Barua ya wazi kwa ndugu, jamaa na watanzania kwa ujumla baada ya kupata vitisho vya kuniteka, kuniuwa na kunipoteza

Barua ya wazi kwa ndugu, jamaa na watanzania kwa ujumla baada ya kupata vitisho vya kuniteka, kuniuwa na kunipoteza

Najua humu Jf Kuna ma great thinkers wengi Sanaa watakusaidia kukuweka sawa

Nilifanya kautafiti kadogo na Mara zote nimegundua yafuatayo kuhusu mdude chadema.

*Mdude huwa ana tumia lugha ngumu (matusi) kukosoa watawala .
*Serikali Mara zote zimekua na ziliamua kumpuuza period japo amewai kupewa kashi kashi kidogo

Mapendekezo.
*Mdude chadema anaweza kua mtu mzuri na mzalendo Sana asikilizwe na apewe nafasi mfano atafutiwe position mfano. Kuwa msimamizi wa projects hata moja mfano kilimo au ufugaji au mradi wowote wa serikali ikiwezekana apewe hata u DC nguvu anazozitumia huku na nguvu anazo tumia huku akazitumie huko kwenye hio kazi tuonee
*Kama mdude chadema haku uwawa kipindi Cha JK,JPM na Sasa mama Samia wampuuze maana debe tupu haliachi kuvuma.

Wasalaam.
good, strong and very meaningful relief project to a gentleman 🐒
 
Mungu wa Mbinguni atakulinda dhidi ya mathila ya wanadamu. Naamini wenye hofu ya Mungu hawawezi kuwa na dhamira ovu kwa binadamu wenzao.
 
Kama chama chake tu chenyewe kinamtumia bila kumpa cheo chochote chamani, unategemea huku kwenye serikali ndio atapata kweli.

Mdude angekuwa wa Kaskazini saa hizi angekuwa ashaukwaa hata unaibu katibu mkuu bara. Ila kwa vile ni wa Mbeya basi acha atumiwe tu kupiga kelele kila siku kama wanavyotumiwa wana Mbeya wenzake kuandamana, kutukana serikali nk ili kuwasafishia njia kina Mbowe, Mnyika, Lema nk ambao sio wa kanda yao.
Mkuu,
Umeanza kutoka kwenye main point unaleta ukanda.

Mbona mwenyekiti wa bavicha taifa ni mtu Alie kulia lake zone.

Mimi binafsi siamini Sana kwenye ukanda/ukabila japo haiondoi maana kua haupo

Mbona molell, kafulila (tumbili) wamepewa mapande na wanaendelea vyema na nafasi zao why huyu mdude chadema akipewa nafasi au ajira aweze kutumikia wananchi Kama ambavyo amekua akijipambanua.
 
daa uo ndo ukweli uyu mtu nae anatafuta kick akamatwe apelekwe kituo ch apolisi ili aongelewe ,
Umemshtukia ila jamaa wameona hana impact wamempuuza hata akienda kunya juu ya meza ya kituo wanamuacha tu!
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Wewe domokeka hebu acha siasa za kishamba ambazo zishapitwa na wakati. Mtu anaetafuta kukuua hawezi kukupa taarifa na kitisho. Bali atasubiri uingie kwenye 18 zake/ zao ili wakupoteze kimya kimya bila ushahidi wa barua wala sim.

Uliwahi kuona au kusikia kitisho chochote kwa mzee Ali Kibao?
Msigwa alitoa taarifa kuwa huyu mzee ni hatari sn haikupita hata wiki akauliwa
 
Back
Top Bottom