Dada Seran usiondoke bwana japo ingia jf kwa siku mara moja binafsi nimekuzoea sana tangu sija jiunga nakukubali sana OK huna bayakwamba lazima nitakuwa nimewachoza sio?
halafu wewe mbona bado upo jukwaani kinachokuaminisha kuwa lazima miezi 6 nitaondoka ni nini? kama mtu anapata muda akachill humu kuna shida gani? kwahiyo humu hamtaki active member au member mpya aje kuwafunika mliopo? am here for fun nothing serious! na kuondoka kwangu humu ni majukumu yakinizidia not otherwise! kwanini mnampangia mtu aishie vibaya kama wengine? shida ni nini?
Nataka waelewe kuwa sipo hivyo wanayotaka niwe! cha ajabu hata sijawahi kwaruzana nao popote! this is boring asf! kila mtu hapa anajifanya fake ids zinaniwazisha, wanavyopopoana huko hawajui kama ni fake? mimi sitaki kufatiliwa kila mtu afanye mambo yake! hizo nyuzi zote nilizopo huwa nacomment peke yangu?Seran kama hujui hapa ndo umeongeza umaarufu bila wewe kujua by calling them out
These haters tryna humble you wakiyakanyaga.. Keep being you acha watape tape kama nyani aliyekula pilpili.
Ukipenda boga..........Mimi sitaki bwana! 😥
And that's my girl right there, leo tukavinjari pande zipi?Nataka waelewe kuwa sipo hivyo wanayotaka niwe! cha ajabu hata sijawahi kwaruzana nao popote! this is boring asf! kila mtu hapa anajifanya fake ids zinaniwazisha, wanavyopopoana huko hawajui kama ni fake? mimi sitaki kufatiliwa kila mtu afanye mambo yake! hizo nyuzi zote nilizopo huwa nacomment peke yangu?
Na sio wanawake tu, hata wanaume walikuja wakaupata umaarufu baadae wakapotea kwa kupenda au kwa maneno ya waja,Yaani unashindwa kuona kwamba hayo yote ni mzaha? Basi wewe ndo unajidanganya.
Kuna kamtindo humu, ID za kike zinakuja zinachangamka sana, zinaburudisha jukwaa mwishowe zinapotea. Kabla yako walikuja kina ephen_, leejay49, unique flower, figo 97 nafikiri na wengine wengi.
Itafika mahali utachoka tu, ule uchangamfu utaisha.
wewe sasa unaelewa chanzo na si mara moja wala id moja unazishuhudia zikifanya hivi! mada nyingine tu mtu anakuja kama kakata ringi duh!Naandika nafuta naandika nafuta but ukweli ni kuwa binadamu ndo tulivyo just imagine mtu anavamia uzi wa mtu na kuanza kukutukana tena kwa mtu mgeni wa jf. Binafsi nasema huyo mtu hafai na pia uzi unapoteza maana. Huu uzi wako Seran uwe fundisho kwa watu wote wenye tabia hizo. Ni vizuri kuheshimiana na kujali mipaka ya kila mmoja.
Issue ya kuwa on the spotlight inahitaji uwe unapologetic youNa sio wanawake tu, hata wanaume walikuja wakaupata umaarufu baadae wakapotea kwa kupenda au kwa maneno ya waja,
Kuna yule Jose nani alikua kila uzi anacomment wa kwanza, kuna yule Sexless leo mwanamke kesho mwanaume akapotea, kuna Mpyayungu Village kadhalika alikimbia, kwa hiyo ukitaka kua maarufu sharti uwe na roho ya paka, usiwe lege lege stress zitakumaliza,
Kuna watu wamesemwa kama Wema Sepetu na Zuchu hata Diamond alipita bullying sana ila hao hapo wanadunda tu.
Nimekuelewa dear, ila sikutaka kuwa maarufu! inanisaidia nini na huu umri wangu?Na sio wanawake tu, hata wanaume walikuja wakaupata umaarufu baadae wakapotea kwa kupenda au kwa maneno ya waja,
Kuna yule Jose nani alikua kila uzi anacomment wa kwanza, kuna yule Sexless leo mwanamke kesho mwanaume akapotea, kuna Mpyayungu Village kadhalika alikimbia, kwa hiyo ukitaka kua maarufu sharti uwe na roho ya paka, usiwe lege lege stress zitakumaliza,
Kuna watu wamesemwa kama Wema Sepetu na Zuchu hata Diamond alipita bullying sana ila hao hapo wanadunda tu.
You know that eventually we'll graduate here and get onto the real world. That day is coming mwanike oneUsinitengenezee hayo mazingira tu! keep in touch here..
Mimi nakuelewa kipenzi, umaarufu hujautafuta ila umekuangukia miguuni mwako, sasa ile kutajwa tajwa kwa wema kila sehemu kuna watu wana hasadi za kuzaliwa wanaumia, hapo ndio hujiunga na kuanza kukuchafua, siku hizi wachawi sio vizee ni sie sie vijana wa hovyomimi sijatafuta umaarufu! trust me, napenda tu kuchangia kila nyuzi ninayoiona nina sababu zangu not otherwise! umaarufu jf haunisaidii kitu! nimejikuta kwenye position ambayo mimi sijaiomba!
Vzr dada seyranNiondoke niende wapi? am here for good!