Barua ya wazi kwa maaskofu wa TEC: Baba zetu tuokoeni, nchi yetu inauzwa Uhuru wetu unamong'onyolewa

Mlikuwa mnasema mikataba haitasainiwa na ikasainiwa mbele ya Rais SSH. Sasa mnakuja na uchawi gani mwingine tena?.
Kataba ulio sainiwa hauna uhusiano wowote na ile IGA, sitachoka kukumbusha hili hadi hapo mtakapong'olewa kwa aibu.
 
Bandari ya Dar inakwenda kuendeshwa na TPA pamoja na kampuni nyingine mbili, hii ni hatua kubwa sana ya kimaendeleo.

Hapo hatujaongelea bandari za Bagamoyo na Tanga. Maendeleo ni hatua.
EEEeNHeeeeeeee!

Tatizo lako lipo hapa.
Hivi huoni kuwa haya unayoyaimba hapa ni nje kabisa ya ile IGA ya kipumbavu?
Bandari ya Bagamoyo tunajenga wenyewe, lakini hilo bado hulijui na kutaka kuliweka iwe sehemu ya upuuzi wenu na waarabu!

Nani aliye kwambia shughuli za bandari zetu zitasimama bila ya uwepo wa ile IGA. Miaka yote bandari imefanya kazi, pamoja na hujuma nyingi mnazofanya huko Bandarini ili wajomba zenu waje hapa kuvuna chini ya IGA.
Sasa hivi, hao DP World hawana tofauti na alivyo kuwepo TICTS hapo bandarini, nje ya hiyo IGA mbovu.
 
Tatizo lako unaishi na zile maana za kizamani za bandari, sawa sawa na baadhi ya maaskofu. Wataalam wa uchumi na masuala ya kisheria wa serikalini wanaitazama bandari katika mtazamo wa kisasa, labda ni mpaka utakapoweza kuwa na mtazamo wa kisasa ndio utaelewa nini kinaendelea kufanyika pale TPA, labda utaelewa upana wa mageuzi ya kiuendeshaji yanayofanyika.
 
Kataba ulio sainiwa hauna uhusiano wowote na ile IGA, sitachoka kukumbusha hili hadi hapo mtakapong'olewa kwa aibu.
Mikataba iliyosainiwa isingeweza kusainiwa bila ya kwanza IGA kupitishwa na bunge, ni utaratibu uliotakiwa kufuatwa kwanza.

Huwezi kupata commercial agreements bila ya kwanza bunge letu kuipitisha IGA.
 
Tatizo lako unaishi na zile maana za kizamani za bandari, sawa sawa na baadhi ya maaskofu. Wataalam wa uchumi na masuala ya kisheria wa serikalini wanaitazama bandari katika mtazamo wa kisasa, labda ni mpaka utakapoweza kuwa na mtazamo wa kisasa ndio utaelewa nini kinaendelea kufanyika pale TPA, labda utaelewa upana wa mageuzi ya kiuendeshaji yanayofanyika.
Wewe huna kitu isipokuwa ufisadi na uhujumu.

Huna utaalam wowote, sasa utayajuaje haya!
 
Ila unachojua pekee ni kuwa DP World ndiye aliyechaguliwa na CCM ya Samia kuwa mwekezaji pekee mwenye ujuzi wa kazi hiyo duniani! Hapo ndipo ukomo wako wa dunia ulipo.
Kwa viwango vya utendaji kazi vya makampuni ya kuendesha bandari naamini DP World yupo ndani ya tano bora duniani kwa sasa.

Wewe unaishi ndani ya mtego wa chuki na kasumba za kwamba waarabu wanakuja kurudisha utumwani Tanzania, akili hasi kabisa na pengine za kishirikina kwa mtu kuwa nazo katika miaka hii ya maendeleo ya teknolojia.
 
Mikataba iliyosainiwa isingeweza kusainiwa bila ya kwanza IGA kupitishwa na bunge, ni utaratibu uliotakiwa kufuatwa kwanza.

Huwezi kupata commercial agreements bila ya kwanza bunge letu kuipitisha IGA.
Unahangaika bure wewe. IGA haipo hata ukilia machozi ya damu haiwezi kuwepo.
 
Wewe huna kitu isipokuwa ufisadi na uhujumu.

Huna utaalam wowote, sasa utayajuaje haya!
DP World na mwendeshaji mwingine anayekwenda kupatikana kwa njia ya tender iliyotangazwa wanakwenda kubadili kabisa ufanisi wa uendeshaji wa bandari yetu ya Dar, hongera sana rais SSH na wasaidizi wako wote.
 
Wewe unaishi ndani ya mtego wa chuki na kasumba za kwamba waarabu wanakuja kurudisha utumwani Tanzania, akili hasi kabisa na pengine za kishirikina kwa mtu kuwa nazo katika miaka hii ya maendeleo ya teknolojia
Ile IGA haikuwa na maana nyingine yoyote isipokuwa kuinajisi nchi yetu. Waliotengeneza hiyo IGA walijua wanataka nini. Na kwa watu wapumbavu kama nyinyi, mkadhani nchi nzima hatuna akili.

Nilikwisha kwambia mara kadhaa, kuwa na "CHUKI" kwa watu wanaotafuta kudhalilisha nchi yetu siwezi kamwe kuijutia chuki hiyo.
 
Unahangaika bure wewe. IGA haipo hata ukilia machozi ya damu haiwezi kuwepo.
Wewe ndio hujui chochote maskini ya Mungu. Tafuta wataalam wa masuala yanayoendelea huko bandarini wakuelimishe, tatizo lako ni la watanzania wengi wanaojulikana kuwa ni wasomi.

Uelewa mdogo na ubishi mwingi.
 
DP World na mwendeshaji mwingine anayekwenda kupatikana kwa njia ya tender iliyotangazwa wanakwenda kubadili kabisa ufanisi wa uendeshaji wa bandari yetu ya Dar, hongera sana rais SSH na wasaidizi wako wote.
haya unaya rudia rudia kila mara, nami sichoki kamwe kukufahamisha kuwa DP World yupo pale siyo kwa misingi ya ile IGA iliyo buma. IGA ilikufa.
 
Wewe ndio hujui chochote maskini ya Mungu. Tafuta wataalam wa masuala yanayoendelea huko bandarini wakuelimishe, tatizo lako ni la watanzania wengi wanaojulikana kuwa ni wasomi.

Uelewa mdogo na ubishi mwingi.
Wewe huna utaalam wa aina yoyote nje ya ufisadi na kuihujumu nchi, ambayo unadai nawe ni raia wake. Sitashangaa kama wewe ni raia wa nje, upo hapa kuchuma tu basi, tena kuchuma kusiko halali.
 
Ile IGA haikuwa na maana nyingine yoyote isipokuwa kuinajisi nchi yetu. Waliotengeneza hiyo IGA walijua wanataka nini. Na kwa watu wapumbavu kama nyinyi, mkadhani nchi nzima hatuna akili.

Nilikwisha kwambia mara kadhaa, kuwa na "CHUKI" kwa watu wanaotafuta kudhalilisha nchi yetu siwezi kamwe kuijutia chuki hiyo.
Upo inferior tu na asili ya SSH. Yale yale ya Kikwete kumuanzishia fitina Salim Ahmed Salim mpaka akashindwa kuwa rais mwaka 2005 halafu baadae kaja kukubaliana na SSH baada ya kifo cha JPM.

IGA ni kwa wajuzi wa uchumi na uendeshaji wa bandari kisasa ndio wanaweza kuelewa kwa kina inatumika vipi karika uendeshaji wa bandari katika karne tuliyopo.
 
Wewe huna utaalam wa aina yoyote nje ya ufisadi na kuihujumu nchi, ambayo unadai nawe ni raia wake. Sitashangaa kama wewe ni raia wa nje, upo hapa kuchuma tu basi, tena kuchuma kusiko halali.
Tafuta wataalam wakupe shule uondokane na hizi fikra za tangu enzi za awamu ya Mwalimu Nyerere.
 
haya unaya rudia rudia kila mara, nami sichoki kamwe kukufahamisha kuwa DP World yupo pale siyo kwa misingi ya ile IGA iliyo buma. IGA ilikufa.
Isingekuwa IGA imepitishwa DPW asingepewa tender ya kuendesha bandari. Narudia tena tafuta mtaalam wa uchumi au kwa uhakika zaidi tafuta mwanasheria mbobezi ili akupe maarifa ya nini kimefanyika ndani ya miezi hii miwili ya mwishoni.

Labda hatuelewani lugha,IGA ilipitishwa na bunge na ndio ukawa msingi wa uandishi wa hii mikataba ya kibiashara iliyoandikwa na wanasheria wetu halafu ikasainiwa pale Dodoma.
 
Wewe unaishi ndani ya mtego wa chuki na kasumba za kwamba waarabu wanakuja kurudisha utumwani Tanzania, akili hasi kabisa na pengine za kishirikina kwa mtu kuwa nazo katika miaka hii ya maendeleo ya teknolojia.
Wewe na Samia na genge lenu, mngeyajua haya msinge thubutu kabisa kuingiza IGA ile mliyotaka kuiingiza hapa nchini.
 
Tafuta wataalam wakupe shule uondokane na hizi fikra za tangu enzi za awamu ya Mwalimu Nyerere.
Wataalam wapi, akina Hamza?
Utakuwa unafanya utani mkubwa.
Haya maswala ya bandari hayana ugumu wa kuyaelewa, hata bila kuwa msomi juu yake.
Na isitoshe, unachokomalia hapa siyo maswala ya utaalam na uendeshaji wa bandari kwa ufanisi. Wewe unakomalia DP World na IGA yake.
Huu ndio uhjuha mkubwa sana unaokusumbua wewe.
 
Wewe na Samia na genge lenu, mngeyajua haya msinge thubutu kabisa kuingiza IGA ile mliyotaka kuiingiza hapa nchini.
Sio kwamba tulitaka kuiingiza ile IGA ilishakubaliwa bungeni na Hamza Johari akaenda Belgium kwa ajili ya kuandika mikataba ya kibiashara, ambayo ilisainiwa pale Dodoma mbele ya Mheshimiwa SSH.

Bila ya ile IGA hizi commercial agreements zisingeweza kuandaliwa. Tatizo una kiburi cha kipuuzi ukidhani unajua sana kila kitu.
 
Labda hatuelewani lugha,IGA ilipitishwa na bunge na ndio ukawa msingi wa uandishi wa hii mikataba ya kibiashara iliyoandikwa na wanasheria wetu halafu ikasainiwa pale Dodoma.
Mlipo walaza akili akina Msukuma na wengineo, pamoja na Spika wao, mkadhani kazi imekwisha!
Hiyo unayo sema ilipitishwa na Bunge haina miguu ya kutembelea, ni kiwete, haitekelezeki. Soma mada mpya humu humu iliyo anzishwa na Dr Akili, ujue ninachokueleza toka mwanzo.
Akili yako ni hafifu sana wewe.
 
Back
Top Bottom