Barua ya wazi kwa members wenye chuki zisizo na msingi kuhusuya Id yangu!

Kwahiyo kumbe mnanisubiri nichoke? hakuna kazi zingine za kufanya? utani upi unaouongelea kwanza? mimi watu ninaotaniana nao nawajua wanatania!
Hatusubiri uchoke sisi tunajumuika tu kwa furaha. "Chit Chat & Jokes."

Mtu yeyote anaweza akaibuka na kukurushia maneno, ni kawaida humu.

Hatujuani kwahiyo hakuna "wasifu" wa kulinda.
 
Pole sana Kipenzi, yaani watu wanasumbuliwa na haya maandishi nyuma ya keyboard? Wapotezee kabisa, Wewe ni wewe tu wala usimaindi au kupoteza muda kujibizana nao, ishi maisha yako!! Maisha yenyewe mafupi why bother!
 
Unachopitia ni gharama ya umaarufu, hukutakiwa kuonesha huu udhaifu bali ungeendelea kua imara hadi hao maadui zako washushe silaha chini, ningekua mimi ni wewe ningeufuta huu uzi na kusonga mbele, narudia tena umaarufu unagharama zake.
 
Uko sahihi kabisaa.
Na kabla ya hao walikuwepo wengi wengine lakini si vyema kuwa abuse systematically yaani kama una ugomvi naye vile kama anavyoelezea
 
Pole mno aisee.

Jaribu tena kujiuliza.
kwamba lazima nitakuwa nimewachoza sio?

halafu wewe mbona bado upo jukwaani kinachokuaminisha kuwa lazima miezi 6 nitaondoka ni nini? kama mtu anapata muda akachill humu kuna shida gani? kwahiyo humu hamtaki active member au member mpya aje kuwafunika mliopo? am here for fun nothing serious! na kuondoka kwangu humu ni majukumu yakinizidia not otherwise! kwanini mnampangia mtu aishie vibaya kama wengine? shida ni nini?
 
Unachopitia ni gharama ya umaarufu, hukutakiwa kuonesha huu udhaifu bali ungeendelea kua imara hadi hao maadui zako washushe silaha chini, ningekua mimi ni wewe ningeufuta huu uzi na kusonga mbele, narudia tena umaarufu unagharama zake.
mimi sijatafuta umaarufu! trust me, napenda tu kuchangia kila nyuzi ninayoiona nina sababu zangu not otherwise! umaarufu jf haunisaidii kitu! nimejikuta kwenye position ambayo mimi sijaiomba!
 
HUU UTAMBULIKE KAMA WARAKA WA KWANZA WA SERAN KWA WATU WOTE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…