Barua ya wazi kwa ndugu, jamaa na watanzania kwa ujumla baada ya kupata vitisho vya kuniteka, kuniuwa na kunipoteza

good, strong and very meaningful relief project to a gentleman 🐒
 
Mungu wa Mbinguni atakulinda dhidi ya mathila ya wanadamu. Naamini wenye hofu ya Mungu hawawezi kuwa na dhamira ovu kwa binadamu wenzao.
 
Mkuu,
Umeanza kutoka kwenye main point unaleta ukanda.

Mbona mwenyekiti wa bavicha taifa ni mtu Alie kulia lake zone.

Mimi binafsi siamini Sana kwenye ukanda/ukabila japo haiondoi maana kua haupo

Mbona molell, kafulila (tumbili) wamepewa mapande na wanaendelea vyema na nafasi zao why huyu mdude chadema akipewa nafasi au ajira aweze kutumikia wananchi Kama ambavyo amekua akijipambanua.
 
daa uo ndo ukweli uyu mtu nae anatafuta kick akamatwe apelekwe kituo ch apolisi ili aongelewe ,
Umemshtukia ila jamaa wameona hana impact wamempuuza hata akienda kunya juu ya meza ya kituo wanamuacha tu!
 
Reactions: Tui
Msigwa alitoa taarifa kuwa huyu mzee ni hatari sn haikupita hata wiki akauliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…