Barua ya wazi kwa members wenye chuki zisizo na msingi kuhusuya Id yangu!

Kwahiyo ndiyo uanze kunifundisha hizo mixed feelings uzeeni lakini

Bora uniletee tu kiko pengine nitapata nafuu babu yenu 😉
Tulia tukuchanganye uwe na kichaa cha uzeeni😁

Kiko tunaleta kwa foleni hivyo tulia zamu yangu bado!
 
Mke mwenza wapuuzie tu. Humu hutakiwi kuwachukulia watu serious. Wewe fanya yako, jifurahishe, pita hivi, achana nao. Huwezi wabadilisha, ndio wako hivyo hivyo miaka nenda rudi, na kila uchwao wanaongezeka.
 
Najifunza bi mkubwa!

Kwanza umemuona mme wetu? Yuko kule anadanga kwa gen z🤦🏽‍♀️
 
Em jaribu kuliwa na ww ili tuone tatizo liko wapi
 
Najifunza bi mkubwa!

Kwanza umemuona mme wetu? Yuko kule anadanga kwa gen z🤦🏽‍♀️
Weeeh tena!! Hiki kizee jamani🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…