo mawili matatu, ambayo ukiyatafakari unaweza kufanya maamuzi.

1. Kuhusu wewe kugombea uenyekiti, unfortunately wewe hupambani na Mbowe peke yake bali unapambana na mfumo mzima (system).

Mbowe is just a front man, a sell out kwa CCM, nyuma yake kuna mfumo (System) ambayo siku zote imekuwa ikikwamisha jitihada za wananchi kufanya mageuzi ya maana nchini. Kwa hiyo wakati ukigombea hili uliweke akilini mwako na katuka mahesabu yako hili suala inabidi liwe factored out.

2. Tafakari upya nia yako ya kugombea urais.

Kwa sasa chini ya mfumo huu wa nchi, sheria na katiba mbovu, na aina ya mwenyekiti uliyenaye na henchmen wake ambao wameshanunuliwa na CCM ni kupoteza muda kugombea uenyekiti. Wenzako wanawaza ruzuku na kupiga dili ya kisiasa hawako tayari kwa mabadiliko ya kweli nchini. Ndiyo maana Kijana wa mwenyekiti wa huko Shinyanga alisema kuwa mwaka 2020 walikusimamisha kugombea urais si eti kwa sababu unaweza bali eti kwa kuwa unajua kuropoka. Laiti ungekuwa na team nyuma yako yenye nia ya kuing'oa CCM au kuleta mabadiliko nchini, ingekuwa na maana kugombea urais, lakini kugombea urais huku umezunguukwa na sell outs wa CCM ndani ya chama ni kupoteza muda.

3. Ni dhahiri, mheshimiwa hutoshinda nafasi ya uenyekiti jiandae kisaikolojia.

Mbowe kwa kushirikiana na CCM kamwe hawatokubali ushinde hiyo nafasi. Utapigwa tu kwa haki au pasi na haki. There is nobway utashinda huu uchaguzi. Sasa mimi sina wasiwasi kuwa wewe binafsi ishu ya kushindwa uchaguzi siyo big deal ila najua kinachokuumiza ni baada ya kuona kuwa wale watu uliokuwa ukiwaamini kuwa ni makamanda kumbe ni makamanda feki, wote baadhi yao ni mapandikizi ya CCM ndani ya chama, tena wamegeula mapandikizi kwa kununuliwa!. Hili lazima linakuumiza kichwa!. Katika hali hii inabidi upate sana ushauri wa kisaikolojia, maana usaliti unaumiza sana.

3. Baada ya uchaguzi wa Mwenyekiti achana na active politics, nenda kapumzike au ufanye PhD.

Ni dhahiri Camp ya Mwenyekiti kwa kushirikiana na CCM a.k.a mfumo haitaki kukuona ukiwa politically active, wanakuona ni uncontrollable, knowing too much, na mwenye ushawishi mkubwa kwa umma. Kwa hiyo wanataka kukuthibiti, baada ya uchaguzi huu ambao Mbowe atashinda tu, hutokuwa na partner wa kufanya naye siasa za upinzani. The best choice ni kuacha kuambatana na madalali wa kisiasa na kujipa mapumziko ya kisiasa. Unaweza kutumia muda huo kufanya PhD na kuwa mtoa lecture mbalimbali ktk vyuo kadhaa duniani.

4. Japo Mbowe kageuka Yuda Iskariote kwa kuuza mageuzi kwa CCM usimchukie.

Mbowe at a personal level ni mtu mzuri, ana huruma za kiutu, ukiwa na shida za kibinadamu anayo roho nzuri ya kusaidia watu. Alisimama kiume ulipofikwa na shida ya kupigwa risasi. Kwa jambo hili peke yake anastahili heshima na shukrani kwa utu wake. Kwa hiyo usimseme vibaya, tulia, acha muda uongee wenyewe. Tatizo la Mbowe siyo ubinadamu wake maana at a personal level jamaa ni binadamu haswa. Tatizo lake kuu ni kuuza mageuzi na ndoto ya wananchi kwa CCM. Kwenye hili historia itamhukumu very harsh.

5. Usiondoke CHADEMA hata baada ya kushindwa uchaguzi ila kuwa makini wasikutumie ili kutafuta uhalali.

Ni dhahiri Mbowe na genge lake wanaomezea mate pesa za CCM wanajua umma umekasirishwa na kitendo cha Mbowe kugombea uenyekiti wakati ameonyesha kuwa Mwenyekiti butu katika siku za hivi karibuni. Naamini watajaribu kukuweka karibu, na kukushirikisha sana katika operesheni za chama, au kuandaa matukio ya chama yatakoyomake sure umekaa pembeni ya Mwenyekiti ili kuonyesha sense of normalcy, watatafuta kila namna utoe neno la kuendorse uenyekiti wa Mbowe. Hapa inabidi uwe makini, Ukijichanganya basi watakutumia kuwhitewash uenyekiti wa Mbowe ambaye ni dhahiri amehombea safari hii kwa maslahi ya SSH na CCM.

6. Kuhusu Speech yako baada ya uchaguzi.

Je kutakuwa na haja ya kutoa Concession speech baada ya uchaguzi?. Sidhani kama hiyo ni good idea, wewe kaa kimya tu. Usifanye kosa kama alilofanya Msigwa ambaye emotionally alitoa concession speech baada ya kushindwa na Sugu kisha speech hiyo ikatumika dhidi yake. Najua Mbowe kwenye speech yake atajifanya kunyoosha mkono wa heri kwako, kukutaka mshirikiane kujenga chama, muache tofauti zenu za kiuchaguzi nyuma. But hapa hii charm offensive inabidi uwe mjanja kuijibu. Utatumiwa wazee wengi watakaojifanya kuja kukushauri urudishe moyo nyuma mjenge chama. Hapa unaweza kuahidiwa hata kupewa maslahi yako ya kibunge na matibabu ili kupunguza machungu yako.

7. Mwisho kabisa.
Chini ya uongozi wa Mbowe Chadema haiwezi kuwa chama cha kuleta mabadiliko ya kweli nchini, keshanunuliwa na CCM. Itakuwa vyema kuendelea kutoa lecture kwa umma juu ya mabadiliko yanayotakiwa nchini, tumia kila fursa kufundisha na kuelimisha juu ya ubovu wa katiba, haja ya mabadiliko nchini, umasikini wa watu etc

Kusoma PhD, haiwezi kumsaidia kuleta mabadiliko nchini au kumridhisha yeye binafsi kisiasa, kisaikolojia au intellectually.

Yeye ni mwanaharakati., mwanamageuzi Wito wake ni kuleta haki, mageuzi nchini.

Kujitoa kwenye siasa mstari wa mbele ni kukimbia mapambano, kukata tamaa.

Anaweza kujiunga na wengine akifukuzwa CDM kama Mwabukusi, Dr Slaa na wapigania haki wengine kama Sauti ya Watanzania nchini kuendelea kutafuta haki.
 
Back
Top Bottom