Ila unachojua pekee ni kuwa DP World ndiye aliyechaguliwa na CCM ya Samia kuwa mwekezaji pekee mwenye ujuzi wa kazi hiyo duniani! Hapo ndipo ukomo wako wa dunia ulipo.Nachangia mada za humu jukwaani, na zipo kwa wingi tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila unachojua pekee ni kuwa DP World ndiye aliyechaguliwa na CCM ya Samia kuwa mwekezaji pekee mwenye ujuzi wa kazi hiyo duniani! Hapo ndipo ukomo wako wa dunia ulipo.Nachangia mada za humu jukwaani, na zipo kwa wingi tu.
Kataba ulio sainiwa hauna uhusiano wowote na ile IGA, sitachoka kukumbusha hili hadi hapo mtakapong'olewa kwa aibu.Mlikuwa mnasema mikataba haitasainiwa na ikasainiwa mbele ya Rais SSH. Sasa mnakuja na uchawi gani mwingine tena?.
EEEeNHeeeeeeee!Bandari ya Dar inakwenda kuendeshwa na TPA pamoja na kampuni nyingine mbili, hii ni hatua kubwa sana ya kimaendeleo.
Hapo hatujaongelea bandari za Bagamoyo na Tanga. Maendeleo ni hatua.
Tatizo lako unaishi na zile maana za kizamani za bandari, sawa sawa na baadhi ya maaskofu. Wataalam wa uchumi na masuala ya kisheria wa serikalini wanaitazama bandari katika mtazamo wa kisasa, labda ni mpaka utakapoweza kuwa na mtazamo wa kisasa ndio utaelewa nini kinaendelea kufanyika pale TPA, labda utaelewa upana wa mageuzi ya kiuendeshaji yanayofanyika.EEEeNHeeeeeeee!
Tatizo lako lipo hapa.
Hivi huoni kuwa haya unayoyaimba hapa ni nje kabisa ya ile IGA ya kipumbavu?
Bandari ya Bagamoyo tunajenga wenyewe, lakini hilo bado hulijui na kutaka kuliweka iwe sehemu ya upuuzi wenu na waarabu!
Nani aliye kwambia shughuli za bandari zetu zitasimama bila ya uwepo wa ile IGA. Miaka yote bandari imefanya kazi, pamoja na hujuma nyingi mnazofanya huko Bandarini ili wajomba zenu waje hapa kuvuna chini ya IGA.
Sasa hivi, hao DP World hawana tofauti na alivyo kuwepo TICTS hapo bandarini, nje ya hiyo IGA mbovu.
Mikataba iliyosainiwa isingeweza kusainiwa bila ya kwanza IGA kupitishwa na bunge, ni utaratibu uliotakiwa kufuatwa kwanza.Kataba ulio sainiwa hauna uhusiano wowote na ile IGA, sitachoka kukumbusha hili hadi hapo mtakapong'olewa kwa aibu.
Wewe huna kitu isipokuwa ufisadi na uhujumu.Tatizo lako unaishi na zile maana za kizamani za bandari, sawa sawa na baadhi ya maaskofu. Wataalam wa uchumi na masuala ya kisheria wa serikalini wanaitazama bandari katika mtazamo wa kisasa, labda ni mpaka utakapoweza kuwa na mtazamo wa kisasa ndio utaelewa nini kinaendelea kufanyika pale TPA, labda utaelewa upana wa mageuzi ya kiuendeshaji yanayofanyika.
Kwa viwango vya utendaji kazi vya makampuni ya kuendesha bandari naamini DP World yupo ndani ya tano bora duniani kwa sasa.Ila unachojua pekee ni kuwa DP World ndiye aliyechaguliwa na CCM ya Samia kuwa mwekezaji pekee mwenye ujuzi wa kazi hiyo duniani! Hapo ndipo ukomo wako wa dunia ulipo.
Unahangaika bure wewe. IGA haipo hata ukilia machozi ya damu haiwezi kuwepo.Mikataba iliyosainiwa isingeweza kusainiwa bila ya kwanza IGA kupitishwa na bunge, ni utaratibu uliotakiwa kufuatwa kwanza.
Huwezi kupata commercial agreements bila ya kwanza bunge letu kuipitisha IGA.
DP World na mwendeshaji mwingine anayekwenda kupatikana kwa njia ya tender iliyotangazwa wanakwenda kubadili kabisa ufanisi wa uendeshaji wa bandari yetu ya Dar, hongera sana rais SSH na wasaidizi wako wote.Wewe huna kitu isipokuwa ufisadi na uhujumu.
Huna utaalam wowote, sasa utayajuaje haya!
Ile IGA haikuwa na maana nyingine yoyote isipokuwa kuinajisi nchi yetu. Waliotengeneza hiyo IGA walijua wanataka nini. Na kwa watu wapumbavu kama nyinyi, mkadhani nchi nzima hatuna akili.Wewe unaishi ndani ya mtego wa chuki na kasumba za kwamba waarabu wanakuja kurudisha utumwani Tanzania, akili hasi kabisa na pengine za kishirikina kwa mtu kuwa nazo katika miaka hii ya maendeleo ya teknolojia
Wewe ndio hujui chochote maskini ya Mungu. Tafuta wataalam wa masuala yanayoendelea huko bandarini wakuelimishe, tatizo lako ni la watanzania wengi wanaojulikana kuwa ni wasomi.Unahangaika bure wewe. IGA haipo hata ukilia machozi ya damu haiwezi kuwepo.
haya unaya rudia rudia kila mara, nami sichoki kamwe kukufahamisha kuwa DP World yupo pale siyo kwa misingi ya ile IGA iliyo buma. IGA ilikufa.DP World na mwendeshaji mwingine anayekwenda kupatikana kwa njia ya tender iliyotangazwa wanakwenda kubadili kabisa ufanisi wa uendeshaji wa bandari yetu ya Dar, hongera sana rais SSH na wasaidizi wako wote.
Wewe huna utaalam wa aina yoyote nje ya ufisadi na kuihujumu nchi, ambayo unadai nawe ni raia wake. Sitashangaa kama wewe ni raia wa nje, upo hapa kuchuma tu basi, tena kuchuma kusiko halali.Wewe ndio hujui chochote maskini ya Mungu. Tafuta wataalam wa masuala yanayoendelea huko bandarini wakuelimishe, tatizo lako ni la watanzania wengi wanaojulikana kuwa ni wasomi.
Uelewa mdogo na ubishi mwingi.
Upo inferior tu na asili ya SSH. Yale yale ya Kikwete kumuanzishia fitina Salim Ahmed Salim mpaka akashindwa kuwa rais mwaka 2005 halafu baadae kaja kukubaliana na SSH baada ya kifo cha JPM.Ile IGA haikuwa na maana nyingine yoyote isipokuwa kuinajisi nchi yetu. Waliotengeneza hiyo IGA walijua wanataka nini. Na kwa watu wapumbavu kama nyinyi, mkadhani nchi nzima hatuna akili.
Nilikwisha kwambia mara kadhaa, kuwa na "CHUKI" kwa watu wanaotafuta kudhalilisha nchi yetu siwezi kamwe kuijutia chuki hiyo.
Tafuta wataalam wakupe shule uondokane na hizi fikra za tangu enzi za awamu ya Mwalimu Nyerere.Wewe huna utaalam wa aina yoyote nje ya ufisadi na kuihujumu nchi, ambayo unadai nawe ni raia wake. Sitashangaa kama wewe ni raia wa nje, upo hapa kuchuma tu basi, tena kuchuma kusiko halali.
Isingekuwa IGA imepitishwa DPW asingepewa tender ya kuendesha bandari. Narudia tena tafuta mtaalam wa uchumi au kwa uhakika zaidi tafuta mwanasheria mbobezi ili akupe maarifa ya nini kimefanyika ndani ya miezi hii miwili ya mwishoni.haya unaya rudia rudia kila mara, nami sichoki kamwe kukufahamisha kuwa DP World yupo pale siyo kwa misingi ya ile IGA iliyo buma. IGA ilikufa.
Wewe na Samia na genge lenu, mngeyajua haya msinge thubutu kabisa kuingiza IGA ile mliyotaka kuiingiza hapa nchini.Wewe unaishi ndani ya mtego wa chuki na kasumba za kwamba waarabu wanakuja kurudisha utumwani Tanzania, akili hasi kabisa na pengine za kishirikina kwa mtu kuwa nazo katika miaka hii ya maendeleo ya teknolojia.
Wataalam wapi, akina Hamza?Tafuta wataalam wakupe shule uondokane na hizi fikra za tangu enzi za awamu ya Mwalimu Nyerere.
Sio kwamba tulitaka kuiingiza ile IGA ilishakubaliwa bungeni na Hamza Johari akaenda Belgium kwa ajili ya kuandika mikataba ya kibiashara, ambayo ilisainiwa pale Dodoma mbele ya Mheshimiwa SSH.Wewe na Samia na genge lenu, mngeyajua haya msinge thubutu kabisa kuingiza IGA ile mliyotaka kuiingiza hapa nchini.
Mlipo walaza akili akina Msukuma na wengineo, pamoja na Spika wao, mkadhani kazi imekwisha!Labda hatuelewani lugha,IGA ilipitishwa na bunge na ndio ukawa msingi wa uandishi wa hii mikataba ya kibiashara iliyoandikwa na wanasheria wetu halafu ikasainiwa pale Dodoma.