EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,085
Nimekua nikikusikia kwenye kampeni zako ukiongea maneno mengi sana ya kuwadanganya na kuwalaghai watanzania kwamba utawaletea mabadiriko na maneno yako kamwe hayawezi kuwa na vitendo.
Sote tunajua kwamba kazi yako ya uwakili na uanasheria ndio iliyo kufunza kuongea maneno mengi ili usaidie watuhumiwa kushinda kesi mahakamani. Kwa hilo tunakupongeza ila tunajua kabisa maneno ya mawakili huwa ni kwaajili ya kuwadanganya watu mahakamani na kumdanganya hakimu.
Sisi watanzania tunao ielewa Tanzania tunajua wewe huwezi kuwaletea watanzania mabadriko. Kabla ya kuwambia watanzania kwamba utawaletea mabadriko tunaomba uwaeleze watanzania tangu umeanza kuwa mbunge jimboni kwako Singida ni mabadriko gani uliyo walepelekea wanasingida ambayo yanafanya wakukumbuke wewe. Tunajua wazi umeanza kuwa mbunge wa singida tangia zamani.
Sote tunajua kwamba umeingiwa na Roho ya uchu wa madaraka ili uweze kuipoteza Tanzania yetu yenye amani na upendo. Na ndio sababu umekuwa ukifanya kampeni zilizo jaa jazba na maneno yenye chuki ndani yake bila furaha. Kamwe hatuwezi kukupa kura zetu eti kwasababu unachuki na mtu fulani. Hiyo huruma sahau.
Sote watanzania tunajua umeanza kuwa na chuki binafsi na viongozi wetu waliopo madarakani na waliokuwepo tangu unaanza kuwa mbunge.
Sasa sisi watanzania tunasema pamoja na kwamba unaongea maneno mengi yaliyo jaa ulaghai kura zetu hatuwezi kukupatia.
Sisi tunachojua Tanzania kwasasa ilisha anza kubadirika. Tunaye kiongozi pekee anayeweza kuiletea Tanzania mabadiriko ya kweli. Naye ni Dkt John Magufuli. Huyu ndiye kiongozi anayefanya mambo kwa vitendo.
Hatuwezi kumchagua kiongozi mwenye urafiki na mabeberu. Hivyo usitegemee kuzipata kura zetu.
Usidhani kwamba sisi watanzania sio werevu. Watanzania tunao jielewa wenye akili timamu tunao jua kumbanua mambo na kutafakari kwa kina kamwe hatuwezi kukupatia kura zetu siku ya tarehe 28 Octobar. Sote tunajua mambo makubwa yaliyofanywa na Dkt Magufuli katika awamu ya tano. Hivyo mtanzania mwenye akili timamu hawezi kukupigia kura wala kukushabikia. Tunajua wapo watanzania wachache wenye akili ndogo zisizoweza kutafakari wala kupambanua
Hivyo tunakuomba tu uwe mpole subiri tu hiyo nafasi yako ya uteuzi uliyo ahidiwa na Rais tunayempenda, Rais Mcha Mungu. Mpenda Maendeleo ya vitendo. Asiyetaka mchezo katika kazi.