Barua ya wazi kwa members wenye chuki zisizo na msingi kuhusuya Id yangu!

Ungejifunza kupuuza na nguvu yake ingekusaidia kuishi na hao wapumbavu, huu uzi haukutakiwa kuwaandikia kabisa hao malaya kunuka, natamani ningekupa hata robo ya ego yangu, hakika hiki ni kiburi cha uzima,

Inakera sana kuona kuna wajinga na wapumbavu wanajiunga kakikundi na kujifanya wao wana haki za kuwa humu na kufanya chochote ila sio mwingine ambae hayumo kwenye hiyo cycle yao, yalikuwepo makundi ya wambea, wanafiki, malaya nk lakini yalipotea kimya kimya, hao nao wameshapotea sasa wanakuangushia hasira zao za kukosa attention.
 
Uzi ufungwe..!🔥
 
Mbona uko peace sana humu Seran nani anazingua hivyo?. By the way Kuna aina fulani ya watu huwa wanamkadiria sana mtu akiwa social n humble. Sijui kwanini
 
Una points Seran hebu njoo inbox toongee
 
Bila shaka kuna members watakuwa wamesema kuwa wewe mwenyewe ndo huwa unatumia IDs zako nyingine kujitongoza humu jukwaani
 
Thanks Dada’ake ❤️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…