Barua ya wazi kwa members wenye chuki zisizo na msingi kuhusuya Id yangu!

Wanazingua sana!
 
Nasikitika sana nikiona wanawake kwa wanawake hatupendani, sisi tulipaswa kunyanyuana, kulindana, kuteteana lakini ndio tunakua wa kwanza kusemana na kushushana,
Ifike mahala tujirekebishe, sijapenda
Halafu wakaka hawana shida kabisa, labda wachache na wao itakuwa ni juu ya stress za maisha tu! ila wanawake duh!
 

huu uandishi tu inaonyesha we ni mwanaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…