pasi padinde
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 281
- 299
Mmeshapata kiwewe,tuliza mpira,Lissu amekuwa mbunge kule awamu mbili,kama wananchi wangeona hafai asingechaguliwa awamu inayofuata,Inaelekea wewe unafikiri tunadanganyika kirahisi kama unavyodanganya sasa kwa maboya wenzio.
Rai yangu Mheshimiwa sana Tundu Lisu apite
Shinyanga
Tabora
Simiyu
Singida
Mikoa hii asiiache kabisa yaani alikopita salum mwalimu nayeye akanyage tena . Yaani full kuteketeza alimokanyaga mzee baba.
Asisahau kuzungumzia
Bima ya afya
P.A.Y.E kwa wafanyakazi
Kikokotoo
HESBL KWA MIKOPO YA WANAFUNZI
PEMBEJEO KWA WAKULIMA