Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Naona umeshaathirika kichwa na sasa unaanza kuweweseka na kuropoka ropoka Hovyo hovyo tu hapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani mdude huwa ana akili Timamu kichwani?Je, ni maagizo toka JUU?
Mdude_Nyagali Andika na Barua ya Kiingereza, uipost kama picha
Toa na clip fupi ukielezea hayo yote kwa kiswahili na Kiingereza uipost. Au video ya kiswahili yenye subtitles za Kiingereza uipost
Nitalibadili japokuwa limebeba maana kamili ya maisha yangu dadakha! maana ya jina lako.
ba nzima ileeee!Nitalibadili japokuwa limebeba maana kamili ya maisha yangu dada
Wakimdaka watamminya mpaka amtaje aliyempa hizo taarifa, kama nikweliSoma tena upya alichokiandika amesema informer ni kutoka ndani ya Jengo kule kule Jikoni kwa mpishi sasa puuza yakukute
good, strong and very meaningful relief project to a gentleman 🐒Najua humu Jf Kuna ma great thinkers wengi Sanaa watakusaidia kukuweka sawa
Nilifanya kautafiti kadogo na Mara zote nimegundua yafuatayo kuhusu mdude chadema.
*Mdude huwa ana tumia lugha ngumu (matusi) kukosoa watawala .
*Serikali Mara zote zimekua na ziliamua kumpuuza period japo amewai kupewa kashi kashi kidogo
Mapendekezo.
*Mdude chadema anaweza kua mtu mzuri na mzalendo Sana asikilizwe na apewe nafasi mfano atafutiwe position mfano. Kuwa msimamizi wa projects hata moja mfano kilimo au ufugaji au mradi wowote wa serikali ikiwezekana apewe hata u DC nguvu anazozitumia huku na nguvu anazo tumia huku akazitumie huko kwenye hio kazi tuonee
*Kama mdude chadema haku uwawa kipindi Cha JK,JPM na Sasa mama Samia wampuuze maana debe tupu haliachi kuvuma.
Wasalaam.
Na akimtaja aliempa taarifa hawatomfanya chochote alietoa taarifa, ongea kingineWakimdaka watamminya mpaka amtaje aliyempa hizo taarifa, kama nikweli
Unampangia kazi? Kama alikuwa fundi hawezi kubadilisha? Unazidi kuonyesha ulivyo mjinga.Kazi yake ni makenika puruzai wewe unavamia tu watu!
Mkuu,Kama chama chake tu chenyewe kinamtumia bila kumpa cheo chochote chamani, unategemea huku kwenye serikali ndio atapata kweli.
Mdude angekuwa wa Kaskazini saa hizi angekuwa ashaukwaa hata unaibu katibu mkuu bara. Ila kwa vile ni wa Mbeya basi acha atumiwe tu kupiga kelele kila siku kama wanavyotumiwa wana Mbeya wenzake kuandamana, kutukana serikali nk ili kuwasafishia njia kina Mbowe, Mnyika, Lema nk ambao sio wa kanda yao.
Itakua Kama benchmark kuona je ? Atakua na tija au ? Then Aki perform vyema hapo sawa.Hata mimi sishauri wamuue,apewe tu u-Dc
daa uo ndo ukweli uyu mtu nae anatafuta kick akamatwe apelekwe kituo ch apolisi ili aongelewe ,Mjomba jikite kweye kazi zako kutwa kujiongelesha hakuna mwenye kazi na wewe wamekupuuza!
Umemshtukia ila jamaa wameona hana impact wamempuuza hata akienda kunya juu ya meza ya kituo wanamuacha tu!daa uo ndo ukweli uyu mtu nae anatafuta kick akamatwe apelekwe kituo ch apolisi ili aongelewe ,
Nashauri usiwe unataka jina lake, vinginevyo unafanya kazi nzuri snRais @SuluhuSamia
fala kweli weweMtu katishiwa kuuwawa badala ya kutoa mawazo chanya Kuna chawa wana-comment usenge TU... Kuanzia Leo naanza ku-block chawa mmoja baada ya mwingine...
CCM kuua siyo issue sn wanaona ni kawaidaAcha wakuue tuone kama wao wataishi milele. Ila nikuhakikishishie Mungu ni Mungu wa haki damu yako lazima iwalilie na kuangamiza vizazi vyao wote bila kujali nafasi na mamlaka waliyonayo.
Msigwa alitoa taarifa kuwa huyu mzee ni hatari sn haikupita hata wiki akauliwaWewe domokeka hebu acha siasa za kishamba ambazo zishapitwa na wakati. Mtu anaetafuta kukuua hawezi kukupa taarifa na kitisho. Bali atasubiri uingie kwenye 18 zake/ zao ili wakupoteze kimya kimya bila ushahidi wa barua wala sim.
Uliwahi kuona au kusikia kitisho chochote kwa mzee Ali Kibao?
CCM wanaua pia"Oneni kuwa mimi ndimi Mungu na wala hakuna mwingine ila mimi. Mimi huua na kuweka hai; hujeruhi na kuponya, na hakuna awezaye kumwokoa yeyote mikononi mwangu."